verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet
verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet
62Com. Keriako Tobiko: Asante sana Mzee wangu. Makofi kwa mzee. Pastor J. Mureithi.Pastor J. Mureithi: Ndiyo. Kwa majina naitwa Joseph Ngunjiri Muriithi kutoka kanisa la kiAdventista katika eneo hili laMathira. Katibu wetu ataeleza zaidi mambo ambayo tumeidhinisha. Kitambo aingie nina haya ya kusema. Ili kumaliza nakuangamiza adui tatu za wanadamu ambao ni magonjwa, njaa na ujinga, napendekeza yafuatayo.Namba ya kwanza. Kila mwananchi wa Kenya apewe na ahakikishiwe huduma ya bure ya matibabu. Namba ya pili. Kilamawananchi wa Kenya apewe bure kipande cha ardhi kimoja, kiasi kama acre mbili ambacho hawezi kukiuzia mtu yeyote, ilaakishindwa anaweza rudishia serikali ikiwa hatakitumia, maana ni kaburi lake. Kila mtu binafsi katika Kenya awekewe kiwangocha ardhi na plot anazoweza kumiliki kama acre tatu na ploti tatu. Zaidi ya hayo, aweze kukomboa mwenyewe kwa muda fulaniili kuzuia uhaba na unyakuzi wa ardhi katika Kenya.Namba ya nne, utaratibu wa kuhifadhi misitu yetu, urudishwe kama awali ili kuzuia uhaba wa vyakula, mbao na miti, maji nahewa. Kingo zote za mito barabarani, na railways zipigwe marufuku kulimwa, hivyo kuzuia mmomonyoko na kuhifadhi hewanzuri na mazingira mazuri. Pia milimani iweze kuhifadhiwa.Sita: kila mwananchi wa Kenya apewe huduma ya bure ya elimu mpaka Chuo kikuu katika shahada ya kwanza - mradi tu anabidii ya kuendelea kusoma. Kuhusu usalama wa wananchi wa Kenya, napendekeza yafuatayo. Kila mwananchi wa Kenya,ahakikishiwe usalama wake wa kuishi, kumiliki ardhi, ploti, kufanya biashara au kazi katika eneo lo lote la Kenya bila kuingiliwaau kunyanyaswa kwa ajili ya rangi yake, kabila lake, ukoo wake au uumbile wake na kadhalika.Pili, Mtu yeyote akiuawa au kuchomewa nyumba, mali zake, au kuibiwa kwa sababu zilizotajwa hapo juu ya ukabila, rangi naukoo na kadhalika. Serikalil iweze kumlipa haraka iwezekanavyo kwa muda usiozidi miezi mitatu, na walinda usalama wa eneohilo wachukuliwe hatua kulingana na sheria.Tatu:Wahalifu wa kila mara, wanaofungwa na kufunguliwa zaidi ya mara tano waweze kuhamishwa na kufungwa maisha ilikulinda usalama wa wananchi.Namba nne. Vituo vya usalama viweze kuongezwa kila mahali. Kuhusu uhaba wa kazi na uajibikaji, napendekeza yafuatayo.Namba ya kwanza. Mishahara ya watumishi wote wa serikali iongezwa kiwango cha kuridhisha kulingana na grade zao. Nambaya pili, kila mtumishi wa Serikali aweze kustaafu afikapo umri wa miaka hamsini - ili kuwapa vijana waliomaliza masomo pianafasi ya kazi. Namba ya tatu. Kila mtumishi wa Serikali asiruhusiwe kuendesha biashara ingine akiwa kwenye utumishi. Kamavile madaktari wanaofungua clinic kando kando. Angojee.
