12.07.2015 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

10- because the very money we contributed is the money which has been misused by Managing Directors who had beenpurchasing houses without the approval of the contributor. That is where l would like the amendment to be changed.Com. Bishop Njoroge: You have made that point.Crispo Ngari: Yah, I have made that point. Second one, I am giving these views on behalf of other retrenches or retirees. Thisone is that all strict restrictions in the Act should be repealed and replaced with other good clauses that guarantees some senseof civilization instead of a crude sense of direction. As an aspect of right, they should have a universal code of protection andKenya, as part of the global family should not be left behind. Loopholes exist where the Managing Director of NSSF wereappointees of the sitting President. The powers of the President should be trimmed in the appointment of these people.The other one is about land ownership in Kenya: There have been numerous problems in Kenya – for instance if you had a landdispute, you are referred to the DO, the DO refers you to the High Court, after the High Court, you are referred to the DC,where again the whole issue is referred to the President to give his consent for the case. So many people have died withoutacquiring this land due to this delayness. So, l should suggest that the powers of settling land cases be referred to the villageWazees.Another point is that the sitting President has so much power that he has been giving out land without regard to the commonmwananchi. We would like the powers of land to be taken back to the people who are living in that particular place. For thosefew points, I will hand over my memorandum.Com. Bishop Njoroge: - The next person is Thomas Kagambi.Thomas Kagambi:- Ningetaka kutoa mapendekezo yangu kuhusu mambo kadha wa kadha. Elimu: Ni vizuri elimu ambayoinatolewa katika shule zetu za msingi ipunguzwe ili kuwapa watoto wetu nafasi ya kushiriki katika michezo - kwa sababu kwasasa hivi, inaonekana wana mzigo mkubwa wa masomo ambayo haiwawezeshi kukuwa kama inavyo tarajiwa. Pia, ni vizurijambo hili la wanafunzi kusoma kila wakati - wakati wa likizo, siku ya jumamosi likomeshwe kwa sababu linachangia katikakuwafanya watoto wetu wakati mwingine hata wawe wagonjwa na wengine hata kukaribia kurukwa na akili.Jambo la tatu, ningetaka jambo la kuwalazimisha wanafunzi, kurudiarudia masomo lipigwe marufuku, kwa sababu jambo hilopia linawafanya wanafunzi wengine wadumu katika shule za msingi kwa muda wa miaka hata kumi na minane kwa sababu kilawakati wanalazimishwa kurudia rudia eti, wao si wazuri. Jambo hilo wakati mwingine linawafanya wengine sasa wadharauelimu na linachangia katika kuzorotesha maendeleo yetu.Pia, kuna hili jambo la kuorodhesha matokeo ya mitihani.Jambo hili pia linafanya baadhi ya maovu yatekelezwe na walimu

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!