verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
12.07.2015 Views

2ON23 rd April 2002.CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, MATHIRA CONSTITUENCY,HELD AT KARATINA TOWN HALL ONTUESDAY 23 RD April 2002.Present:Bishop Bernard Kariuki Njoroge - CommissionerMr. Ibrahim Lethome - “Mr. Keriako Tobiko - “Secretariat In Attendance:Samuel Wanjohi - Programme Officer.Josephine Ndungu - Verbatim Recorder.Leah Omondi - Sign Language Translator.The meeting was called to order at 9.00 a.m.

3Samuel Wanjohi: Kwa mkutano, hawa ndio staff ambao tutakuwa nao. Huyu mama anaitwa Leah Omondi. Anafanya kazi yasign language translator, na huyu mama anaitwa Josephine Ndungu. Josephine Ndungu ana-tape maneno yote mtakayo ongeahapa. Na mimi naitwa Samwel Wanjohi. Mimi ni Programme Officer, mimi nitakuwa nikiangalia mambo vile itakuwa hapa. Natutamuomba Father mwenye mission hii, Father In charge, Father Mucheke, atuongoze kwa maombi ya asubuhi ili tuanze kaziya kusikiza maoni yenu. Father Mucheke please.Member of Constituency Committee: I am sorry I am not the Father in Charge, I am a member of the ConstituencyCommittee. Okay rekei turugame.Maombi:Kwa jina la Baba na la Mwana na Roho Mtakatifu, Mungu baba mwenyezi tunakushukuru asubuhi ya leo kwa yale yoteumetujalia. Twakushukuru kwa nchi yetu na twakushukuru kwa wananchi wote. Katika kikao hiki ambacho umetujaliatunakuomba uongoze yote yale tutakayofanya kwa manufaa ya sisi wenyewe na zaidi kwa nchi yetu. Wabariki watakao kuja.Wabariki Commissioners wetu na utujalie yote tunayotarajia. Na tunaomba hayo kwa jina la Kristo Bwana wetu.Samuel Wanjohi: Thank you. Yule mwenye kuongea, ataongea kutoka hapa. Na sasa tutampatia Bishop Njoroge ndioaendeshe kikao.Com. Bishop Benard Njoroge: Habari ya asubuhi. Mnanisikia vizuri? Hii ndio inafanya kelele. Wanjohi tamiige irorete nakuria. Na sasa mnanisikia? Habari ya asubuhi Wakenya? Muko wazima? Huku kwenu ni kama Mungu anawapenda, kunamvua kila siku. Si ni kweli? Mungu ni mwema. Tunafuraha kuja hapa kuwa nanyi. Tunafurahia Father kukubali tutumie hall hii.Na tumekuja kwa ajili ya kupokea maoni ili tuweze kutengeneza nchi hii yetu. Jina langu naitwa Bishop Bernard Njoroge. Namimi ndiye nitakuwa Chairman wa kikao hiki, na mimi ni Commissioner wa Constitutional Review na tuna ndugu yangu BwanaLithome atawasalimia kwa sababu anajua eneo hili. Karibu ndugu Lithome.Com. Lethome: Watu wa Mathira. Hamujambo. Tunashukuru sana kwa kuweza kuwa na nyinyi hapa na tunamshukuruMwenyezi Mungu ambaye ametuleta kwa salama kutoka Nairobi mpaka hapa. Pia tunashukuru Mungu ambaye amewaletampaka hapa na nafikiri katika hiki kikao tutaweza kusikia maoni yenu. Leo sio siku yetu ya kuzungumza, ni siku yetu yakusikiza. Sisi kwanzia sasa mpaka jioni kazi yetu ni kuwasikiza nyinyi. Kwa hivyo, najua muko tayari na maoni. Ama hamkotayari?Audience: Tuko tayari.Com. Lethome: Na sisi kazi yetu ni kuwasikiza na tunatumaini kuwa tutapata maoni ambayo itatusaidia kuandika katiba

3Samuel Wanjohi: Kwa mkutano, hawa ndio staff ambao tutakuwa nao. Huyu mama anaitwa Leah Omondi. Anafanya kazi yasign language translator, na huyu mama anaitwa Josephine Ndungu. Josephine Ndungu ana-tape maneno yote mtakayo ongeahapa. Na mimi naitwa Samwel Wanjohi. Mimi ni Programme Officer, mimi nitakuwa nikiangalia mambo vile itakuwa hapa. Natutamuomba Father mwenye mission hii, Father In charge, Father Mucheke, atuongoze kwa maombi ya asubuhi ili tuanze kaziya kusikiza maoni yenu. Father Mucheke please.Member <strong>of</strong> Constituency Committee: I am sorry I am not the Father in Charge, I am a member <strong>of</strong> the ConstituencyCommittee. Okay rekei turugame.Maombi:Kwa jina la Baba na la Mwana na Roho Mtakatifu, Mungu baba mwenyezi tunakushukuru asubuhi ya leo kwa yale yoteumetujalia. Twakushukuru kwa nchi yetu na twakushukuru kwa wananchi wote. Katika kikao hiki ambacho umetujaliatunakuomba uongoze yote yale tutakay<strong>of</strong>anya kwa manufaa ya sisi wenyewe na zaidi kwa nchi yetu. Wabariki watakao kuja.Wabariki Commissioners wetu na utujalie yote tunayotarajia. Na tunaomba hayo kwa jina la Kristo Bwana wetu.Samuel Wanjohi: Thank you. Yule mwenye kuongea, ataongea kutoka hapa. Na sasa tutampatia Bishop Njoroge ndioaendeshe kikao.Com. Bishop Benard Njoroge: Habari ya asubuhi. Mnanisikia vizuri? Hii ndio inafanya kelele. Wanjohi tamiige irorete nakuria. Na sasa mnanisikia? Habari ya asubuhi Wakenya? Muko wazima? Huku kwenu ni kama Mungu anawapenda, kunamvua kila siku. Si ni kweli? Mungu ni mwema. Tunafuraha kuja hapa kuwa nanyi. Tunafurahia Father kukubali tutumie hall hii.Na tumekuja kwa ajili ya kupokea maoni ili tuweze kutengeneza nchi hii yetu. Jina langu naitwa Bishop Bernard Njoroge. Namimi ndiye nitakuwa Chairman wa kikao hiki, na mimi ni Commissioner wa Constitutional Review na tuna ndugu yangu BwanaLithome atawasalimia kwa sababu anajua eneo hili. Karibu ndugu Lithome.Com. Lethome: Watu wa Mathira. Hamujambo. Tunashukuru sana kwa kuweza kuwa na nyinyi hapa na tunamshukuruMwenyezi Mungu ambaye ametuleta kwa salama kutoka Nairobi mpaka hapa. Pia tunashukuru Mungu ambaye amewaletampaka hapa na nafikiri katika hiki kikao tutaweza kusikia maoni yenu. Leo sio siku yetu ya kuzungumza, ni siku yetu yakusikiza. Sisi kwanzia sasa mpaka jioni kazi yetu ni kuwasikiza nyinyi. Kwa hivyo, najua muko tayari na maoni. Ama hamkotayari?Audience: Tuko tayari.Com. Lethome: Na sisi kazi yetu ni kuwasikiza na tunatumaini kuwa tutapata maoni ambayo itatusaidia kuandika katiba

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!