verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
12.07.2015 Views

48views.Felix Matheri: My name is Felix Matheri. My views on the Constitution are: This is what I want to say as a student. That this8-4-4 system of education should come to an end because it is too expensive for our parents thus locking out many children inneed of education. Even the subjects we are learning are expensive since the books keep increasing and we are forced to buythem and this our parents can ill afford. The government should come up with a circular of books to be used by the Ministry ofEducation and it should not change books every now and then. Otherwise most of us will not be educated fairly enough.The economical problems facing our country: I as a villager, I want to come to rescue of people living in Muoroto. This isbecause they have built at the roadsides. They have nowhere to farm or dig. They should be given land to build and also till.Security. The other day two children were killed and their mother seriously injured and these were school children. Thosepeople who were guarding the area ought to be prosecuted. My worry is, how can someone enter a protected area and beunseen. The same applies to the policemen. He should be convicted and jailed and not only to be interdicted in case he is foundnot to be doing his duty or taking part in an illegal action.They should stop using guns like sticks that they can shoot you anytimein case you disagree with him or her.Com. Bishop Njoroge: Thank you very much for those views. You know that the views will be part of the Constitution. Thankyou very much. One question.Com. Keriako Tobiko: How old are you?Felix Matheri Ten.Com. Keriako Tobiko Do you go to school?Felix Matheri Yes.Com. Keriako Tobiko Which school?Felix Matheri: Gathaini.Com. Bishop Njoroge: Which class are you?Felix Matheri: Standard 5.

49Com. Bishop Njoroge: Thank you very much. Can I have your memorandum? Tumuhurire karuhi. Sasa hiyo ndiyo inawezakutuonyesha kwamba hii Katiba ina maana sana. Si ni kweli? Tangu lini mliona mtoto na wazee na akina mama wakiendakuzungumza mambo yao wenyewe? Si tunaweza kushukuru Mungu? Tupate Samuel Kibatha. Benard Kabii Maina.Benard Kabii Maina: Bwana Mwenye kiti, majina yangu ni Bernard Kabii Maina. Na kwa kisiasa ni Mwenyekiti wa chamakinaitwa Kenya Social Congress hapa Mathira. Yangu nitakwenda haraka tu. Kwa upande ya mashamba, mashambayalichukuliwa na watu wengine wakuu maofisini. Na watu wetu bado wanahaingika. Haya mashamba yote mazuri serikali ijayoiyachukue ndio isaidie kuwapatia wale watu hawako na mashamba - hata kama ni kuuziwa. Kwa sababu walichukua wakitumiamaofisi. Hata town ndogo kama hii kuna viwanja zinakaa bure. Kwa hivyo kama hizo zinakaa bure ni vizuri zichukuliwe.Ya pili, nasema kwa ma-Rais ambao watakuja nyuma hii, sionelei kama ni vizuri kuwa tukiwaita Baba wa Taifa. Sionelei kamani vizuri kwa sababu baba taifa alikuwa mmoja tu, na alikuwa Mzee Jomo Kenyatta. Kwa hivyo ikiwa tutapata Rais wabaadaye, apewe jina tu lakini baba wa taifa alikuwa Mzee Jomo Kenyatta.Ya tatu, ni pesa. Pesa za Kenya sionelei kama ni vizuri ziwe zikiwekwa picha ya mtu. Na kuitwa jina lake. Na ikiwa ni lazimakupewe jina au kubeba picha ya mtu, iwekwe ya Hayati Mzee Kenyatta, kwa sababu ndie mwanzilishi wa taifa hili. Na itakuwakwa record watoto watakao kuja nyuma yake watakumbuka kumwona Rais wetu wa kwanza. Kwa hivyo kama hizo kwamambo ya picha, kuwekwa jina la mtu ikiwa ni lazima, iwekwe ya Mzee Jomo Kenyatta.Ya nne, ningetaka kuzungumzia mambo ya Serikali. Serikali iwe na mpango ya wazee hawa mnaita wakongwe. Wazeewanazeeka na wengine wanakaa bure. Wengine matajiri tu. Serikali ya baadaye, ifikirie wazee wanaweza kuchungwa namnagani wasije wakawa wanakufa ovyo ovyo.Ya tano, ni watu wanaitwa wahalifu. Nimezungumza kuhusu criminal kusimama. Mimi naona kwa kuitwa criminal, kijana kamammoja niliona hapa akizungumza, ni mtu wa miaka kama ishirini au kumi na nane. Criminal labda aligonga mwingine, na anaingiarecord ya criminal. Labda alichukua kuku akiwa kijana- criminal.Iwekwe muda, huyu kijana akirekebisha tabia kwa miaka kama ishirini mpaka ishirini na tano achukuliwe kama hana makosa.Kwa sababu akiitwa criminal kwa wakati huu, ataingia kwa criminal zaidi sababu hana tumaini. Na ndio atakuwa mtu mhalifuzaidi. Kwa sababu hiyo mimi naonelea ipewe muda. Wacha nikate kauli niseme, mtu akiwa na miaka 18 au 20 na afanyeuhalifu, apewe miaka ingine ishirini na tano. Na hiyo itampa nafasi ya kusimama Councilor…ama Mheshimiwa.Com Bishop Bernard Njoroge:Tumesikia hiyo point.Bernard Kabii Maina: Ya sita ni uchaguzi. Uchaguzi uwekwe nafasi ya mtu kuwa anasimama kama Independent Candidate.Kwa sababu vyama vingine vinakataa watu na kuwakataza kusimama. Kwa hivyo watu wakubaliwe namna hiyo. Kuna dini.

