verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
04.11.2014 Views

74 unaona kama barabara za feeder roads zinapitia kwa mashamba, chakula chetu kinaoza. Kwa sababu – huwezi kuuliza – kwa sababu unaambiwa hicho chakula chote kinaenda kwa central government. Na ndiposa tunasema, lazima tuwe na Katiba mpya itupatie uwezo from the, - ile serikali kuu mpaka serikali ya local government. Ndio nasema local government iwe na nguvu zaidi. Ahsante. Com. Wanjiku: Ahsante. (Speaks in Kikuyu) but Geofrey insists on talking. Geofrey: Tunakimaliza tunasema…(Speaks in Kikuyu) tulikuwa tumeweka main point on provincial administration, hiyo ikwishe, na badala yake tuwe na counties. Iwe kwa ile (inaudible) area, iwe na an elected person kama ni (inaudible). Kwa hivyo, katika hiyo county, mambo yote ya local governments, - hili jina la local government – ile mambo ya government iwe kwa hiyo county. Kama ni ile mambo ya chief, kuwe na mtu wa kusimamia mambo ya chief. Mtu atoke kwa party ile profession anajua irudi kwa county. Halafu ile tender yote tumepata kwa dairy bonds hapa, 30% iende kwa central government. (Interjection) Com. Wanjiku: That is now; -that was the second point that you finished. And that was on provincial administration, thank you very much nikushiria confusion nithiria kwe adu marauga mate memorandum nti muthenya nikyo niranekiwo na akworo niakwenda (inaudible) Nikweda kumushokiria gatho tudu ni twatida (inaudible). Com. Wanjiku continues in Kikuyu…They are being taken very seriously and you can be assured…(Speaks in kikuyu) … part of the report. And you can be able to check the… later on …(speaks in kikuyu). District co-ordinater: Thank you very much Commissioner. Ugwo ti muthenya wa mwisho mudu akweda niakuadika ni niakwadeka na tukuthie na bere kukinya kuria mudu ahota kuadika. Karamu keha. Na reu tudu (inaudible) muno hee reke dikare na bere we munene. Thank you very much Commissioners. Reverend: Mwathani tukushokiria gatho niudu wa kushokia maoro maitu nikuitikia na kushukiria tudu wa kuturathima niwega kuturathima ni wega kuturathima riu twarekie na madu maria motho, turakushokeria gatho ni thayo thini yake uturathime na una igita ria ni getha thini wa yesu kristo nitwaoya. Amen Com. Wambua: Thank you mno…(Speaks in Kikuyu).

75 Meeting ended at 5.30 p.m. &&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&.

75<br />

Meeting ended at 5.30 p.m.<br />

&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!