04.11.2014 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

40

iondolewe. Badala ya hiyo dairy bond, iwe inasimamiwa na mkulima na ndiye anachaguliwa.

Agricultural In-puts: hiyo – fertilizer na kila kitu kinahusikana na mkulima- hiyo iondolewe ile kodi inaitwa custom duty. Hiyo

iondolewe kabisa.

Kutoka hapo, kama vile tulivyosema, sisi Ndorobo – tafadhali, tusiharakishwe tena, kuamishwa kuamishwa. Kwa hayo

machache, naachia hapo, lakini mjue, tunaungana na watu wa Ngairethie mgare, hapa Njabini na Kaambaa tukawa kitu kimoja

ili tusiwe tunafukuzwa kama swara.

Ahsante sana.

Com. Wanjiku: Ahsante sana Mr. Muchugi. (Then she asks a question in Kikuyu). –He answers in Kikuyu.-

Com. Wanjiku: It’s a group memorandum? (He answers-yes). Swali lingine moja, hii mambo ya dini, umesema kusiwe na

freedom of worship ya waislamu au?

Mr. Muchugi: No, nasema, tunajua kuna freedom ya waislamu, kuna freedom ya wakristo, sasa kuna kuja zingine katikati,

zinaandikishwa nyingi nyingi, vitu vingi, hiyo tunataka kuwe na Commission inachunguza hii dini ni ya aina gani? Inaomba vile

Mungu anaombwa, au ni kama ile iko ng’ambo ya wataliban na Osama, namna hiyo? Kwa hivyo tunaona vile inaanza

kuingiaingia.

Com. Wanjiku: Okay, ahsante sana. George Ng’ang’a, and then Ngugi J. K. Hawako? We go to Joseph Kariuki… Samwel

Kinyanjui…Karanja Wainaina…then Mary Wanjiku… Mary Wanjiku…Niuroka?

Mary: (Speaks in Kikuyu).

Com. Wanjiku: Ni thank you muno. Now we have David Macharia.

David Macharia: (He speaks in Kikuyu). I will speak in English, I had earlier spoken in Kikuyu, so that we get proper

communication with my elders here, for the (inaudible) review.

Com. Wambua: (Asks a question, but not so clear). This proposal to – which has been (inaudible) are qualified in that field, If

they are elected and they don’t have people qualified in that, what happens? So are you suggesting that the Ministers or those

who head the ministries should not be appointed from the elected members of parliament? Because we can’t predict those who

are going to be elected. They could be from one field; maybe most of them would be farmers or maybe they would be anything.

So what happens in that situation?

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!