12.07.2015 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

4ambayo itatuongoza katika siku zijazo na kuweza kutupa nchi ambayo ni nzuri zaidi ambayo pia watoto wetu watawezakufaidika nayo. Kwa hayo machache, namwachia mwenye kiti wa kikao Bishop Njoroge.Com. Bishop Njoroge: Tukianza kutoa maoni, tutampatia kila mtu nafasi. Na mtu akitoa maoni yake, tutakubaliana kwambahakuna mtu ataingilia mwingine anapotoa maoni. Sawasawa? Hata ukisikia hasemi vizuri. Hiyo ni maoni ya nani?Audience: Yake.Com. Bishop Njoroge: Yake.Wakati utafika wewe utoe maoni yako. Ya pili tunataka tukubaliane kwamba tunaweza kutumialugha zote. Lugha ya Kiingereza, lugha ya Kiswahili na wale hawafahamu lugha hizo vizuri, wanaweza kuzungumza Kikuyu naitatafsiriwa. Sawa sawa?Audience: Sawa.Com. Bishop Njoroge: Kwa sababu hatutaki kumuacha mtu nje. Maoni yake ni ya muhimu. Jambo la tatu ni kwamba kunawale wamekuja na Memorandum. Wale wamekuja na nini?Audience: Memorandum.Com. Bishop Njoroge: Ukiwa una Memorandum, hatutaki wewe useme yote yaliyo katika memorandum kwa sababututachukua hiyo memorandum. Tukienda Nairobi tutaitengeneza na kuiweka katika mahali inay<strong>of</strong>aa. Kwa hivyo tusipotezemuda mwingi ili tuweze kusikiza watu wengi. Ukiwa na Memorandum, taja tu points. Sawa sawa. Kwa sababu tutaichukuatwende nayo. Lakini kama huna memorandum, tunahitaji uzungumze yote ili kwamba tuweze kuyapokea na kuiweka katikakadude haka. Sawa sawa? Kuna swali sasa. Tumekubaliana? Uliza.Interjection: Sasa mtu akiwa na memorandum yake na anataka kusoma ndio watu wasikie, na wewe unasema lazima mtuasome points. Inaweza kuwa wewe umetengeneza vizuri watu wasikie na mwingine anaweza kupata chance ya ku-correct.Com. Bishop Njoroge: Hilo ni swali nzuri. Huelezi maoni yako kwa hao watu. Si ni kweli? Mtu afanye nini? Rafiki yakeanaweza kusimama ifike ya Taliban.(inaudible) Maoni yale tunatoa hapa, ni ya kutengeneza nini?Audience: Katiba.Com. Bishop Njoroge: Na maoni yako ikifika mahali inachukuliwa na kuwekwa mahali ya katiba. Hiyo ndio inafaa.Sawasawa? Kwa sababu hii ndio njia ya kutengeneza katiba. Kwa hivyo haja yako ni maoni yako. Na iende Nairobi na

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!