04.11.2014 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

65

Kama anasaidiwa nanjia mzuri…

(Com.Wanjiku interrupts): Dakika moja imeisha.

George Kimani: Okay mawaziri wawe wakichaguliwa na wabunge. Na tena ningependa…- na kama ni P.S. awe

akichaguliwa kulingana na masomo yake, na idara ile anasimamia Waziri na yeye awe akichaguliwa kulingana na kitu

amesomea, na achaguliwe na bunge sio Rais.

Haya, kutoka hapo, tena ningependa, - kama vile mnaona chokora wanajaa mitaani, - watengenezewe shule yao kama vile

Wamumo, wasome, na wakitoka huko, wapewe vipande isiyolingana na zingine, iwekwe ka muhuri kidogo, ionekane ni mtu

anafundishwa, na apewe kazi kulingana na masomo yake, kama vile ni course awe akijulikana mahali anafanyia.

Kutoka hapo, ningependa wafanyi kazi wa serikali wawe wakilingana na mikoa. Kama ni askari wa D.C. wanaandikwa, wawe

wakiandikwa kulingana na mikoa ya Kenya vile iko. Wawe wakilingana. Kama mikoa hii inatolewa watu kumi, na ingine watu

kumi, ndio rasilimali ya Kenya iwe ikitumika kulingana na … nini…- Tena ningependa waziri… kila mkoa uwe na waziri hata

ikiwa imechaguliwa na wabunge wa upinzani, iwe na waziri, tuone bendera kila mahali inatembea. Lakini sio kusema kwamba

mawaziri ni wa upande mmoja,- kama ni wa Coast, ati ni wa Coast wote thelathini, na kama Nyandarua hakuna waziri, na sisi

ni wananchi wa Kenya kama wengine. Na huyo waziri awe akichaguliwa na bunge sio na mtu mmoja tu.

Upande wa uchaguzi tunasumbuka sana kwa sababu, tunasikia kuwa kura zinaibiwa. Tungependa sanduku ikuje kama

inaonekana wazi ndani. Na tena watu wa kusimami hiyo masanduku, tungependa hiyo masanduku, - kama wakati wa uchaguzi

zisimamiwe na wana jeshi, pamoja na askari, vile wao huwa. Lakini wawe wakichanganyishwa, kuwe na wanajeshi ndani na

askari ndani, ndio ionekane kuwa inaangaliwa, haiwezi kuibiwa kwa maana kura huibwa.

Com. Wanjiku: Umemaliza?

George Kimani: Sijamaliza, bado kidogo.

Tena, ningependa sana kuwe na…- kwa maana- ningependa wanawake wawe wakijitokeza kupigania viti, kama ni ya

wabunge, ama ma councilors, wawe wakijitokeza kuwa mstari wa mbele kupigania kiti chochote kile anasikia anapenda. Kwa

maana wanasoma kama wengine, - mnasikia mwanamke ako na degree, na sijaona mwanamke akisimama, kama area hii

kuchaguliwa mbunge ama councilor na wanasoma kama wengine. Kitu kingine nataka kiangaliwe sana kama ni kwa bunge…

(Interjecton)

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!