verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet
verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet
verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
68

Haya, kumalizia, mishahara ya wale ambao wanapata, wale ambao serikali imewaajiri, wale ambao wanapata mishahara ya juu

na wale ambao wanapata ya chini. Serikali ijaribu vile iwezavyo, hii tabu iwe kidogo. Ili, yule ambaye anapata mshahara mwingi

na yule ambaye anapata kidogo, difference iwe ni kidogo. Ni hayo tu yangu. Nimemaliza.

Com. Wanjiku: Thank you very much…

(Clapping)

Com. Wanjiku: Thank you very much, bwana Kitui. Councilor (inaudible)… sorry, that was Wyckliffe. Tukumeka atya at

last.

Speaker: Thank you very much. Bwana Commissioner, Madam Commissioner, nie nikweda gokworwo dee free mno dena

maodu maigi nuu digomagweta motho tudu mathaa materaitekeria nuu todu ni wa Katiba, Katiba ni yoka (inaudible)

horo wanyu. Hoyu niodu wa korwa tudu niwona korotho wothe winawera. Ahsante.

(Interjection)

Com. Wambua: Ongea Kiswahili.

Councillor: Mimi nilikuwa nasema hii kitu ya Katiba ni kitu ambacho kinastahili kuwekwa maanani sana. Maanake hata ule

wakati president yeyote ana apa, kutawala nchi, anachukua kitabu cha biblia hivi, anasema ana apa ya kwamba atatetea,

ahifadhi na alinde Katiba, pamoja na mali ya watu. Kwa hivyo, hii ni kitu ambacho kinastahili kutiwa maanani sana. Bwana

Commissioner, mimi sina mengi ya kusema. Ya kwanza ile ningetaka kusema ni kwamba kuwe na equal representation of civic

seats. Why do I say this? Iko mambo mengi. Unaenda mahali pengine unakuta ya kwamba, ouncilor, - kama hapa, -I’m

representing about, 35… a population of about 35,000 people. Na ukienda mahali kwingine unakuta ya kwamba ouncilor

mwingine, - na tuko katika wilaya moja, - anarepresent watu, - a population of 50,000. Hata wakati napewa crater, ije

ku-create barabara hapa, kwake ikienda siku mbili inamaliza. Na hapa nikipewa hata kwa mwezi mmoja siwezi maliza. Kwa

hivyo, hilo ni jambo ambalo linapaswa kuwekwa maanani sana. Na hiyo nilikuwa nimeambia hata E.C.K. ‘Electoral

Commission Of Kenya,’ wakati walikuwa wakuja huko Nyahururu, na wakaandika wakasema watapeleka ndio watoke ndani.

Udu ushwo ti mwega ni ukweda umuo mno

(Interjection)

Com. Wanjiku: Councilor umemaliza?