verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
12.07.2015 Views

88Samuel Thambo: Ti wara ni uugi.Com. Keriako Tobiko: Kahuho Mathai. Joseph Kiiru. Christopher Mwaniki, Zachariah Muriuki, Esther Mukami Githaiga.Esther Mukami Githaiga: Nii ngwaria na Gikuyu, Maoni makwa ni maya. Kamiti yathurwo niheo hinya wa gutua matua mao.Translator: When a committee is appointed, it should get powers to make decisions.Esther Mukami Githaiga: Na itua riu riao metikiirio kurura wuira igotini.Translator: That the committee should be able to stand in court for decisions that they make while they are meeting in thatcommittee.Esther Mukami Githaiga: Kamiti iheo hinya wa kurutithia itua ria wira matarugamiriirwo. Kamiti cia muingi.Translator: Public committees, farmers should therefore be able to make their own decisions.Esther Mukami Githaiga: Itarugamiirirwo ni Chiefs kana Assistant Chiefs.Translator: The chiefs and sub-chiefs should keep off local committees, farmers, schools and social welfares associations.Esther Mukami Githaiga: Kamiti ithurwo andu mari na uugi wa githomo na uugi wa muciarire.Translator: That the committee should have people with experience and people with knowledge.Esther Mukami Githaiga: Mundu murume ahikia mutumia wa mbere, ndakahikie ungi ona mutumia ta guo.Translator: Commissioners, when a man marries one wife, he should not be allowed to marry another. Just remain with one.Esther Mukami Githaiga: Ikundi cia atumia iheo ritwa ri acio itige gwitwo maendeleo.Translator: Women groups should not be called Maendeleo. They should get their name according to the service they areproviding.

89Esther Mukami Githaiga: Nyimbo cia mathako ma irua, makiria ria andu a nja itigwo.Translator: Female circumcision should be stopped and songs related to female circumcision should be banned.Esther Mukami Githaiga: Nyimbo ciinwo cia gikeno, Okorwo ni cia athuri, Kuri muthunguce, cia atumia, kuri ndumo, gitiro.Cia anake, kibata, gichukia. Cia airitu, ndumo. Cia twana tunini, muthuo.Translator: She is encouraging local customs, local traditions, local songs. Local traditional values.Com. Keriako Tobiko: Thank you so much. Michael Mbogo, James Macharia, Wachira mureithi, Terry Nyaguthii, JosephMathenge, Duncan Kihake, Duncan Njogu, James Kiriumbi, John Mutahi, Johnson Murage, Wambugu Kihoro, ChristopherWahome, Githungo Gacemo.Githungo Gacemo: Mwenyekiti wa tume hii ya kuangalia mambo hii ya Katiba, pamoja na wenzake ambao wanafanya kazi,yangu ni machache na nitaendelea tu na kusoma. Mimi jina langu ni Githungo Gacemo. Ni mwanachama wa chama cha Kanu.Yangu ya kwanza: Ningeuliza wenye kuangalia hii mambo waangalie mambo ya ardhi, yaani ya mashamba. Mashamba, kunawatu ambao wana taabu ya hii mashamba. Na ningeuliza, na nimeandika kwamba wale watu wanakuwa na shamba kubwakatika jamhuri yetu ya Kenya, kila mtu awe na acre hamsini. Na yule ambaye ana ile ndogo kabisa, iwe ni acre tano - ili watuwatosheleze mashamba.Ya pili, Mwenyekiti, ningeuliza ama nimeandika, ikiwezekana katika bunge, mbunge mmoja awe akiwahudumia watu kutokatwenty thousand, yaani elfu ishirini mpaka ishirini na tano elfu- ili aweze kuhudumia watu.Yangu ya tatu nikuwa tangu tulipoachwa hapa, tukaambiwa ati kuna soko huru, ile control price iliondolewa na serikali ikawahaina uwezo katika hiyo mambo. Ningeuliza katika hii kamati, ikiwezekana, hiyo ni namba tatu yangu, kuwe na control price.Vitu vikitengenezwa kutoka katika factory mpaka mwenye kununua wa mwisho serikali isimamie hayo mambo.Com. Keriako Tobiko: Tunaelewa Mzee.Namba nne: Watumishi wa serikali kutoka kwa DC mpaka Assistant Chiefs wawe wakichaguliwa na kamati ya wazee ambaowanajua watu. Wale ambao ni wa pahali hapo wanamjua.Com. Keriako Tobiko: Jaribu kumaliza sasa Mzee wangu.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!