verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
04.11.2014 Views

34 tunaona kweli mengine siyo ya dini, bali ni walaghai wavumi. Kwa hivyo, katika Katiba mpya, ule uhuru wa kuabudu uweko lakini uchunguzwe kama kweli ile ni dini nzuri, - hapo patakuwa na shida kwa sababu dini ni mambo ya kiroho, na unaweza kuamini utakavyo.- Lakini ule uhuru usitumiwe vibaya, kwa sababu eti ya jina la dini. Sitataja makundi hayo, kwa sababu mnayafahamu nyinyi. Kwa hivyo, serikali iangalie dini zinazo kuja ni namna gani. Jambo lingine ambalo ni muhimu kuandikwa katika Katiba mpya, nikuhusu hawa watu wanaoitwa ‘Provincial administration’. Mimi ninaunga mkono wale watu wanaosema, tuwachague sisi wenyewe. Kwa sababu ikiwa ni Rais anayewachagua watu hawa, ikiwa Rais atapewa uhuru wa kuwachagua watu hawa, wao watawajibika kwake na wala sio kwa raia. Ukimfanyia mtu kitu kizuri, atakulipa kwa uzuri na wala sio kwa ubaya. Kwa hivyo watu wanao chaguliwa na Rais, hawawatumikii wananchi, bali wanamtumikia yule mtu ambaye aliwachagua. Kwa mfano, tume ya uchaguzi. Wale ma Commissioner wanaohudumu katika hii tume ya uchaguzi,- kwasababu wameteuliwa na Rais, - watapeleka mambo yake vile anavyotaka kwa sababu wanamwogopa Rais. Kwa hivyo tunataka bunge irudishiwe mamlaka yake. Kwa sababu hapo zamani, kwenye Katiba ya zamani, bunge ndilo lenye uwezo wa kuwachagua watu hawa. Na ikiwa bunge litarudishiwa hayo mamlaka, basi hao ma Commissioners hawatukuwa na uoga wa kufanya kazi katika njia huru. Lakini katika hali ya sasa, wale ma Commissioners wanafanya kazi kulingana na vile Rais anavyotaka. Kwa sababu amewachagua yeye anaweza kuwafuta kazi jioni au kesho au kesho kutwa. Ukifanya kazi kwa uoga, hutawatumikia wananchi, lakini utamtumikia yule mtu aliyekuajiri. Na kwa sababu mengi niliyotaka kusema yamesemwa, sitarudia. Bye-bye. Com. Wanjiku: Jina lako? Kambo: Mimi naitwa Kambo Henry. Com. Wanjiku: Ahsante sana bwana Kambo, lakini I want to make one clarification, the Commissioners are not elected by the president, they are elected by the parliament, so don’t make assumptions. The president is the ceremonial role. Kambo: I’m talking about the electoral Commission. Com. Wanjiku: The electoral Commission, they are. Okay, maybe one more clarificaton, on the issue of the current constitution. Sorry. Nderaria ohoro wa kwandika Katriba njeru bio ona akekoro ndoye uria Katiba iyo anr ugete. Maoni maria maraheyaono rio tariyu oria andu marauga uhoro wa borithi, kana uhoro wa president, kana huru wa administration maundu macio mothi ne magucoka matransulatwo into Constitution proposals kuogua kwiciria and matigi kuria ati uria muriga nda’uga uguo tondu na andu are magite uguo, nengi ni getha matigeceriye ne mathaa turate akore we nduthomete Constitution nduramenya uria uraga. Maundu maria andu marauga oria and marinda gwatho maundu macio mothii there are part of the revesion of the Constitution kuoguo and matiagerero ni gutigra ona hanini. I agree ati munda akithoma iyo. Andu ni magerero nikwiguo maganere maheyano maundu maria mothe

35 maruna matari miga noria magerere ni kugaroro. Thank you very much Mr. Kambo. Johnson Munene…. Johnson: Good afternoon all of you, Commissioners and listeners. This is Ruanyambo sub-location memorandum. Preamble: It should have the following: ♦ It belongs to Kenyans, common history, vision, aspiration, and wages e.t.c. ♦ Directive or principal of state policies. Equality in everything, justice, fairness, pre-(inaudible) of government activities. ♦ Constitution superemacy. It should not be changed to suit an individual. It should be changed by public, - this one, we call it national referendum.- And this must be about 51%. ♦ Notice to change the constitution, should not be less than six months. There should be 90% of all Mps to vote for any amendment. ♦ Citizenship: Kenyans by birth, registration or spouses. ♦ Bill of rights. ♦ Protection of Human Rights. ♦ Food for all ♦ Slavery and forced labour ♦ Inhuman treatment ♦ Liberalization of property ♦ Abiteration ♦ Pretection of laws. ♦ Freedom of conscience ♦ Freedom of expression ♦ Freedom of assembly and association ♦ Freedom of movement ♦ Clean water for all. ♦ Protection against discrimination. ♦ Fundamental rights and freedom. ♦ Public security ♦ Rights of children’s education from primary to university. It should be compulsory and free education. ♦ We should have free medical care. ♦ Right to settlement at the age of 25 ♦ Inernational Human Rights should be put in our new constitution. ♦ Rights of our own markets

35

maruna matari miga noria magerere ni kugaroro.

Thank you very much Mr. Kambo. Johnson Munene….

Johnson: Good afternoon all of you, Commissioners and listeners. This is Ruanyambo sub-location memorandum.

Preamble: It should have the following:

♦ It belongs to Kenyans, common history, vision, aspiration, and wages e.t.c.

♦ Directive or principal of state policies. Equality in everything, justice, fairness, pre-(inaudible) of government activities.

♦ Constitution superemacy. It should not be changed to suit an individual. It should be changed by public, - this one, we

call it national referendum.- And this must be about 51%.

♦ Notice to change the constitution, should not be less than six months. There should be 90% of all Mps to vote for any

amendment.

♦ Citizenship: Kenyans by birth, registration or spouses.

♦ Bill of rights.

♦ Protection of Human Rights.

♦ Food for all

♦ Slavery and forced labour

♦ Inhuman treatment

♦ Liberalization of property

♦ Abiteration

♦ Pretection of laws.

♦ Freedom of conscience

♦ Freedom of expression

♦ Freedom of assembly and association

♦ Freedom of movement

♦ Clean water for all.

♦ Protection against discrimination.

♦ Fundamental rights and freedom.

♦ Public security

♦ Rights of children’s education from primary to university. It should be compulsory and free education.

♦ We should have free medical care.

♦ Right to settlement at the age of 25

♦ Inernational Human Rights should be put in our new constitution.

♦ Rights of our own markets

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!