verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
12.07.2015 Views

24interests of people with disabilities in the Parliament, the Municipal Council and the County Council.The Government Schools bursary funds should assist the children of people with disabilities taking into account that thesechildren might not perform well because they come from unusual families. The schools’ bursary funds should be divided into twocategories. E.g. for the brighter and poor students, the less fortunate children of people with disabilities, children of widows,orphans so as to give all children right to education. Equipment for use by people with disability e.g. wheelchairs, crutches,artificial limbs and any materials imported to our country to be used by people with disabilities should be given free. This shouldapply to an individual who would like to import anything useful for these disabilities. No person with disabilities should bedenied the chance for education in any government institution for lack of money.All people with disabilities should have free medical treatment in government hospitals and be considered for half charges inprivate hospitals. Land board when dealing with land matters, should make sure to investigate all families and find out if anyperson with disabilities has been over looked because of his or her disabilities before any land is subdivided. When plots arebeing set aside for Schools, Hospitals e.t.c. a special road should be put aside for the interests of people with disabilities. Thenew Constitution should make sure that the rights of people with disabilities are effected when it comes to matters of:a. Marriages.b. Having childrenc. Employment and job opportunities.d. Acquiring propertye. Protection and right to adopt children if they can cater for them.The Ministry for Culture and Social Services should consider putting up a special office to cater for the people with disabilities.This should be included in the new Constitution to make it effective.Com. Bishop Njoroge: Ukiwa una nyingi, sio lazima usome zote kwa sababu tutachukua hiyo memorandum - lakini usome ileunafikiria ni muhimu.Mary Wanja: Other vulnerable groups are widows, single mothers and the aged. All these groups have problems beyond theirneeds. The Constitution can make provision for affirmative action by enlightening the government on the need for povertyeradication through taking interests in these groups. There should be national trust for all these groups for if the governmentleads the way, public to follow. The Constitution can guarantee and protect the rights of children by enforcing laws made toprotect children from neglect by parents. Parents and the public at large should be enlightened on their responsibilities towardstheir being in the world. That is what I could read but they are more than that.Com Bishop Bernard Njoroge: Thank you very much Wanjat. Your memorandum will get to our headquarters and your

25suggestions will enrich us. May I ask anybody who has a mobile phone to switch it off? Tafadhali. Peter Mwangi Gathanga..Umepeana memorandum?Peter Mwangi: Bwana Mwenyekiti mimi sina memorandum, nikuongea nitaongea na ni taongea juu ya Katiba kuhusu mkulima.Katiba tuliyo nayo ya Kenya, inaonyesha haishughulikii mkulima. Na haishughulikii kwa kipengele ambacho nitasema, ukiendakwa upande wa mkulima, ndio uchumi wa nchi hii na uchumi ni ukulima na ndio uti wa mgongo. Lakini, Bwana Mwenyekiti,tukienda kwa mkulima ndiye mtu ambaye Katiba imemunyanyasa sana na haimshughulikii.Tuna zao la kahawa. Katika zao la kahawa, katiba imeruhusu mabrokers kuingia kwa kahawa. Mkulima ambaye analimakahawa hawezi kupata kitu, brokers zote, katiba imekubalia zikae mbele, mkulima akilima kahawa, akipeleka kwa society,kahawa yake inafika hapo inachukuliwa na brokers. Inakuwa pesa yote inaenda kwa broker. Kwa hapo ningetaka kusema yakwamba tuondelewe brokers kwa ukulima wa kahawa. Mkulima ajiuzie kahawa yeye mwenyewe.Ile ingine, Bwana Chairman katika kahawa, kuna mikopo ambayo saa hii ambayo huwa tunapewa ya kuinua ukulima wakahawa. Ukipatiwa hiyo mikopo inaingia kwa mikono ya brokers. Kama hizo donors zinatoka nje zikiwa na rate ya chini sana,zinaingia kwa brokers kama cooperative bank. Halafu wakitupatia wanatupatia na interest ya juu sana. Tungetaka hizo ziendedirect kwa mkulima, ndio mkulima naye jasho yake apate. Ile ingine, kahawa hii tunauza, tunauza kama raw material. Na katibahaishughulikii kahawa yetu ambaye ndio inasemekana ina ladha nzuri sana katika dunia nzima. Sisi tunabaki watu kuuambiwa,kahawa yenu iko na ladha, - lakini pesa hatupati. Kahawa yenu ni namba moja dunia mzima. Lakini pesa hatupati. Kwa hivyoningeomba katiba ishughulikie kahawa tusiwe tukiuza kama raw material. Tuuze kahawa kama tumetengeneza na tujiuzietupeleke mpaka mahali inanuliwa.Ile ingine Mwenyekiti kwa kahawa, kabla zijatoka kwa kahawa, kuna mahali kahawa ambapo wale watu wananunua kahawawananunua Nairobi. Na wanaenda kuuza nje. Mkulima hawezi kuwa anakuza kahawa na hawezi kujiuzia huko nje. Kwa hivyosoko la kimataifa la kahawa, liwe likishughulikia kahawa yetu na tuwe tukichagua watu wetu wa kujiuzia kahawa. Vikwazovingine ambazo tumewekwa ni vikwazo vya kusema ati kahawa ikiuzwa au mtu anauza kahawa awe na billion kama surety iliawe ana nunua kahawa. Kama kahawa hii ni yangu na ni mimi nimekuza, na mimi ninajiuzia, kwa nini niitishwe surety ya onebillioni ndio niende kwa cooperative bank ni kakope? Nizidi kuwa nimenyonywa na Cooperative bank. Kwa hivyo kwa upandewa kahawa tungetaka sheria itushughulikie na sisi tuwe huru kwa ukulima wa kahawa kabisa kabisa. Na brokers wotewaondolewe kwenye kahawa.Ya pili Mwenyekiti, ningesema habari kama ya majani chai. Majani Chai vile vile ni kama kahawa. Tukienda kwa ukulima waCotton. Sisi Cotton yetu inaharibikia kwa mashamba. Tungetaka katiba ishughulikie hiyo Cotton isiharibikie kwa mashamba.Maanake hiyo Cotton ndiyo imefanya sisi tufunge viwanda vya nguo, tunafunga kama Rivertex, Eldoret, Hamisi na kila kiwandainafungwa na pamba inaoza halafu tunabaki tukifaa mitumba na sisi wenyewe tunakuza pamba na tuna viwanda ambavyo

