04.11.2014 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

34

tunaona kweli mengine siyo ya dini, bali ni walaghai wavumi. Kwa hivyo, katika Katiba mpya, ule uhuru wa kuabudu uweko

lakini uchunguzwe kama kweli ile ni dini nzuri, - hapo patakuwa na shida kwa sababu dini ni mambo ya kiroho, na unaweza

kuamini utakavyo.- Lakini ule uhuru usitumiwe vibaya, kwa sababu eti ya jina la dini. Sitataja makundi hayo, kwa sababu

mnayafahamu nyinyi. Kwa hivyo, serikali iangalie dini zinazo kuja ni namna gani.

Jambo lingine ambalo ni muhimu kuandikwa katika Katiba mpya, nikuhusu hawa watu wanaoitwa ‘Provincial administration’.

Mimi ninaunga mkono wale watu wanaosema, tuwachague sisi wenyewe. Kwa sababu ikiwa ni Rais anayewachagua watu

hawa, ikiwa Rais atapewa uhuru wa kuwachagua watu hawa, wao watawajibika kwake na wala sio kwa raia. Ukimfanyia mtu

kitu kizuri, atakulipa kwa uzuri na wala sio kwa ubaya. Kwa hivyo watu wanao chaguliwa na Rais, hawawatumikii wananchi,

bali wanamtumikia yule mtu ambaye aliwachagua. Kwa mfano, tume ya uchaguzi. Wale ma Commissioner wanaohudumu katika

hii tume ya uchaguzi,- kwasababu wameteuliwa na Rais, - watapeleka mambo yake vile anavyotaka kwa sababu

wanamwogopa Rais. Kwa hivyo tunataka bunge irudishiwe mamlaka yake. Kwa sababu hapo zamani, kwenye Katiba ya

zamani, bunge ndilo lenye uwezo wa kuwachagua watu hawa. Na ikiwa bunge litarudishiwa hayo mamlaka, basi hao ma

Commissioners hawatukuwa na uoga wa kufanya kazi katika njia huru. Lakini katika hali ya sasa, wale ma Commissioners

wanafanya kazi kulingana na vile Rais anavyotaka. Kwa sababu amewachagua yeye anaweza kuwafuta kazi jioni au kesho au

kesho kutwa. Ukifanya kazi kwa uoga, hutawatumikia wananchi, lakini utamtumikia yule mtu aliyekuajiri. Na kwa sababu mengi

niliyotaka kusema yamesemwa, sitarudia. Bye-bye.

Com. Wanjiku: Jina lako?

Kambo: Mimi naitwa Kambo Henry.

Com. Wanjiku: Ahsante sana bwana Kambo, lakini I want to make one clarification, the Commissioners are not elected by the

president, they are elected by the parliament, so don’t make assumptions. The president is the ceremonial role.

Kambo: I’m talking about the electoral Commission.

Com. Wanjiku: The electoral Commission, they are. Okay, maybe one more clarificaton, on the issue of the current

constitution. Sorry. Nderaria ohoro wa kwandika Katriba njeru bio ona akekoro ndoye uria Katiba iyo anr ugete.

Maoni maria maraheyaono rio tariyu oria andu marauga uhoro wa borithi, kana uhoro wa president, kana huru wa

administration maundu macio mothi ne magucoka matransulatwo into Constitution proposals kuogua kwiciria and

matigi kuria ati uria muriga nda’uga uguo tondu na andu are magite uguo, nengi ni getha matigeceriye ne mathaa

turate akore we nduthomete Constitution nduramenya uria uraga. Maundu maria andu marauga oria and marinda

gwatho maundu macio mothii there are part of the revesion of the Constitution kuoguo and matiagerero ni gutigra

ona hanini. I agree ati munda akithoma iyo. Andu ni magerero nikwiguo maganere maheyano maundu maria mothe

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!