12.07.2015 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

123Vice Chairlady CCC: Sitakaa. Lakini hata sisi tukiwa wanakamati tumetoa shukrani kubwa sana kwa vile mumevumilia,mkachoka, kutoka asubuhi mpaka wa leo ili mtusikilize. Hata sisi tunatoa shukrani kubwa sana. Nikiwa mdogo wa mwenyekiti- mwenyekiti ni Mayor wetu na ameenda kidogo akaniwacha. Tulikuwa tukifanya pamoja kwa vile mumeongea. Lakini hapatumebaki wachache. Tuko na Secretary wetu Mr.Wanjohi, na Miss Mary huyu mnaona hapa ni mmoja wa kamati. Hata nahuyu Assistant John Gatua, na huyo mwingine ni Father Mucheke ambaye ni Secretary - simama tu. Hiyo kazi mnaonainafanywa hapa, ni hawa kamati na wale waalimu wetu kama huyu na wengine. Na tunajua tukifanya, tukishirikiana kwa vile hiini kitu tunataka sana, kwa vile iko mzigo juu yetu, tunataka tuondolewe, na tuondoe tukiwa pamoja nchi yetu irudi pahaliilikuwa. Asante sana. Ningependa kupatia Chairman amalize.Interjection: Hebu. Chairman wa Civic Provider aseme jambo moja. Twachie Mwenyekiti.Vice Chairlady CCC: Ndiye huyu. Asante Asante sana.Chairman Civic Provider: Asante sana Commissioners. Hebu waalimu wangu wasimame. Commissioners, huyo ni mwalimummoja wa Civic provider, James Muriuki Kamunya. Kuna wao wengine walikuwa wakisaidia kazi pale nje, na wenginewametoka. Nashukuru sana kamati yetu ya Mathira kwa sababu ya vile wametusaidia kuleta watu pamoja, kule nje na hatandio ikafanya watu waingie hapa vile mnaona wameingia. Na waalimu wamefanya kazi sana. Thank you Chairman wa kamatihiyo na Vice-Chairmen kwa vile wametufanyia kazi kubwa sana. Tutamwombea Mungu. Tunajua ile kazi mko nayo ni kubwasana. Nanyi mukirudi tuombeeni ili tufikishe message yenu kwa watu na wajue Katiba ni nini? Asante.Com. Bishop Njoroge: Asante. Tukienda kwa Commission, tutawaambia vile tuliona Mathira.Samuel Wanjohi: Asante. Bishop. Ningetaka kumshukuru Secretary wa KNUT Bwana Munyiri pia. Mwalimu ambayeamefanya kazi mingi. Tulikuwa na yeye huko Secondary School Runguthu - Kule kwa KNUT na wale wengine. Na waalimuwameanzia juu, wamekwenda mpaka chini. Infact tumeandika kwa gazeti yetu. Hii gazeti ya katiba news, tumeandika KNUTvile wamefanya.To cater for schools in Mathira. Nawashukuru walimu nafikiri asante sana watu wa Mathira. Tutakwenda keshoKiamahiga, hatujamaliza - Kesho tutaenda Kiamahiga ndio tusikize maoni ya pande ile ingine. Reverend ningetaka kukuombautufanyie sala ya mwisho ili tumalize.Rev. Fr. Mucheke: Thank you very much. I want to assure you that we are gaining and we shall look at that document to seewhether what we have spent the whole day saying is really included in that draft. Natusimame tuombe. Twagucokeria ngathoni tondu wa guturehe giikaro giki na gututeithia kuheana maundu maria matuthumburite na maria tukuona mabatiigwikirwo thiini wa Katiba iria njeru. Twagucokeria ngaatho ni tondu watuhotithia gwika uguo. Maundu macionitukuhoya na tugetikia nimagwikirwo thiini wa watho uria mweru ukuuma ni tondu wa wagiriru wa bururi uyu. We

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!