04.11.2014 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

38

Johnson: Yes! That one, Local government should be abolished because it has allocated all our market places, public toilets to

individual people therefore it should be replaced by ministry of housing and development, which will be dealing with urban and

rural areas.

Com. Wanjiku: Thank you very much Munene, from Ruanyambo sub- location.

(The people ask questions in Kikuyu and he answers in Kikuyu).

Speaker: Atumia magiagero andu ati miana iri, aciare a miana iri ka kuoria atri ni kinya na akuria a’mute na kuria

ahikete? Ange koro ndi tueriti totheri na ndere kahii ona kamwe munaine wakwa indo ciakwa atigeriro ni kugaio na

muramati anakora aritu akwa ni ahiko ni magerere ni kogaia indu icio. Ti kwenda gwake guu koro ateri na ciana

ciahe.

Com. Wanjiku: Muritu ocio agaiya gethaka kia ethi agekoro githeka kia ithe kana kia muthuriwe? Now we have John

Gachoki.

Ara’uga oria otari ni muthuri no ena kahi mwenyewe

Interjection: Noise/ argument

Com. Wanjiku: Thank you. John Gacoki

John Gacoki.

Simon: Hamjambo nyote. Kwa majina naitwa Simon. Ningetaka kuongea jambo la busara sana ambalo Kenya nzima

hawajawai kuongea. Kenya nzima, hata wazazi wetu, isipokuwa mwenye amenizaa amejaribu kunilea. Na nyinyi muko hapo

mbele, hamna –hata hamjihisi kimawazo kufikiria watu. Kuna walemavu humu nchini, Sheria ya serikali haidumu- haidumu vile

tunataka.

Tunataka kufanya hivi, Kenya, mwanzo, sisi walemavu hatuonekani kama binadamu kisheria. Ukienda katika sheria hizi za

Kenya, hatusaidiki sisi wenyewe, husaidia wenye wako mamlakani. Katitka orodha la taifa hili, lastahili kuangalia vipofu, viziwi

na walemavu. Kama hamuangalii hayo sasa, na nyinyi ni wazazi wetu, na serikali ni yetu. Kenya sasa inastahili tubadilishe

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!