verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
04.11.2014 Views

72 hiyo. Ningependekeza, hawa wazee wapatiwe kaputi na serikali, na wapatiwe kofia. Wakati mwingine, mzee anapiga bibi yake usiku, na huyu mzee anaitwa. Anaenda na baridi, saa zingine anaenda na mvua, na anaamua hiyo kesi, na hiyo kesi inakuwa safi sana, asubuhi tunapewa ma report, tunaambiwa huyu mzee alienda nyumba fulani na alisuluhisha tatizo fulani na hilo tatizo sasa limekwisha. Mimi ningesema, wale watu wanasema Provincial administration iondoke, labda hawaoni vile tumekaa. Katika nchi za ulaya, hao watu wameweka kila nyumba kuandika wakili. Kila nyumba ina advocate wake. Hapa umasikini hautuwezeshi kila mtu kuwa na wakili wake. Na ndio mnaona serikali imetia assistant chief, imetia chief, imetia D.O. ili wawe wakisaidia watu kule mashambani. Ningependa, provincial administration, - na sio kusema kwa sababu mimi ni chief, mimi ninaondoka,- lakini kwa maoni yangu naona provincial administration inafanya kazi kubwa sana kwa sababu Kenya yetu ina umasikini mwingi, na hatuwezi kujiandikia mawakili wa kututetea huko makotini. Kesi zingine ni kesi ndogo sana na kuandika mawakili ni kupoteza wakati. Kile kingine ningesema ni umasikini. Mtu asiende jela kwa sababu yeye ni masikini. Katika sheri zetu za Kenya, -huko kotini, - unakuta jaji anakuambia utoe shilingi elfu moja, unafainiwa shilingi elfu moja, na ukikosa utafungwa miezi mitatu? Tajiri anatoa elfu moja, masikini anakosa elfu moja, kwa hivyo, masikini atafungwa kwa kukosa shilingi elfu moja. Na amefungwa kwa sababu ya makosa au kwa sababu ya umasikini? Answer from the audience: umasikini Stanley wa Wanyeki: Mtu asifungwe kwa sababu ya umasikini, afungwe kwa sababu amefanya jambo. Tunataka, ikiwa ni kufungwa, tajiri afungwe na masikini afungwe. Ikiwa ni pesa tajiri apigwe fine na masikini apigwe fine. Masikini akikosa fine, arudi… (Interjection – by Com. Wanjiku). Inaudible. Stanley wa Wanyeki: Aa hiyo nimewacha. Ile ingine ningesema, zile kesi ambazo zinaenda kotini, ningesema mimi isizidi miezi mitatu. Ikizidi miezi mitatu, iondolewe kotini halafu itupiliwe mbali. Kwa sababu watu wanasema “Justice delayed is justice denied.” Kesi ifanywe haraka iwezekanavyo. Hapa unaweza kuona kuna makesi ya miaka miwili, mitatu hata miaka kumi. Na vile kesi inakaa ndio inakula pesa za wananchi. Ma judge wafanye kesi haraka iwezekanavyo, na kama si hivyo hiyo kesi itupiliwe mbali. Kwa sababu ikikaa sana, inasumbua watu. La mwisho, mimi nasema juu ya elimu. Mtoto, - kama vile wengine wamesema, - mtoto asikose elimu kwa sababu ni masikini. Ikiwa wa tajiri ataenda shule, hata wa masikini ijulikane ataenda namna gani. Ikiwa ni magonjwa, mtu asife kwa sababu ni masikini. Free medical treatment kwa wote.

73 Ya mwisho, mimi ningeuliza barabarani. Kuna vifo vingi barabarani. Na vifo hivi vinasababishwa na madereva ambao pengine ni wanyuaji wa madawa za kulevya, na mimi, ningependa, in every three months, madereva wawe wakifanyiwa kitu kinaitwa medical examination. Mabarabara yetu (inaudible). Watu wamekufa kwa mabarabara zetu hata kuliko reli. Kwa hivyo ningependa madereva wetu wa P.S.V. wale wako na P.S.V. barua ya kubeba watu, ambao wana barua ya kubeba watu, - in every three months – wengine wanakuwa vichaa, wengine wanakunywa dawa za kulevya na nini… wawe wakifanyiwa medical examination. Mimi la mwisho ningesema, hatuwezi kubadilisha Katiba sisi watu wa Kenya ikiwa sisi hatujajibadilisha sisi wenyewe. Katiba ni namna hiyo. (Clapping) Tabia zetu lazima tuzibadilishe. Mimi nimesema na nimeuliza, kila mtu awe mtu wa kulinda Katiba. Unaona kwa magari wananchi wamebebwa na matatu na wamejaa. Na badala ya kusema hii ni makosa, wanamwambia turn boy, kwenda pelekea huyo polisi pesa sisi tuendelee na safari yetu. Ni lazima tujibadilishe kabla hatujabadilisha Katiba yetu. Ahsante sana. Com. Wanjiku: Okay, ahsante sana bwana chief, thank you very much. Now this gentleman just has a message, todo… memorandum ya kwogu urida urecommendate as the person who presented it niukothoma uuge ritwa riaku ushoke uuge point imwe iria (inaudible) Speaker: Ahsante sana madam Commissioner na wanaomsaidia… (Interjection) Com. Wanjiku: Tafadhali sema jina lako. Speaker: My name is Geofrey Kahotho. Tulikuwa na swali na tukatoka, lakini kuna swali moja ama mbili na sitaweka. Na hiyo tunafikiria wakati tunaandika Katiba, hilo swala ni muhimu sana, kwa sababu hiyo Katiba ndio tunataka iwekwe itekeleze ile mambo ambayo tunataka sisi wananchi kutoka pale tuliko. Geofrey: Sasa lile swala ningezungumzia sana ni ile ya environment ama mazingira. Ingekuwa vizuri sana wale watu wako kwa mtaa fulani wapatiwe nguvu ya kulinda mazingara na kufaidika zaidi na hii mazingara, kwa sababu uchumi ndio ngumu sana. Na hii Katiba na hata ile itaendelea, haistahili kuchagua kwa sababu ya kuendeleza uchumi ama economy. Sasa sisi tumeonelea ya kwamba, kama watu wa hapa Kinangop, tuko na shida moja. Yale mapato tunapata hapa, yote yanaenda kwa serikali kuu from the local government. Tunalipa ushuru, levy, (inaudible), na hii mambo yote inaenda kwa central government. Ndiposa

