12.07.2015 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

107Com. Keriako Tobiko: Kama vipi?Ngatia Gichaga: Kama Karindundu, Kathati, Kiamwangi, Kiarithaini, Kiamariga, Mathaithi na hata ni vingi kwa sababuzinajaa katika……ni mingi sana.Com. Keriako Tobiko: Sawa sawa. Wafanye namna gani?Ngatia Gichaga: Serikali iwafikirie na kuwapatia makao. Na hayo makao yawe imekaguliwa. Yaonekane kweli inawezakuwasaidia kwa chakula na matumizi mengine.Jambo la pili. Kuna shida sana kwa sababu hakuna ofisi ambayo mtu wa kawaida anaweza kupeleka malalamiko yake. Kwamfano, anaweza kukosewa na ofisa wa polisi. Na akipeleka malalamiko yake, anapeleka tu kwa polisi ambayo haichukuliikama yana maana. Kwa hivyo serikali ikiweka ofisi ya malalamiko ya Raia, mtu ukiwa amepeleka malalamishi yake kwa polisina ikose kuchukuliwa vizuri, anapeleka kwa ofisi hiyo.Com. Keriako Tobiko: Sawa sawa.Ngatia Gichaga: Ya tatu. Kuna mashirika ya serikali kama reli. Reli ilipata hasara kwa sababu hii kazi ya uchukuzi ilipewawatu binafsi. Na hii reli ndio …….Com. Keriako Tobiko: Tuifanye namna gani Mzee wangu?Ngatia Gichaga: Hii malicense iwaache kupewa watu wengi sana kujitajirisha. Irudishwe kwa reli.Com. Keriako Tobiko: La mwisho.Ngatia Gichaga: La mwisho, ni kila mtu, pale ako na mali yake, hata ikiwa ni wapi, katika Kenya mzima. Iajiriwe na ilindwena serikali.Com. Keriako Tobiko: Asante Mzee wangu. George Muthiga.George Muthiga: Well am very fast. I have only about five points. The first one is double standard to the application of thelaw and the Constitution. All Senior Politicians and President inclusive should be answerable for any breach of Constitutionallaw in general which they have sworn to protect and uphold. There are no two separate laws for the members, activist,

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!