12.07.2015 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

122Audience: Yuko.Com. Bishop Njoroge: Na ataona imefika nini? Mwisho. Sasa nitamwambia Commissioner Lethome aseme machache halafutumpatie program officer. Na baadaye Priest Gitari atatuombea.Com. Lethome: Baada ya Bishop kuzungumza sidhani nina mengi ya kueleza, isipokuwa nawashukuru pia. Hatujaona umatimkubwa kama huu tangu tulipoanza kufanya kazi. Lakini pia tunajua bado muko na maoni mengine ambayo hamjatoa. Sasamsione kuwa tumeondoka hapa ndio mwisho. Bado tutapokea maoni, process bado inaendelea. Kwa hivyo hata sisi baada yakurudi Nairobi, kama una maoni yako, andika, mpatie District coordinator au utumie njia yeyote. Karatina sio mbali sana naNairobi. Tukisema Karatina ni mbali, na wale wako Mandera je? Na wako Kenya hii? Mandera tunazungumzia habari yakilomita elfu mbili. Hapa na Nairobi ni one hour peke yake matatu zozote zinaenda. Hakikisha usikae na maoni. Kwa sababutunasema ‘we are making history’. Hii ni history tunafanya sasa. Baada ya miaka hamsini ama baada ya miaka mia moja, hayamaoni ambao unatoa sasa ndio itasaidia watoto.Ikiwa sisi kama WaKenya tumedhulumiwa miaka thelathini na nane ama thelathini na tisa kwa sababu ya sheria mbaya, tusikaena maoni ndani yetu ambayo yangeweza kusaidia watoto wetu na wajukuu wetu na watoto wao miaka ingine mia moja. Lazimatutoe sasa. Twasema hivi. Tusikubali kudhulimiwa. Ni makosa tena ni dhambi kukubali kudhulimiwa. Sasa kukubalikudhulumiwa na kunyamaza na maoni ambayo ni mazuri, ukatae kutoa, umekubali kudhulumiwa. Kwa hivyo msikubalikudhulimiwa. Hapo tumekubaliana?Audience: Ndiyo.Com. Lethome: Kwa hivyo muendelee kutoa maoni. Mtufikishie Nairobi. Twawashukuru sana kwa maoni yenu na Munguawabariki. Asante.Com. Bishop Njoroge: Hakuna kuzungumza tena. Wanjohi.Samuel Wanjohi: Nairobi ofisi iko wazi. Nairobi ofisi iko Kencom House. Hapo karibu na Hilton Opposite. Kencom House.Ghorofa ya pili. Na hapo tuko wazi. Ile kitabu nilikupatia iko na hiyo anwani. Sasa ni Members of CCC. Ningetaka mamaukuje u-introduce members wa CCC. Na ufanye hiyo announcement. Introduce Members wa CCC walioko sasa.Vice Chairlady CCC: Mimi natoa shukrani kubwa sana. Namsalimu nyote. Hamjamboni.Audience: Hatujambo.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!