verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet
verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet
verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
49

Interjection.

Com. Wanjiku: tafadhali jaribu umalize.

Paul Kamau: Okay, ni kumaliza sasa. Mambo ya masomo, - mnaona vile tunasema experts,- tunasikia kuna professors,

Doctors, lakini wakijaribu kufanya kitu, kugundua kitu kwa ule iujuzi wanao, hawapatiwi support na serikali. Tungeomba

serikali iwape support, - Tukisikia mtu ni professor,- tunataka kusikia ni proffesor kama yule ‘Marsey Furgerson,’ amegundua

kitu. Ndio tunataka kusikia kuko watu namna hiyo. Sio kusema kwamba ni professor na kesho yake tunamkuta anafanya kazi

ya ofisi. Sasa masomo yake inakuwa bure. Anapelekwa ng’ambo anarudi hapa, apatiwe nafasi agundue bunduki,- weapons, -

nilikuwa nimesema weapons, - mambo kama ya dawa.

Na ningependa tu kusikia, for example, Doctor Obel, - nimeandika hapa nitapeana kule, -wakati alisema amegundua dawa ya

AIDS, - wengi tulishangaa kusikia amegundua dawa, na ni mtu amesoma sana, - ati mpaka mzungu ndio anaweza kupatiwa

dawa yake. Kama ingepigwa marufuku, tungefanya aende, tungefanya (inaudible) serikali? Enda utibu wale kwa hospitali,

wasipopona tutasema hujui kazi. Zikiwaponya, basi apewe madaraka aendelee. Kwa hivyo tunataka masomo yatiliwe maanani,

mtu kama huyo afanye discovery.

Kama wale wazungu walikuja hapa wakasema Thompson Falls, - ali-discover nini na ni mtu alikuja huku akapata mvua

inanyesha kila wakati? Nina sema hivi kwa sababu mnajua kile kitu mimi ninasema, wacha nifupishe.

Jambo la mwisho na ndio nitamaliza, ni freedom of expression. Hii tumeharibu kabisa nchi zetu za Africa. Nikizungumza juu ya

M.P. juu ya mkubwa wetu serikalini, juu ya – kama ni inspector wa polisi, kama ni juu ya P.C. kama amefanya vibaya, na

ninathibitisha kwamba amefanya hivyo, inachukuliwa tu kama mtu ambaye hana wakumsaidia, anapelekwa katika cell, na hata

naweza kufungwa, nipigwe, na niwe tortured bila mtu wa kunisaidia. Tunataka mambo kama hayo, bila akishika yeyote,

athibitishe vile alikuwa akisema. Na hiyo inahitaji zaidi. Nikisema juu ya mtu fulani amefanya hivi na hivi, nithibitishe. Ikiwa ni

kweli, niitwe nithibitishe, kwani una… - why are you punishing me? – Okay, nimemaliza hiyo.

Mambo ya ukulima, mnaona wengi wanatoka kwa ukulima. – Ninamaliza sasa madam nikubalie hiyo. – Mambo ya ukulima

imeharibika hapa. Kwa sababu, mkifanya kazi ya ukulima, hakuna usaidizi. Nina panda mboga, hakuna market, nakamua ng’

ombe, hakuna mahali ya kupeleka maziwa. Tuangaliwe sana, kazi tunayofanya kama wakulima iwe ni ya muhimu. Hata nchi

zingine ambazo zimeendelea nyingi, unaona wakulima wanatiliwa maanani sana. Kama wanaproduce, wanachoka wana…(not

clear) na wanaproduce mambo mengi. Na mtaona watoto wetu,- tukifanya hivyo, watoto wetu watapenda kulima, wale hawana

kazi ya kuenda mbali. Watoto wetu watapenda kukaa nyumbani. Lakini sasa mnasema ukulima ni wa nini? Mboga yote nikitoa,

ingine inaharibika, maziwa nikikamua, hakuna soko. Mtuangalie mambo ya masoko, na mambo ya inputs mkubali.

Na point yangu ile nimecomplain ni, ati mpaka fertilizer itoke ng’ambo. Na mimi nilienda kwa secondary school mahali moja,