12.07.2015 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

15Com. Bishop Njoroge: Usiondoke hapo. Kuna swali ambalo ningetaka kukuuliza. Hawa akina mama thelathini ambaoungetaka wawe wabunge, ungetaka wawe-nominated. Na swali la pili ungetaka tu wawe thelathini katika Parliament ya watuzaidi ya mia mbili?Sophia Wathoni: Ningetaka hata kama tunachagua, kwa maana wanawake ndio wengi, ningeuliza, mwanamke akijisimamisha,wanawake tumchague, tuone tumechagua wanawake thelathini wa kutuakilisha katika bunge. Tuwachague.Com. Lethome: Hata mimi niko na swali hapa. Kuna kitu kinaitwa affirmative action hapa Kenya. Na affirmative action sikuzote inazungumzia habari ya 1/3. Sasa huoni kama unauumiza kina mama ukiwarudisha kwa thelathini? Kwa sababu 30%….1/3 ya 210 ni zaidi ya thelathini. Kwa nini unarudisha mama chini?Sophia Wathoni: Hapa kwa wale wasiojiweza, kwa maana sasa tuna wanawake wachache. Kule kwa bunge na wanawakendio wengi katika nchi yetu-unaona tuna wachache. Angalao thelathini wanaweza kutuakilisha - Kwa maana sisi hatujipendisana. Tunaona thelathini wanaweza kutuakilisha katika bunge.Com. Bishop Njoroge: Asante Mama. Tuletee memorandum. Joseph Karoki.Joseph Karoki: Asante sana Mwenyekiti wa kikao hiki. This is a presentation of my own views. I have taken my presentationas defining the three sections of the government. That is the Legislature, the Executive and the Judiciary, and the way I wouldwant them to be in the new Constitution.Com. Bishop Njoroge: Hebu nizungumze kabla haujaanza. Tunataka tu, recommendations. I understand tutakuwa na zaidi yawatu elfu mbili. Na mtu akizungumza muda mrefu wengine hawatafanya nini? Tunataka recommendations. One…. “Pa pa pa.”Kwa sababu hizo stories hazitaingia, recommendations ndio itafanya nini? Itaingia.Joseph Karoki: For the members of the Legislature, i.e. Parliament, a member should have a minimum of form four standardof education, should have upright morals and should never have been convicted of a crime. There should also be a provision forindependent candidates besides those nominated by Political parties. The Legislature should remain multiparty and bicameral.We should have Upper and Lower Houses as was in our independent Constitution; and for bills to pass in the House, weshould have 75% in House of Representatives and 90% in the Senate- the Senate comprising one representative from everydistrict.Recall of MPs: There should be in our Constitution a provision for the constituents to recall their MP incase his performance isbelow expectation.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!