63Com. Keriako Tobiko: Excuse me Pastor, I did not want to interrupt you but please you have a written memorandum, we willread through. There are so many people who want to speak. Can you just give me…..highlight the most important aspects.Pastor J. Mureithi: Okay. Kazi maalum kama vile mkuu wa sheria, judge mkuu na Rais wanaweza kustaafu wafikapo umriwa miaka sabini. Kuhusu ufisadi katika Kenya. Napendekeza kila kiongozi wa Serikali anayesimamia kikundi cha watu au idarafulani atangaze mali yake aingiapo kwenye utumishi na pia atakapostaafu kwenye utumishi.Pili: pia madiwani, wabunge na viongozi wa NGO watangaze mali zao ili kuhakikisha wananchi utumishi wa haki bila ufisadi.Tatu: kila kazi maalum kama vile Mkuu wa majeshi, Judge mkuu, Mkuu wa sheria, Commissioner wa polisi, Commissioner waardhi na makao, Commissioner wa uchaguzi na Commissioner wa katiba kama vile ilivyo, wawe wakichaguliwa na Bunge nakuajibika kwenye bunge ili wafanye kazi bila uoga na mapendeleo.Nne: kuwekwe kikosi maalum kilicho na uwezo wa kustaaki mtu yeyote, wakati wowote na mahali popote anapopatikana naufisadi. Tano:muda wa kukaa…..Com. Keriako Tobiko: Excuse me. I give you one minute to wind up please.Pastor J. Mureithi: Thank you. Kesi zote zisiweze kukaa zaidi ya mwaka mmoja bila kumalizika. Saba: Mtu yeyoteakipatikana akipewa hongo au toa kitu kidogo, anayetoa na anayepeana wachukuliwe hatua. Na kuhusu ajali barabarani, kunamapendekezo yafuatayo. Magari ya abiria ya umma ipunguzwe idadi ya kubeba ili kuwe na nafasi, hewa, ya kujikinga wakatiwa ajali. Madereva wa abiria ya uuma waweze kukaguliwa na waweze…….Com Keriako Tobiko: Pastor, pastor, your time is up. I am sorry. I cannot give you any other minute. Can we have KariukiMuiru?Kariuki Muiru: Thank you Commissioner. My name is Kariuki Muiru from Social Democratic Party. (SDP). Donor aid andgrants: All money lent to Kenya must be approved by Parliament. At the moment, 70% of GDP is composed of debts. Only30% to go before this country become bankrupt. Local borrowing by government of Kenya must have a ceiling. Preferably fivepercent of GDP.Devolution of power including fiscal, to Local Authorities. Of seventy per cent of taxes collected must be retained by LocalAuthorities and the budgets of the Local Authorities must be participatory. Rationalization on the size of government of Kenya:We only need about twelve Ministries. Ministerial departments also should be created and approved by Parliament. Controllerand Auditor General tenure should only be for a maximum of two five-year terms. Appointments must be through merit andvetted by Institute of Certified Public Accountants of Kenya, Public Service Commission and Parliament. The President must
- Page 11 and 12: 11wakuu kwa sababu tunaona ya kwamb
- Page 13 and 14: 13involvement and in other fields t
- Page 15 and 16: 15Com. Bishop Njoroge: Usiondoke ha
- Page 17 and 18: 17Com. Bishop Njoroge: Now, we are
- Page 19 and 20: 19memorandum wanaweza kupeana, Wanj
- Page 21 and 22: 21Diversity of a Kenyan ethnicity a
- Page 23 and 24: 23Com. Lethome: Mheshimiwa sorry I
- Page 25 and 26: 25suggestions will enrich us. May I
- Page 27 and 28: 27thinking and the political activi
- Page 29 and 30: 29Alexander Mwangi Magoti maria mar
- Page 31 and 32: 31The Judiciary: We need to have a
- Page 33 and 34: 33Com. Bishop Njoroge: Okay. Fine.
- Page 35 and 36: 35because members of Parliament and
- Page 37 and 38: 37Charles Macharia: World Bank shou
- Page 39 and 40: 39Com. Bishop Bernard Njoroge Sawa.
- Page 41 and 42: 41Onesmus Ngare: Not at all.Com. Bi
- Page 43 and 44: 43John G. Mwangi: Thank you very mu
- Page 45 and 46: 45Audience: Tunataka.Keriako Tobiko
- Page 47 and 48: 47effect and plastics should be add
- Page 49 and 50: 49Com. Bishop Njoroge: Thank you ve
- Page 51 and 52: 51Com. Bishop Njoroge: No, do not e
- Page 53 and 54: 53finish writing the report, we are
- Page 55 and 56: 55Ghalama: Ghalama ya hospitali na
- Page 57 and 58: 57see that our money is properly us
- Page 59 and 60: 59Gethi Mwai: Yah. I am doing that.
- Page 61: 61public servants can be answerable
- Page 65 and 66: 65have access to places of worship.
- Page 67 and 68: 67guthii na iguru.Translator: The P
- Page 69 and 70: 69Com. Keriako Tobiko: Thank you so
- Page 71 and 72: 71The second point I am going to ta
- Page 73 and 74: 73Jomo Kenyatta ikawa kuna watu wan
- Page 75 and 76: 75Com. Bishop Njoroge: Labda, sijui
- Page 77 and 78: 77Com. Lethome: Asante sana Bwana M
- Page 79 and 80: 79Translator: Commissioners, watoto
- Page 81 and 82: 81Geoffrey Gakuo: Thank you. Kwanza
- Page 83 and 84: 83Ashbel Macharia: Thank you Honora
- Page 85 and 86: 85Wachira Mwago: Thank you very muc
- Page 87 and 88: 87Samuel Thambo: Mundu aheo wira ku
- Page 89 and 90: 89Esther Mukami Githaiga: Nyimbo ci
- Page 91 and 92: 91Lucy Wanjugu: Uguo thiirikari ige
- Page 93 and 94: 93Translator: That the Lancaster Co
- Page 95 and 96: 95and am not going to repeat. Thank
- Page 97 and 98: 97Com. Keriako Tobiko: Thank you so
- Page 99 and 100: 99James Mwangi Muthiga: Kenyatta da
- Page 101 and 102: 101I am also proposing that the Pre
- Page 103 and 104: 103Com. Keriako Tobiko: Sasa la mwi
- Page 105 and 106: 105Gachachi. Kibaru Muhoro. Kagema
- Page 107 and 108: 107Com. Keriako Tobiko: Kama vipi?N
- Page 109 and 110: 109The vulnerable groups: Make prov
- Page 111 and 112: 111Com. Keriako Tobiko: Lastly.Char