12.07.2015 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

75Com. Bishop Njoroge: Labda, sijui. Hebu keti kwa sababu sijui kama ndugu Lithome ana swali. Ningetaka tu kufahamu.Unaweza kufafanua ukisema Commission iwe divorced na General Election. Now, hapo unamaanisha nini?Peter Kuguru: Namaanisha, sababu Constitution iko, ile iko kama wakati wa election unafika sio lazima tubadirishe Katibakwenda kwa election. Election inawekwa na wananchi na kura. Na kila mtu ako na kura yake, hakuna haja ya kwenda kusomaKatiba kumwezesha aweke kura yake. Wananchi wachague watu, kwa sababu wale watu wako bunge pia ni wananchi. Na siokusema hao wenyewe ndio watakuwa fit kuangalia Katiba.Hata wengine mpya wakija pengine wataangalia katiba ile ile hatakwa njia mzuri, kuliko wale. Kwa hivyo, Constitution yenyewe iwe continous. Constitution Review iwe continuous whetherthere is election, whether there is rain or whether there is sunshine. Kwa hivyo isiwe parts and parcel <strong>of</strong> electioneering.Com. Bishop Njoroge: Thank you very much. Can we have James Njogu? Ningetaka tu useme mapointi mapointi.James Njogu: Ya kwanza, ningetaka President awe akichaguliwa miaka tano na akiwa mzuri aongezwe miaka tano - Basi aweretired - asiulize kazi hiyo mara ingine. Habari ya bunge, naonelea kuwa bunge iwe mbili. Upper House na Lower House.Maanake ikiwa moja itakuwa na nguvu mingi. Local Authority iwe na nguvu katika eneo zake kwa area yake, halafu watazamemambo yao.Agriculture: Habari ya economy yetu, Kahawa, na ingine kama Miwa, wenye kuharibu, Commissioner hii itii amri mtu huyoanaharibu hiyo mapato ya wananchi, apigwe fine au kufungwa ndio wengine waone wasiingilie kazi hiyo kuharibu.Habari ingine. History ya Kenya watu hawajui iko namna gani. Nchi hii ilipiganiwa tunataka commission hii itengeneze nchi yetuilitoka wapi? Ilipiganiwa? Nani alipigania? Wale walipigania wajulishwe kwa watu kwa history. Halafu kusiwe ati mtu anasema,oh tulipigania nchi hii halafu hajulikani na wengine…..Com. Bishop Njoroge: Kwenda kwa pointi ingine hiyo imeeleweka.James Njogu Habari ya election: Mbunge awe katika Kenya ana-represent watu elfu ngapi. Kusiwe wengine wana-representwatu elfu mingi na wengine wana-represent watu wa tano. Hiyo iangaliwe. Habari ya landless: Ni aibu katika nchi hii..Com. Bishop Bernard Njoroge Sema kile unataka…..James Njogu Landless waondolewe, wachukuliwe katika ile village ya emergency. Bado wako. Wapewe mashamba na kilamtu, Serikali ione hakuna landless, maana nchi hii ni kubwa na ni aibu kusikia iko landless.Habari ya freedom <strong>of</strong> worship: Yaani dini. Hata kukiwa iko freedom <strong>of</strong> worship, dini inaingia katika nchi hii, serikali iangalie.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!