12.07.2015 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

5ifanywe Katiba. Kwa sababu ukihimiza sana, kuna wengine watakosa nafasi. Na tunataka kusikiza kila mwananchi. Kuna mtumwingine ana swali? Tuanze sasa. Tunaanza kwa pamoja. Sawa. Jambo lingine moja. Katika code of conduct yetu sasa,tunasema ukizungumza usimtaje mtu kwa jina mbaya au kuharibu jina la mtu yeyote. Sawasawa, hiyo tunaweza kukubaliana.Kwa sababu Katiba sio ya mtu ni yetu pamoja.Kwa hivyo ukitaja jina kama kuharibu jina la mtu,hiyo hatukubali. Kwa sababu itakuwa siasa. Si ni kweli? Kwa hivyo wewetaja mambo kama ni ya utawala kama sio mzuri. Ungetaka nini? Lakini tuwaache watu nini? Nje. Kwa sababu mnafikiri haowatu watasaidia kutengeneza katiba? Kwa nini tuwataje? So, ukija kwa njia ya kutukana mtu mwingine nitakunyamazisha.Nitakuwa nimefanya makosa?Audience: Hapana.Com. Bishop Njoroge: Mnajua Biblia inasema, watu wawili hawawezi kwenda pamoja bila kuwa na mahidiano. Kana tiguo?Andu eri matingituarana matari naki?Audience: Kariko.Com. Bishop Njoroge: Ihatikoragwo kariko. Ndirenda mundu a ndume kariko. Asante. Sasa tungetaka kusikiza Stanley K.Kagombe.Stanley K. Kagombe: Asanteni sana. Kwa jina naitwa vile mmesikia. Stanley Kigara Kagombe. Niko na memorandum lakininiko na section ambayo iko outside the memorandum. Na hiyo ndiyo ningetaka kusoma but with the memorandum hiyo ndionitapatia the Commission. This memorandum is for and on behalf of the Miiria clan, which they have discussed and resolved togive.I will start with land and property Rights. Let it be on record in our new Constitution, that the people of Kenya are sovereignand that no law or authority including even the Constitution is above the people. Let it be further noted that we are committed tothe future of Kenya as a united and indivisible country and composed of people of diverse cultures whose Rights are inviolable.During the emergency in 1952, Kenyans joined hands to free themselves from the yoke of colonialism,but little did we knowthat we freed ourselves from white colonialism and shifted to what one would literally term as black colonialism - In that thewhite colonialism, granted the whites large chunks of land, - that is the white highlands,-which you are aware of, whileindependence granted the same to a few blacks.The new Constitution should address itself to the fact that the population is increasing on a daily basis while land remains static.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!