04.11.2014 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

69

Councilor: Karibu sana… karibu sana… I’ll be very free madam. Lakini mimi sitaki ati kusema ati wanasiasa ni wabaya.

Why? You should realize that if it were not for the politicians, you would not have been what you are, madam Commissioner.

Kwa hivyo, sitaki kuwadharau sana, iko, - inastahili kuwe na mipaka ambako wanasiasa hawapiti. Kama jambo la elimu, ni

jambo delicate sana. Wanasiasa wanastahili kuwachaliwa alitekeleze.

Jambo la tano, there is this… ‘Poverty eradication.’ Madam Commissioner, poverty cannot be eradicated, lakini kuna njia

tunaweza pitia na tuwe kama tumemaliza poverty. Nilikuwa nasema hivi madam Commissioner, kama education, tukienda enzi

za mbele, (speaks in Kikuyu)… from standard one up to form four, compulsory.

(Clapping).

Councilor: Liko jambo lingine, imekuwa jambo la aibu sana kuona ati mtu hawezi kusoma kwa sababu ya umasikini. Sasa siku

hizi, watu ambao hawajui kusoma au hawataki kusoma, wanaletwa tu kusoma ikiwa baba yake ni tajiri. Lakini iko mwingine, -

juzi nilishangaa sana kuona mama analia ati mtoto wake ameshinda, amepata kuenda (inaudible). Tungefanya harambee nyingi

sana na hiyo siku ambayo unaona pale, juu ya hilo. Hapo nimetoka. Hospitali…

(Interjection)

Com. Wanjiku: What is your recommendation?

Councilor: Mimi nasema vile nimesema, iwe free upto form four. Jambo lingine, la mwisho, ni hali ya mahospitali. Hospitali,

inaonekana watu watakufa, - wale ambao wanakufa kwa hospitali ni wale ambao hawana pesa. Hiyo iwe free kama ule wakati

wa Kenyatta.

Na jela, hata wakati unaenda huko kwa jela, unaona mtu anfungwa kwa sababu ya kukosa fine ya shilingi elfu mbili, anafungwa

kwa sababu ya umasikini, hiyo iangaliwe sana.

Nikimalizia kabisa, there is (inaudible)… ni horia reke umuthe turie tudu ni (inaudible) there is nothing wrong reke

twarie tuu (inaudible). Watu ni lazima watakuwa wakikutana, na hiyo huwezi kuzuia. Kuwe na dawa, serikali ichukuwe

company. Thank you. Na labda kwa hayo machache, (inaudible), madam Commissioner, I beg you. Thank you.

(Clapping).

Com. Wanjiku: No, don’t beg. Thank you very much I don’t want to have (inaudible) I am sure (kikuyu inaudible)

Thuku: Thank you very much. Ni wega mno Commissioners, makwa ni manini muno ndiwe kana nirakiugika kuria

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!