verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet
verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet
114John Maina Mugongo: Asante Mwenyekiti wa Constitution Commission. Kwa majina mimi naitwa John Maina Mugongokutoka hapa Karatina. Mimi nataka kuongea juu ya jeshi yetu ya Kenya. Tuko na huzuni sana katika nchi yetu ya Kenya. Jeshiyetu imetumiwa vibaya sana. Kwa maana jeshi yetu inatolewa hapa inapelekwa nchi ingine kupigania haki za wengine.Com. Keriako Tobiko: Kwa hivyo tufanye namna gani?John Maina Mugongo: Tunataka jeshi letu litumike hapa kwetu Kenya. Pointi ya pili. Tunataka Rais wetu wa Kenya wajamhuri letu la Kenya anyimwe nguvu ya kuandika mtu yeyote ama kuchagua kiongozi wowote. Tatu. Tunataka hospitali zetusiziwe za malipo. Pointi ya nne tunataka shule zetu zote kutoka shule za msingi hadi University ziwe hazina malipo.Pointi ya tano nataka kuongea juu ya kilimo chetu. Kilimo chetu iwe hatutawaliwi na mtu yeyote katika mazao na shamba zetu.Com. Keriako Tobiko: Umemaliza.John Maina Mugongo: Hapana.Com. Keriako Tobiko: La mwisho.John Maina Mugongo: La mwisho. Naongea juu ya marriage. Yaani watu kuoana vile wanaoana katika sheria za kuoana.Com. Keriako Tobiko: Unataka aje?John Maina Mugongo: Mimi nataka zirekebishwe hivi. Kukiwezekana. Mtu akiwa amemuoa mkewe na kwa muda usiomrefu sana ama kwa muda ule watakuwa wamekaa, wamekosana,watoto wale watakuwa nao wakiwa wataachana, wawewakigawanywa mara mbili. Kukiwa hivi. Hata kukiwa hivi, baba asinyimwe nafasi ya kukaa na watoto wake hata wakiwa umriwa chini ya miaka kumi na nane.Com. Keriako Tobiko: Asante sana. Mzee wetu. Nakupatia dakika mbili tu. Kwa hivyo chagua zile pointi ambazo ni muhimuna ambazo hazijagusiwa na mtu mwingine.Daniel Ngatia: Asante sana bwana Commissioner. Thank you akina Commissioners. Mimi yangu ni machache sana yalenitasema. Naitwa Daniel Ngatia kutoka Ngandu sublocation. Na proposals zangu ni hizi. Serikali yetu ya Kenya inatakiwa iwe:Number one: Inatakiwa Democratic Government, Multi-party Government na coalition Government. Hiyo pointi iandikwenamna hiyo. Ya pili. Tunataka tuwe na President na Prime Minister. Kutoka hapo nitakuja pande ile tunaita ‘Administration’.
