12.07.2015 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

14Parliament.Com. Lethome: Thank you.Com. Bishop Njoroge: I just wish to recognize the Father <strong>of</strong> this parish who has given us this hall to use today. I just want torecognize him. May be you can tell us karibu because we started when you were not here.Father Muturi: Actually am not the Parish priest <strong>of</strong> this parish but on his behalf, I welcome you to this hall on this very aspiringday. May the Lord stay with us to help us make a law that correspond to His will. Thank you.Com. Bishop Njoroge: Can we have Mary Wanja? You can speak from where you are.Samuel Wanjohi: Anasema karatasi yake inakuja.Com. Bishop Njoroge: Sophia Wathoni?Sophia Wathoni: Jina langu ni Sophia Wathoni Kigui kutoka P.C.E.A Kiamwangi parish, na yangu ni kusema wananchi wotewawe wenye kuogopa Mungu ndipo tuweze kufanya mambo yote yetu vyema. Rais awe Kenyan citizen na achaguliwe naWananchi, na awe mcha Mungu na awe na Shahada ya degree na umri kati ya miaka 50-55, atawale kwa miaka kumi, kishaaondoke, na awe na familia, na pia achunguzwe mambo yake yote kutoka utotoni. Na tena achunguzwe mambo yake yotekutoka utotoni.Tena tuwe na Waziri mkuu na apewe mamlaka ya kusaidia Wabunge, kuahirisha na kufungua Bunge, apange timetable ya kilamwaka na awe kiongozi wa serikali. Tena kuwe na vyama viwili peke yake. Na kuwe na serikali ya mseto: Kuwe na kamati yakuchunguza mishahara ya wabunge, bila wabunge kujipatia mishahara na kujiongezea wao wenyewe.Polisi nao wasijichukulie sheria mikononi, wasimwadhibu mkosaji kabla hajapelekwa kortini. Kila mwananchi awe na shambahata kama ni sehemu ndogo peke yake. Rais naye apewe mamlaka ya kuchagua wakuu wa majeshi. Mahakama nayo yawe nauhuru wa kufunga au kuachilia mshitakiwa bila kuingiliwa na ye yote yule. Wanafunzi nao wawe wakichapwa viboko mahalimwalimu anaona hawezi kuumia. Wasichana wanaweza kuchapwa kwa mikono nao wavulana nao wawe wakichapwa kwamatako ili kuwe na discipline katika shule zetu.Katika bunge kuwe na wanawake thelathini wa bunge. Nominated members wawe wakichaguliwa na vikundi vilewanavyowaakilisha. Kama ni walemavu, wapewe nafasi ya kuchagua nominated wao wa kwenda kuwaakilisha katika bunge.Na kila kikundi kipewe nafasi ya kujichagulia nominated members wao bila kuchaguliwa na Rais. Nao uabudu wa shetaniupigwe marufuku katika nchi yetu. Wananchi wote wawe wamcha Mungu.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!