12.07.2015 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

74kodi pesa mingi, Wawe wakirudishiwa rate ku-encourage growth kwa hii area. Na sana sana hii area tunataka kuongezagrowth upande wa masomo - education, upande ya health. Tunataka priority upande wa maji kwa kila mji. Tunatakatutengeneze mabarabara zetu. Tunataka kutengeneza stima iwe kwa kila nyumba. Na infrastructure yote kulingana na ile pesatunatoa.Ningetaka Constitution itaje priority areas. Ile ita-stimulate development ya small industries. Kama stima ikiwekwa area, smalljua-kali people wapewe chance, wawekewe stima na wapatiwe support kwa Constitution ili waweze kuanzisha biashara ndogondogo ile anaandika watu wawili watatu. Kwa sababu hiyo ndiyo itakuwa backbone for growth of our economy.Ile ingine, Mwenyekiti, ningependa ihimizwe na bado iko kwa Constitution lakini ihimizwe kabisa ni protection of individualRights. Hivyo mimi nasema kuwe na free ownership of business or land kwa kila mwananchi pahali popote katika nchi yaKenya. So that everyone can have Right to own land. No matter what tribe he is in any part of the country and to do business inany part of the country and be protected by the Constitution. Hata wale watu wako kwa Gichagi waliachwa na sehemu ndogondogo, pia wawe protected, wakae pale pale na wakitaka ku-develop hiyo kasehemu yao pia wajisikie wako protected.Mwenyekiti mimi ningetaka kuzungumza mambo ya Parliament. Na ningesema Constitution inatakiwa kuangalia mambo yaParliament, sababu, at present the Parliament is able to bring legislation and yet they recently passed an Act where there can beimplementers and at the same time they can be auditors of the same projects. I would like to request you Mwenyekiti,Constitution ibadirishwe, watu wa Parliament wawe kazi yao ni kufanya legislation peke yake, Implementers na auditors wawetofauti. Kwa mfano hii…Com. Bishop Bernard Njoroge Unajua Mr. Kuguru, kitu tunataka ni kwamba, utoe pointi pointi bila kueleza kwa sababukuna watu wengi wangetaka kuzungumza.Peter Kuguru: Basi ningetaka, Constitution Review, mwenyekiti, iwe Parliamentary driven. Kwa sababu ingekuwacontinuously reviewed as need arises within Parliament. Pia ningeuliza mwenyekiti, within the Parliament that MPs should not begiven a free hand by the Constitution to review their own personal terms and emolument. The Constitution should spell out andcreate an independent commission to be looking into the needs of the Parliamentarians. Because they have shown a certainamount of selfishness.Ya mwisho ningetaka kuhimiza juu ya Katiba hii. Commission ingekuwa divorced from the concentration of election process.That the election process, when time comes should not depend on Electoral Commission review. It should be independent.Hiyo tu mwenyekiti ningetakaku-share.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!