04.11.2014 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

48

watu wa council, waweke sahihi na mwenye kura awe karibu, na isiwe movement ya kutoka hapa, sababu hapo ndio kura

zinaibiwa. Zinatolewa hapa ati zipelekwe kwa D.O. akiwa Engineer. Hapa njiani ndio zinapitishwa kando na kando. I’m talking

in general, without pointing anybody. Hiyo mambo isimamishwe twende mbele, hatutarudi nyuma tena. Kwa hivyo tangu vile

ilifanyika, tunajua ilifanyika na mambo mengi ni mabaya sana.

Wakati wa kura, kusiwe na mapendeleo ya watu, eti ni watu wa chama fulani. Chama,- vyama vyote viwe vinaheshimiwa kwa

sababu vinawakilisha wananchi, si ni kweli? Kulingana na maoni yetu kama vile tulivyo hapa. Basi hiyo nimemaliza.

Ile nyingine ni habari ya ma chief. Nimezungumza lakini nitataja kwasababu nilikuwa nimeandika. Pendekezo langu ni ndogo tu.

Ma chief kama vile wenzangu wamesema, na assistants,- kama D.O. na D.C. hiyo iende kama vile mnaona nyinyi mmesoma

sana. Mambo ya chief na assistant chief, iwe ni ya elected, - to be elected – Wachaguliwe na watu ambao wanawaongoza, si ni

kweli? Ili watu wataheshimiana na maendeleo itakuweko. Lakini ukiandika chief, -atoke mbali na unamlete hapa, hajui area hii

na environment ya hapa, ana madharau kwa sababu anajua ‘nikiharibu nitapewa transfer nitaenda.’ Hakuna jinsi tutaendelea na

maendeleo. Na ndio mnaona maendeleo mengi katika sub-locations, - katika locations imekosa. Tunataka yule atachaguliwa, ni

mtu ana anapendekezwa. – Kama sisi tunachagua M.P. sababu tunamjua. Asipoleta maendeleo tutamuondoa. Chief asipofanya

kazi yake vizuri, au hata assistant chief tutamuondoa. Tuajiri mwingine. Basi, hiyo nimemaliza. Nilisema sitaenda kwa details.

Mambo mengine ni hii ya civic cases, imetajwa sana. Na ningeomba hii Commission inasema na nyinyi watoto wenu wana –

wanafanywa nini? Wana… Kiswahili karibu kunishinda,- wana… Okay, Watoto wenu na wasichana wenu na wale wazee

ambao wanaelimu, kuna mabo mengine ningeomba, mambo kama mtu anashikwa pale, baiskeli pengine haina taa, -ndio nasema

ni mambo ya civic cases-, na anashikwa na ni mtu wa local hapa; na ngependa, -hata polisi wako hapa-, washugulikie hayo

maneno. Hata mtu wa polisi ako hapa,- hata kama hajawekwa kwa hii, atusaidie,- hapa kwanza ndio tunataka namna hiyo.

Mtu, ni taa ya baisikeli tu ndiyo imekosa, ama ya motokaa imezimika; badala ya kuchukua mtu na ni local man, umpeleke polisi

kumfungia, - ama vile watu wametaja mambo mengine kati ya polisi na wao njiani, - na hawa wote ni askari wako hapa, -

tusaidieni please. Ni watu wetu wanateseka.

Basi, badala ya kufunga huyo mtu kwa cell, na ameshikwa na askari – hata labda ni mtu wanamjua,- Akubali. He should write

what we call ‘ Pitch Duty.’ Akubali kwamba amefanya makosa ile kwa taa, lakini sio ati aende akashitakiwe. Hapana.

Apelekwe kotini na apewe bond aende kotini. Basi, mambo yaishe badala ya kulalisha yeye kwa cell pale bure. Lakini

criminalcases, hiyo tumekubali. Kwa sababu mtu anaweza kufanya mambo mengine mabaya. Si ni kweli? Huyo awekwe ndani.

Nafikiria wale ambao wako hapa watasaidia kutengeneza hii sheria.

Mambo mengine ni, - hii imesemwa na mwenzangu mmoja, lakini nitaitaja kwa njia nyingine. Ni mambo ya kufanya masomo

yawe muhimu katika nchi za Afrika.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!