49Com. Bishop Njoroge: Thank you very much. Can I have your memorandum? Tumuhurire karuhi. Sasa hiyo ndiyo inawezakutuonyesha kwamba hii Katiba ina maana sana. Si ni kweli? Tangu lini mliona mtoto na wazee na akina mama wakiendakuzungumza mambo yao wenyewe? Si tunaweza kushukuru Mungu? Tupate Samuel Kibatha. Benard Kabii Maina.Benard Kabii Maina: Bwana Mwenye kiti, majina yangu ni Bernard Kabii Maina. Na kwa kisiasa ni Mwenyekiti wa chamakinaitwa Kenya Social Congress hapa Mathira. Yangu nitakwenda haraka tu. Kwa upande ya mashamba, mashambayalichukuliwa na watu wengine wakuu ma<strong>of</strong>isini. Na watu wetu bado wanahaingika. Haya mashamba yote mazuri serikali ijayoiyachukue ndio isaidie kuwapatia wale watu hawako na mashamba - hata kama ni kuuziwa. Kwa sababu walichukua wakitumiama<strong>of</strong>isi. Hata town ndogo kama hii kuna viwanja zinakaa bure. Kwa hivyo kama hizo zinakaa bure ni vizuri zichukuliwe.Ya pili, nasema kwa ma-Rais ambao watakuja nyuma hii, sionelei kama ni vizuri kuwa tukiwaita Baba wa Taifa. Sionelei kamani vizuri kwa sababu baba taifa alikuwa mmoja tu, na alikuwa Mzee Jomo Kenyatta. Kwa hivyo ikiwa tutapata Rais wabaadaye, apewe jina tu lakini baba wa taifa alikuwa Mzee Jomo Kenyatta.Ya tatu, ni pesa. Pesa za Kenya sionelei kama ni vizuri ziwe zikiwekwa picha ya mtu. Na kuitwa jina lake. Na ikiwa ni lazimakupewe jina au kubeba picha ya mtu, iwekwe ya Hayati Mzee Kenyatta, kwa sababu ndie mwanzilishi wa taifa hili. Na itakuwakwa record watoto watakao kuja nyuma yake watakumbuka kumwona Rais wetu wa kwanza. Kwa hivyo kama hizo kwamambo ya picha, kuwekwa jina la mtu ikiwa ni lazima, iwekwe ya Mzee Jomo Kenyatta.Ya nne, ningetaka kuzungumzia mambo ya Serikali. Serikali iwe na mpango ya wazee hawa mnaita wakongwe. Wazeewanazeeka na wengine wanakaa bure. Wengine matajiri tu. Serikali ya baadaye, ifikirie wazee wanaweza kuchungwa namnagani wasije wakawa wanakufa ovyo ovyo.Ya tano, ni watu wanaitwa wahalifu. Nimezungumza kuhusu criminal kusimama. Mimi naona kwa kuitwa criminal, kijana kamammoja niliona hapa akizungumza, ni mtu wa miaka kama ishirini au kumi na nane. Criminal labda aligonga mwingine, na anaingiarecord ya criminal. Labda alichukua kuku akiwa kijana- criminal.Iwekwe muda, huyu kijana akirekebisha tabia kwa miaka kama ishirini mpaka ishirini na tano achukuliwe kama hana makosa.Kwa sababu akiitwa criminal kwa wakati huu, ataingia kwa criminal zaidi sababu hana tumaini. Na ndio atakuwa mtu mhalifuzaidi. Kwa sababu hiyo mimi naonelea ipewe muda. Wacha nikate kauli niseme, mtu akiwa na miaka 18 au 20 na afanyeuhalifu, apewe miaka ingine ishirini na tano. Na hiyo itampa nafasi ya kusimama Councilor…ama Mheshimiwa.Com Bishop Bernard Njoroge:Tumesikia hiyo point.Bernard Kabii Maina: Ya sita ni uchaguzi. Uchaguzi uwekwe nafasi ya mtu kuwa anasimama kama Independent Candidate.Kwa sababu vyama vingine vinakataa watu na kuwakataza kusimama. Kwa hivyo watu wakubaliwe namna hiyo. Kuna dini.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!