12.07.2015 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

102tiririka huko. Watu wamegawia mashamba huko.Kwa maoni yangu kidogo, ningependelea kusema machachae juu ya democracy ya Kenya. Hakuna nchi yote katika Africainaweza kuwa na democracy na watu wake ni refugee ama wakawa ni watu wa kuhamishwa. Ukitembelea huko karibumisituni, utakuta watu walitolewa katika misitu yetu wakateremshwa. Wanaletwa pahali tunaita Muoroto kwa barabara.Wamejengewa huko barabara. Mimi naonelewa hii sio Democracy.Com. Keriako Tobiko: Mzee Kagombe nikuulize namna hivi. Sasa unataka tufanye namna gani? Katiba mpya itusaidie namnagani?John Kagombe: Katiba mpya nataka irekebishe namna hii. Wale watu waliotolewa forests, warudishwe huko huko halafuwaje wakatengeneze miti yetu. Tunajua mbao zetu zinatoka nchi ingine ile tunatumia. Wanyakuzi wameshanyakua misitu yetuinakwisha. Hawa watu wakirudishwa wapatiwe kidogo pahali pa kukaa. Wakipatiwa halafu wataendelea na kulima miti yetu.Com. Keriako Tobiko: Sawa sawa jambo lingine Mzee wangu.John Kagombe: Jambo lingine ni hili, kama hiyo misitu inakuwa mzuri, Rais wa jamhuri ya Kenya anyimwe uwezo wa kuteuwawajumbe maalum - Nominated members. Wale watu walikataliwa na watu, wanateuliwa wakawa mawaziri. Na kule watuwalikataa hawa. Tunataka ikiwezekana, Rais anyimwe uwezo huo na watu wakuwe wakichaguliwa na wananchi bilamapendeleo yote. Sababu Rais hapo anaweka chuki kidogo anachagua rafiki yule ….hivi na hivi……Com. Keriako Tobiko: Tuondoe hawa MP ‘s wabunge wakuteuliwa.John Kagombe: Watolewe. Kwa sababu wanawakilisha watu.Com. Keriako Tobiko: Sawasawa hilo lingine.John Kagombe: Jambo lingine la muhimu ni hili. Tuko na Chiefs, maSub-chiefs katika ma-location yetu. Ningeonelea wawekama zamani. Wawe wakichaguliwa na wananchi ili wajue yule ataweza kuwa…..Com. Keriako Tobiko: Tumeelewa hiyo. Jambo lingine.John Kagombe: Mnanielewa? Jambo lingine ni hili. Kwa vile sisi wanakijiji wetu iko watu wengine hawana mashamba -walikuwa kijijini. Tungetaka sheria iwe ya kuwapatia hawa mashamba na sio msituni. Tunajua iko mashamba ingine kama yaDelamere, Koro huko na Njoro ranch huko, mashamba makubwa, makubwa inakaa bure. Na watu huku wanataabika.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!