12.07.2015 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

45Audience: Tunataka.Keriako Tobiko: Hamjamboni nyote. Vile ndugu yangu amesema, mimi naitwa Keriako Tobiko, na mimi ni mmoja waCommissioners katika hiyo tume ya kurekebisha Katiba. Nimekuwa na shida kidogo barabarani lakini hata hivyo nimefika.Namshukuru Mungu kwa hiyo. Asanteni.Walter Wambugu: Okay Mr. Chairman. Mimi maoni yangu ni: Ya kwanza ni upande wa elimu. Elimu ningeuliza kufuatana navile tulipata uhuru mwaka wa 1963, Katiba iliyokuwa ilikuwa ikisema elimu iwe ya bure. Hiyo ndio mimi ningeuliza Katiba mpyaifikirie sana elimu iwe ya bure.Namba ya pili nayo ni upande wa health: Nao upande wa health nao uwe free – kwa sababu nci tumekuwa na taabu sanaupande wa matibabu. Jambo la tatu, ni upande wa ukulima. Wakulima wametaabika sana hasa upande huu wetu. Ningeulizakama ingewezekana, Serikali iwe kama ni upande wa Kahawa upande wa Majani na upande wa ukulima wa Ng’ombe -upande wa Maziwa. Serikali iondoke kabisa iachie wakulima wafanye kazi yao. Serikali ifanye tu kuuliza tax, waulize kodi pekeyake. Mambo ingine yote waachie wakulima wenyewe.Naye President wa nchi apunguzwe mamlaka yake kwa sababu ikiwa President kila kitu yeye mwenyewe ndiye atakuwaakisema, nchi itakuwa na taabu sana. Tutauliza Parliament yenyewe kwa sababu ndiyo ilichaguliwa na watu, mambo yoteikipitishwa na Parliament, President awe mlinzi wa kuangalia hiyo sheria ambayo imepitishwa, hakuna mtu anaigeuza. IlaParliament yenyewe, irudishwe Parliament kama kitu kinatakiwa, Parliament yenyewe iwe ikifanya hiyo kazi.Namba tano ni upande wa Bank. Upande wa Bank! Hii inakuwa shida sana. Unafanya agreement na Bank, umekopa loan.Bank kwa ile agreement mmeandika, Bank wenyewe wanakaa wakimaliza miezi tano, hiyo loan inapanda juu, Inapanda juu. Nawakati ulifanya agreement, ulifanya ukijua pesa hii nitachukua nitalipa na …unafanya budget yako vile unapata pesa. Uweukilipa hiyo pesa kulingana na vile muliagana. Lakini sasa loan unaona mtu amechukua kitu kama shillingi elfu mia moja. Unalipakaribu half a million. Hii imekuwa shida sana upande wa bank.Com. Bishop Njoroge: Sasa, ningetaka useme, pointi kwa pointi kwa sababu tuko na watu wengi. Kama hiyo umesematumeelewa. Interest ya Banks iangaliwe. Sawa sawa. Kwenda nyingine na useme ya mwisho ili tuweze kupatia wengine nafasi.Okay, na upande wa Budget ya nchi. Wakati Budget inasomwa, inakuwa shida mambo ya…budget ikishasomwa, tukaelewa,tukaelezwa hii na hii zimepanda. Lakini baada ya kumaliza wiki moja wiki mbili, tena unasikia kitu kimepanda tena. Sasa hiyondiyo tunauliza Katiba iangalie sana kama budget itasomwa, iwe ni hiyo hiyo mpaka mwisho wa mwaka. Okey. Asante sanaBwana Mwenyekiti.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!