04.11.2014 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

50

kunaonyeshwa kuna science inafanywa huko, so muniruhusu kidogo. Nasikia watu wa health science, university kuna science,

what are they discovering? Why should it be fertilizers from abroad? Kitu ambacho tunafanyiwa tunataka kitumike hapa na

tupatie watu wetu, kw abei rahisi. Mambo kama haya mtuangalilie, - marketing, prices, na mambo kama hayo. Na tuone wale

watu wanafanya hii kazi ni watu wetu.

Sorry kwa kuchukua muda mrefu. My name is Paul Kamau.

Com. Wanjiku: Ahsante sana. Thank you Kamau. Eeh- ifuku ishio gokorwo ni ifuku ya kithogo, muthturi na mtutumia

makerehe fata shya. Ni mara-recommend ithaka keu kiri muda yao itarirwe shiana shio shitho by the way.

(Interjection).

The crowd: Aje nyuma, aje nyuma kabisa. Mheshimiwa aongee…

Noise from the crowd.

Com. Wanjiku: Tunaona watu wanasema ati tupatie …

Interjection.

M.P: Ahsante sana Commissioners, na washiriki wenzangu. Mimi nimekaa hapa wakati nimekuja, na nimesikiliza yale maoni

yametolewa na hawa watu, na kama vile mmesikia kwa makini, mengi yao hasa yanahusu uongozi,-bad governance. Na sio

lazima mtu awe anajua Katiba, ndio aweze kutoa maoni ya kubadilisha Katiba. Kwa sababu Katiba, ni vile tunasema tunataka

tuongozwe. Nimesikia wengi wakisema ati, hawapati kazi watu wakisoma,- actually, hatuandiki kwa Katiba eti kila mtu kazi

ipatikane, - lakini tunataka kusema tuwe na uongozi ambao utakuwa wa haki na ukweli. So it is the governance we are talking

about. It is about power, how do you use those powers and authority as enshrined in the constitution? Hiyo ndio tunasema.

Lakini ningetaka tusikilizane,-na mimi nina washukuru kwasababu yote ambayo mmesema ni ya ukweli-. Hawa watu mmesikia

wakisema juu ya provincial administration, P.C., D.C. na nini. Hata wale watu wamechafua, kuchafua kabisa nchi hii ya Kenya,

kuichafua kabisa kwa sababu ya kukosa imani na serikali, ni hawa watu mnasikia- provincial administration. Na kama Katiba

haita address the issue of provincial administration, either iondolewe kabisa na tupatie local authorities,- wale wamechaguliwa

na watu- nguvu, kwa sababu hakuna wakati ambao tutakuwa na Katiba ambayo watu watai-respect. Kwa sababu hawa watu,

- we borrowed the concept of a provincial administrator, from our colonial masters-.

Mzungu, ndiye alikuwa mzungu, kuja kumkalia mwafrika na kumunyanyasa, na kumfanya atii la mzungu kwa nguvu. Wale

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!