115Hiyo iwe abolished. Na Sub-chief naye atachaguliwa na watu - na akichaguliwa ataitwa ‘Village elder’. Na hiyo haijasemwahapa. Sasa ingine nitasema ni ya elections. Tunatakiwa kuwe siku moja ya President na siku ya pili MP. Na ya tatu Councilor.Namba ingine nitasema MP na Councilor ‘aki-defect’ kutoka kwa chama chake arudi tena achaguliwe tena. Kwa sababu hapotunaona kumeingia ukora.Com. Keriako Tobiko: La mwisho.Daniel Mwangi: La mwisho. Ni chama cha wafanyi kazi wa serikali kirudishwe. Kile kilikuwa abolished au kile kilikuwa Ithink scrapped by the state. Thank you very much.Com. Keriako Tobiko: Thank you. Mama ulikuwa unataka kuongea.Mary Wandia Kabiru: Ngwaria na Gikuyu ndagika imwe. Ni Mary Wandia Kabiru. Nii ngwaria uhoro wa ta muchiari uiguitethina muno niundu wa ciana kuuma college either cia Universities kana cia Primary Teachers Colleges cia thirikari cikaga wirana makerwo mecaririe.Translator: Mimi naongea kama mzazi kuhusu watoto ambao wamemaliza Universities na wanaomaliza shule za waalimuambao hawafanyi kazi ingawa wamehitimu kazi hiyo.Mary Wandia Kabiru: Na cukuru nikurendwo arutani, no ciana icio ina hinya muingi muno wa kuruta wira. No matingionawira. Kwoguo thirikari njeru iciirie muno kwandika andu acio ethi tondu mena hinya muingi wa gutungatira bururi uyu.Translator: Katika Katiba mutengeneze kwamba kuwe na kama monthly rationing ati mtu akienda training course for aprofession, aweze kupata kazi baadaye.Mary Wandia Kabiru: Uria ungi wa keri ni uhoro wa aria makoretwo nao matungatiire bururi nio retired officers. Acio naotondu makoretwo matungatiire bururi kuuma riria mari ethi. Marikia kuretire nimatiganagirio makaga ona mishara yao ni mininimuno. Kwoguo ingiuria thirikari irore andu acio ati mundu a retire anina miaka itano akongererwa kamushara karia aheagwo.Translator: Retirees should be looked after. They get pension money. Their retirement benefits should be reviewed startingfrom five years.Mary Wandia Kabiru: Na kiria mekurihwo makarihwo na riu tondu maheagwo ta mweri milongo iri ni ta andu makuire.Translator: Their benefits are greatly delayed. They get their benefits around the twentieth of the next month.
- Page 63 and 64: 63Com. Keriako Tobiko: Excuse me Pa
- Page 65 and 66: 65have access to places of worship.
- Page 67 and 68: 67guthii na iguru.Translator: The P
- Page 69 and 70: 69Com. Keriako Tobiko: Thank you so
- Page 71 and 72: 71The second point I am going to ta
- Page 73 and 74: 73Jomo Kenyatta ikawa kuna watu wan
- Page 75 and 76: 75Com. Bishop Njoroge: Labda, sijui
- Page 77 and 78: 77Com. Lethome: Asante sana Bwana M
- Page 79 and 80: 79Translator: Commissioners, watoto
- Page 81 and 82: 81Geoffrey Gakuo: Thank you. Kwanza
- Page 83 and 84: 83Ashbel Macharia: Thank you Honora
- Page 85 and 86: 85Wachira Mwago: Thank you very muc
- Page 87 and 88: 87Samuel Thambo: Mundu aheo wira ku
- Page 89 and 90: 89Esther Mukami Githaiga: Nyimbo ci
- Page 91 and 92: 91Lucy Wanjugu: Uguo thiirikari ige
- Page 93 and 94: 93Translator: That the Lancaster Co
- Page 95 and 96: 95and am not going to repeat. Thank
- Page 97 and 98: 97Com. Keriako Tobiko: Thank you so
- Page 99 and 100: 99James Mwangi Muthiga: Kenyatta da
- Page 101 and 102: 101I am also proposing that the Pre
- Page 103 and 104: 103Com. Keriako Tobiko: Sasa la mwi
- Page 105 and 106: 105Gachachi. Kibaru Muhoro. Kagema
- Page 107 and 108: 107Com. Keriako Tobiko: Kama vipi?N
- Page 109 and 110: 109The vulnerable groups: Make prov
- Page 111 and 112: 111Com. Keriako Tobiko: Lastly.Char
- Page 113: 113Simon Gachemi: Uguo no nyende ku
- Page 117 and 118: 117ituike niyo ohorirwo.Translator:
- Page 119 and 120: 119Com. Keriako Tobiko: Sawa sawa.Z
- Page 121 and 122: 121transferred. We have treaties wh
- Page 123 and 124: 123Vice Chairlady CCC: Sitakaa. Lak