12.07.2015 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

73Jomo Kenyatta ikawa kuna watu wanaitwa squatters. Na kuna wengine Bwana Mwenyekiti wakaitwa landlords.Bwana Mwenyekiti, maoni yangu ni hii. Ikiwa ni Katiba ambayo tunataka kuibadirisha wakati huu bwana mwenyekiti, tunasemaya kwamba wale ambao walinyakua mashamba wakati wa mzee inyakuliwe na hii Katiba tunabadirisha ipatie wale watu ambaowamebatizwa masquatters. Hiyo ni moja hapo Bwana Mwenyekiti.Ya pili, kuna watu ambao wameajiriwa kazi. Ikiwa ni madoctor wamekuwa Bwana mwenyekiti, unaenda hospitalini,unaambiwa ya kwamba enda clinic fulani ukapatiwe dawa na ile clinic ni yake mwenyewe. Ningeomba kamati hii tubadirisheKatiba ikiwa ni daktari awe katika kazi yake ni daktari na asiruhusiwe kuweka clinic katika Kenya.Jambo la tatu, ni elimu. Hii Kenya Bwana Commission, kuna watu ambao…… wanaenda kufundisha watoto wao na hizo pesa.Mwananchi wa kawaida akienda hiyo banki hawezi kupatiwa chochote. Mimi ningeuliza ya kwamba, tuwe kila mwananchiakienda banki apatiwe pesa kiasi.La mwisho, kuna watu bwana mwenyekiti, nasikia kwamba wanaenda ng’ambo wakiwa ni watu wa serikali, wanachukuamikopo bwana mwenyekiti, zile pesa ambazo wanazichukua wanazipeleka huko nje. Bwana mwenyekiti mimi natakatubadirishe katiba ya kwamba, ikiwa wewe unazo pesa upande wa nje. Ukiwa umekufa ama bado uko hai. Zile pesazirudishwe katika Kenya, situmie na watu wa Kenya.Maoni yangu ya mwisho ndio hayo, na mubarikiwe na mkae hivyo hivyo - Ingine nimesikia bwana mwenyekiti ni kwamba kunawatu politicians, hiyo ndio ya mwisho. Ikiwa maoni yenu ni hivi tunakaa kukuja kutoa maoni yetu sisi wananchi wa grassroot,Ikiwa hii kazi ndio mnafanya, mimi naomba wananchi wa Mathira wakubaliane na mimi hawa Commissioners waongezwe sikuhata kama ni mwaka ingine tukiwa bado kuchaguana. Ili wananchi wa kawaida kama nyinyi, tuwaletee maoni yetu, ilitubadirishe Serikali. Kwa sababu waliokosa, wale walikosa Kenya hii, ndio wanaharakisha hii kamati. Wafanye uchaguziharaka haraka ili msitoe maoni yenu ili wasishikwe tunapotoa maoni yetu. Asante sana.Com. Bishop Njoroge: Mngempigia mak<strong>of</strong>i. Haya. Peter Kuguru.Peter Kuguru: Okay, Commissioners na wananchi hamjambo. Mimi nataka kutoa maoni kidogo, lakini sababu mimi najuawatu wametoa sana, na sitaki kurudia, ningesema tu machache. Na ya kwanza ningezungumza kuhusu mambo ya economy hiiya nchi yetu.Ya kwanza ningesema, Kwa vile watu wanatoa kodi na ex-chequer anaokota pesa, kutoka kila area kwa area, ningeuliza hiiCommission iweke kwa Katiba vile ex-chequer angerudisha msaada kwa kila area kulingana na vile pesa imechukuliwa kwahiyo area. Kwa hivyo area kama hii yetu, ni area iko na matumizi mingi, kwa hivyo watu wako very active - kwa hivyo wanatoa

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!