25suggestions will enrich us. May I ask anybody who has a mobile phone to switch it <strong>of</strong>f? Tafadhali. Peter Mwangi Gathanga..Umepeana memorandum?Peter Mwangi: Bwana Mwenyekiti mimi sina memorandum, nikuongea nitaongea na ni taongea juu ya Katiba kuhusu mkulima.Katiba tuliyo nayo ya Kenya, inaonyesha haishughulikii mkulima. Na haishughulikii kwa kipengele ambacho nitasema, ukiendakwa upande wa mkulima, ndio uchumi wa nchi hii na uchumi ni ukulima na ndio uti wa mgongo. Lakini, Bwana Mwenyekiti,tukienda kwa mkulima ndiye mtu ambaye Katiba imemunyanyasa sana na haimshughulikii.Tuna zao la kahawa. Katika zao la kahawa, katiba imeruhusu mabrokers kuingia kwa kahawa. Mkulima ambaye analimakahawa hawezi kupata kitu, brokers zote, katiba imekubalia zikae mbele, mkulima akilima kahawa, akipeleka kwa society,kahawa yake inafika hapo inachukuliwa na brokers. Inakuwa pesa yote inaenda kwa broker. Kwa hapo ningetaka kusema yakwamba tuondelewe brokers kwa ukulima wa kahawa. Mkulima ajiuzie kahawa yeye mwenyewe.Ile ingine, Bwana Chairman katika kahawa, kuna mikopo ambayo saa hii ambayo huwa tunapewa ya kuinua ukulima wakahawa. Ukipatiwa hiyo mikopo inaingia kwa mikono ya brokers. Kama hizo donors zinatoka nje zikiwa na rate ya chini sana,zinaingia kwa brokers kama cooperative bank. Halafu wakitupatia wanatupatia na interest ya juu sana. Tungetaka hizo ziendedirect kwa mkulima, ndio mkulima naye jasho yake apate. Ile ingine, kahawa hii tunauza, tunauza kama raw material. Na katibahaishughulikii kahawa yetu ambaye ndio inasemekana ina ladha nzuri sana katika dunia nzima. Sisi tunabaki watu kuuambiwa,kahawa yenu iko na ladha, - lakini pesa hatupati. Kahawa yenu ni namba moja dunia mzima. Lakini pesa hatupati. Kwa hivyoningeomba katiba ishughulikie kahawa tusiwe tukiuza kama raw material. Tuuze kahawa kama tumetengeneza na tujiuzietupeleke mpaka mahali inanuliwa.Ile ingine Mwenyekiti kwa kahawa, kabla zijatoka kwa kahawa, kuna mahali kahawa ambapo wale watu wananunua kahawawananunua Nairobi. Na wanaenda kuuza nje. Mkulima hawezi kuwa anakuza kahawa na hawezi kujiuzia huko nje. Kwa hivyosoko la kimataifa la kahawa, liwe likishughulikia kahawa yetu na tuwe tukichagua watu wetu wa kujiuzia kahawa. Vikwazovingine ambazo tumewekwa ni vikwazo vya kusema ati kahawa ikiuzwa au mtu anauza kahawa awe na billion kama surety iliawe ana nunua kahawa. Kama kahawa hii ni yangu na ni mimi nimekuza, na mimi ninajiuzia, kwa nini niitishwe surety ya onebillioni ndio niende kwa cooperative bank ni kakope? Nizidi kuwa nimenyonywa na Cooperative bank. Kwa hivyo kwa upandewa kahawa tungetaka sheria itushughulikie na sisi tuwe huru kwa ukulima wa kahawa kabisa kabisa. Na brokers wotewaondolewe kwenye kahawa.Ya pili Mwenyekiti, ningesema habari kama ya majani chai. Majani Chai vile vile ni kama kahawa. Tukienda kwa ukulima waCotton. Sisi Cotton yetu inaharibikia kwa mashamba. Tungetaka katiba ishughulikie hiyo Cotton isiharibikie kwa mashamba.Maanake hiyo Cotton ndiyo imefanya sisi tufunge viwanda vya nguo, tunafunga kama Rivertex, Eldoret, Hamisi na kila kiwandainafungwa na pamba inaoza halafu tunabaki tukifaa mitumba na sisi wenyewe tunakuza pamba na tuna viwanda ambavyo

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!