12.07.2015 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

61<strong>public</strong> servants can be answerable to people. Those who misappropriate national resources be fired from <strong>of</strong>fice. That is all.Com. Keriako Tobiko: Thank you so much. Naftali Maina.Naftali Maina: Mimi nachangia kidogo. Namba one, watoto wapewe haki zao na wazazi “wasikubaliwe” watoto ovyo ovyo.Pointi ya pili. Mtoto asiolewe…Com. Keriako Tobiko: Mzee wangu usijaribu ku…..Naftali Maina: Okay Mtoto asiolowe akiwa chini ya miaka kumi na tano. Pointi ya tatu. Watoto wasipigwe hata kuumizwa nawazazi wao ama walimu. Waalimu wasifanye mapenzi na watoto. Pointi ingine, Elimu ya Msingi, Secondary na University,College iwe ya bure. Katika shule zote za umma.Hongo: Polisi, Mahakimu, Majudge na Walimu, Mawakili na wale wanahudumia uma, wawe na “affidavit” ama kibali yakusema hivi. “Akihongwa” anakubali kufungwa, na mhongaji afungwe mara mbili yake.”Pointi ingine. Hospitali: Matibabu iwe ya bure. Katika hospitali yote ya umma. Pointi ingine. Watu wakataliwe kusafisha nguozao katikati ya mito ile iko na maji kidogo kama Ragati. Na wakifanya hivyo wachukue karai na wasafishe nje kama futi kumina tano yaani kuzuia magonjwa ingine kama typhoid.Com. Keriako Tobiko: Nafikiria wamesikia. Ungesema sasa kwa sauti kubwa ndio wasikie hawa wazee.Naftali Maina: Okay watu wakataliwe, kusafisha nguo zao katikati ya mito. Ile iko na maji kidogo kama hii yetu Ragati, nawakifanya hivyo wawe mbali kama fiti kumi na tano. Na wawe na basin mahali maji hawezi ingia kwa mto tena na kuteremka.Kwa sababu hii ya typhoid.(Applause from the audience).Pointi ya Rais: Asikubaliwe afanye mambo peke yake. Kama kubadirisha elimu, kufukuza watu misutini - hiyo jukumu iwe yaBunge. Rais asichaguliwe akiwa na zaidi ya miaka sabini. Kwa sababu hata Biblia inasema…….Com. Keriako Tobiko: Sawa sawa.Naftali Maina: Zaburi 90. Mstari wa kumi. Pesa ya nchi iwe ya picha moja. Isiwe ikibadirishwa kila mara. Rais asifanyemasanamu ya makumbusho yake. Kuwe na uhuru wa kusema kwa kila mtu. Asante Mwenyekiti.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!