04.11.2014 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

66

Com. Wanjiku: Asks a question in Kiswahili concerning women (inaudible)

George Kimani: Ningependa, kama vile mimi huona picha ya Queen Elizabeth, nikaona kama hiyo picha ya Queen Elizabeth,

yuko pale, na bwana yake yuko pale. Kwa hivyo mwanamke akiwa M.P. na bwana yake pia atafutiwe kazi na serikali

inalingana na cheo cha yule mwanamke. Kwa maana wanawake wengine…

(Interjection)

Com. Wanjiku: Na mwanamme akiwa president?

George Kimani: Hata…- si ameitwa jina la juu, hata yeye atapatiwa. Kwa maana… ngoja niseme…

(Interjection)

Com. Wanjiku: Aa aa. Usiende kwa maana, tuambie ile next point.

George Kimani: Ndio, atafutiwe kazi. Hata yeye atafutiwe kazi ya kupea yeye heshima kama yule bwana yake. Na bibi akiwa

M.P. ama Waziri, bwana yake, - kwa maana huyo bibi ako na elimu ya kuokoa ile mwili…

(Interjection)

Com. Wanjiku: Hiyo tumesikia. Hebu umalize.

George Kimani: Bwana, bwana, bibi ya huyo M.P. atafutiwe kazi na serikali kulingana na hiyo cheo.

(Interjection)

Com. Wanjiku: Mju leo…

(Interjection –na mheshimiwa aongee),

Com.Wanjiku: kwa sababu tulisema dakika moja na umetumia dakika nyingi na tunataka kuondoka.

George Kimani: Ningependa kuwe na wizara ya kuzungumza, kama wafanyi kazi wa serikali inalingana kila mkoa, kama

mkoa huu ni wa tumia, na ingine na ingine tena, yote mikoa nane, kuwe na idara ya kuchunguza kama wafanyi kazi wafanya

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!