12.07.2015 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

115Hiyo iwe abolished. Na Sub-chief naye atachaguliwa na watu - na akichaguliwa ataitwa ‘Village elder’. Na hiyo haijasemwahapa. Sasa ingine nitasema ni ya elections. Tunatakiwa kuwe siku moja ya President na siku ya pili MP. Na ya tatu Councilor.Namba ingine nitasema MP na Councilor ‘aki-defect’ kutoka kwa chama chake arudi tena achaguliwe tena. Kwa sababu hapotunaona kumeingia ukora.Com. Keriako Tobiko: La mwisho.Daniel Mwangi: La mwisho. Ni chama cha wafanyi kazi wa serikali kirudishwe. Kile kilikuwa abolished au kile kilikuwa Ithink scrapped by the state. Thank you very much.Com. Keriako Tobiko: Thank you. Mama ulikuwa unataka kuongea.Mary Wandia Kabiru: Ngwaria na Gikuyu ndagika imwe. Ni Mary Wandia Kabiru. Nii ngwaria uhoro wa ta muchiari uiguitethina muno niundu wa ciana kuuma college either cia Universities kana cia Primary Teachers Colleges cia thirikari cikaga wirana makerwo mecaririe.Translator: Mimi naongea kama mzazi kuhusu watoto ambao wamemaliza Universities na wanaomaliza shule za waalimuambao hawafanyi kazi ingawa wamehitimu kazi hiyo.Mary Wandia Kabiru: Na cukuru nikurendwo arutani, no ciana icio ina hinya muingi muno wa kuruta wira. No matingionawira. Kwoguo thirikari njeru iciirie muno kwandika andu acio ethi tondu mena hinya muingi wa gutungatira bururi uyu.Translator: Katika Katiba mutengeneze kwamba kuwe na kama monthly rationing ati mtu akienda training course for apr<strong>of</strong>ession, aweze kupata kazi baadaye.Mary Wandia Kabiru: Uria ungi wa keri ni uhoro wa aria makoretwo nao matungatiire bururi nio retired <strong>of</strong>ficers. Acio naotondu makoretwo matungatiire bururi kuuma riria mari ethi. Marikia kuretire nimatiganagirio makaga ona mishara yao ni mininimuno. Kwoguo ingiuria thirikari irore andu acio ati mundu a retire anina miaka itano akongererwa kamushara karia aheagwo.Translator: Retirees should be looked after. They get pension money. Their retirement benefits should be reviewed startingfrom five years.Mary Wandia Kabiru: Na kiria mekurihwo makarihwo na riu tondu maheagwo ta mweri milongo iri ni ta andu makuire.Translator: Their benefits are greatly delayed. They get their benefits around the twentieth <strong>of</strong> the next month.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!