12.07.2015 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

72wao ama kwa Serikali yetu.Com. Keriako Tobiko: Pendekezo lako ni gani?Grace Wangu Mwangi Ningependa hata akina mama wawe wakichukuliwa yaani hata wao wawe wakigawa na kuridhikama wanaume. Wawe wakipatiwa mashamba.La tatu, ni korti zetu. Korti zetu, ningependelea ziwe zikifanywa kama vile makosa ya mwenye kukosa amefanya. Sio ati kesiiwe ikiwekwa inawekwa, inawekwa nyuma yake hata kama ilikuwa ilipatikana makosa fulani, inafichwa huko kwa korti.Tunasikianga ati kuna makaratasi ingine inapotea kortini. Itapotea namna gani na kuna wale wanachunga hiyo? Kwa hivyotungetaka kwa Constitution yetu ijayo, kama kuna kesi inaweza kupotea kwa Chamber ya magistrate, hata yeye ni heriashitakiwe kwa sababu hajui kazi yake.Ile ingine ya nne ni wajane: Sisi akina mama kama tunawaachwa na mabwana zetu, tuna taabu mingi sana. Ningetaka kwaConstitution yetu iwe, ikiwa mtu ameolewa, ameolewa na bwana yake hata kama tunaenda church ama kwa kimila, yulemwanaume na mwanamke wana mji wao, sasa huo mji wao kwa nini unaingiliwa na watu wengine mmoja akiondoka? Kwahivyo ningetaka Serikali ijaze hivi, wale wawili mmoja kama amekufa, mji ni wa huyo mwingine. Lakini sio watu wengine wawewakija kuingilia na kufukuza yule mama ama kufukuza yule baba.Ile ingine ni watoto wa kike. Watoto wa kike si ati wanazaliwa kama ni chini ya wale watoto wa kiume. Ningependelea Serikalinaye iwe ikichukua watoto wa kike wamezaliwa kama vile watoto wa kiume. Ikiwa ni kuridhi mali ya baba yao ama mali yababa zao, ningependa serikali yetu iwe imejaza ati yule mtoto ni mtoto kama yule mwingine. Hakuna kuangalia karabati ati nimwanamke ama mwanamume.Com. Keriako Tobiko: Tumeelewa hiyo. Enda pointi ingine na uweze kumaliza.Grace Wangu Mwangi Hii ingine nayo ni Serikali yetu. Sisi raia hatujui kwa nini Serikali huwa na mashamba na raia wakehawana mashamba. Kwa hivyo ningependelea serikali ikiwa iko na mashamba, hayo mashamba iachilie raia. Sio ati Serikali iweikilima, inalima kahawa ama inalima majani. Hapana! Lakini najua kuna mashamba ya kufundisha watu wawe wakijua kulima ninamna gani. Lakini sio serikali iwe ina majani, ama ina kahawa ama ina ng’ombe zao. Nafikiri hiyo tu ndio nilikuwa nao.Com. Keriako Tobiko Asante sana mama. Martin Kimuri. Simon Wairuiru, Jane Nyaguthii, Mathu Kinyua, Thomas Mzee..Thomas Mzee: Bwana Mwenyekiti, mimi naitwa Thomas Mzee. Nimekuja hapa kutoa maoni yangu. Bwana Mwenyekiti, miminaelewa kwamba tulipopigania uhuru, kuna watu “walipata” uhuru. Bwana mwenyekiti, Serikali ilipochukuliwa na hayati mzee

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!