72

hiyo. Ningependekeza, hawa wazee wapatiwe kaputi na serikali, na wapatiwe kofia.

Wakati mwingine, mzee anapiga bibi yake usiku, na huyu mzee anaitwa. Anaenda na baridi, saa zingine anaenda na mvua, na

anaamua hiyo kesi, na hiyo kesi inakuwa safi sana, asubuhi tunapewa ma report, tunaambiwa huyu mzee alienda nyumba fulani

na alisuluhisha tatizo fulani na hilo tatizo sasa limekwisha. Mimi ningesema, wale watu wanasema Provincial administration

iondoke, labda hawaoni vile tumekaa. Katika nchi za ulaya, hao watu wameweka kila nyumba kuandika wakili. Kila nyumba

ina advocate wake. Hapa umasikini hautuwezeshi kila mtu kuwa na wakili wake. Na ndio mnaona serikali imetia assistant chief,

imetia chief, imetia D.O. ili wawe wakisaidia watu kule mashambani. Ningependa, provincial administration, - na sio kusema

kwa sababu mimi ni chief, mimi ninaondoka,- lakini kwa maoni yangu naona provincial administration inafanya kazi kubwa sana

kwa sababu Kenya yetu ina umasikini mwingi, na hatuwezi kujiandikia mawakili wa kututetea huko makotini. Kesi zingine ni

kesi ndogo sana na kuandika mawakili ni kupoteza wakati.

Kile kingine ningesema ni umasikini. Mtu asiende jela kwa sababu yeye ni masikini. Katika sheri zetu za Kenya, -huko kotini, -

unakuta jaji anakuambia utoe shilingi elfu moja, unafainiwa shilingi elfu moja, na ukikosa utafungwa miezi mitatu? Tajiri anatoa

elfu moja, masikini anakosa elfu moja, kwa hivyo, masikini atafungwa kwa kukosa shilingi elfu moja. Na amefungwa kwa

sababu ya makosa au kwa sababu ya umasikini?

Answer from the audience: umasikini

Stanley wa Wanyeki: Mtu asifungwe kwa sababu ya umasikini, afungwe kwa sababu amefanya jambo. Tunataka, ikiwa ni

kufungwa, tajiri afungwe na masikini afungwe. Ikiwa ni pesa tajiri apigwe fine na masikini apigwe fine. Masikini akikosa fine,

arudi…

(Interjection – by Com. Wanjiku). Inaudible.

Stanley wa Wanyeki: Aa hiyo nimewacha. Ile ingine ningesema, zile kesi ambazo zinaenda kotini, ningesema mimi isizidi miezi

mitatu. Ikizidi miezi mitatu, iondolewe kotini halafu itupiliwe mbali. Kwa sababu watu wanasema “Justice delayed is justice

denied.” Kesi ifanywe haraka iwezekanavyo. Hapa unaweza kuona kuna makesi ya miaka miwili, mitatu hata miaka kumi. Na

vile kesi inakaa ndio inakula pesa za wananchi. Ma judge wafanye kesi haraka iwezekanavyo, na kama si hivyo hiyo kesi

itupiliwe mbali. Kwa sababu ikikaa sana, inasumbua watu.

La mwisho, mimi nasema juu ya elimu. Mtoto, - kama vile wengine wamesema, - mtoto asikose elimu kwa sababu ni masikini.

Ikiwa wa tajiri ataenda shule, hata wa masikini ijulikane ataenda namna gani. Ikiwa ni magonjwa, mtu asife kwa sababu ni

masikini. Free medical treatment kwa wote.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!