04.11.2014 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

23

Haya, ile jambo lingine nilikuwa nataka kuzungumzia ni free education, Masomo tupate bure na serikali. Na ile ingine, jambo

ambalo ni muhimu naona hapa, ni secondary education or higher education. Kuna unrest nyingi katika shule za sekondari. Kwa

hivyo ningeonelea kuwe na koti ya wanafunzi wale ambao wanatenda makosa katika shule. Na wasifanyiwe expulsion yaani

kuambiwa waende nyumbani lakini wapelekwe katika jela hizo.

Na katika uombaji, or freedom of worship, serikali lazima iangalie ili sects kama devil worshipping isionekane katika Kenya.

Haya na freedom of expression, na new land allocation. Yaani, shamba zilipeanwa hapa 1963, na hazijapeanwa zingine. Kwa

hivyo, maoni yangu ni, kuwe kukipeanwa shamba baada ya kizazi, 30 years of age.

Haya ahsante sana.

Speaker: Wale ambao wamekuja hapa kutoa maoni, mpatie yule afisa wa Commission hapo a-record maanake tukimaliza

lazima tuchukue hiyo karatasi twende tukaisome. Hata kama huna memorandum, ukimaliza jiandikishe tu kwamba

umezungumza na umesikizwa. Na sasa ningependa kumkaribisha Mheshimiwa Bwana Mwangi Waithaka, tutakupatia muda tu

wa kuwasalimia wananchi, halafu tutakupatia muda baadaye –kwa sasa unaweza kuwasalamia wananchi tu-, halafu tuendelee.

Mwangi Waithaka: Hamjambo?

(Hatujambo)!

Speaker: Haya sasa tutamwita Joseph Njogu Ngure. Joseph Njogu Ngure, please welcome…Eee? Jina niko nalo hapa ni

Joseph Njogu Ngure, ni wewe? Umesema wewe ni Ngure? Haya endelea.

Joseph Njogu Ngure: (Speaks in Kikuyu)

Translation: When I think about the people of Kinangop, I see that they have various problems. One of the things I would like

the constitution to address is, that the young people should not be treated or be equal with the adults. As our country is, a

person should be treated the way she or he is. Point number one:

• Policeman should be given a salary that is sufficient for his work. He should not be the person who is to rob a person on

the way.

♦ The second issue that is important is, that a farmer should not be asked, ‘where are you going’, any time.

♦ Third, I will speak this on my own behalf; this is how I feel. If a policeman can cause an obstruction or can stop us to

know the way so that you don’t go to work tomorrow- the country is large- there should not be a person who is

beyond 28 years old and is dependant on the parents. If there is land, and that land is idle, being inhabited by wild

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!