04.11.2014 Views

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

verbatim report of constituency public hearings ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

22

threats. Yaani, vile maisha yanakuwa kule katika gereza, inatakiwa ibadilishwe, kwa sababu watu ambao walitunga sheria za

gereza au prisons, hawakuwa na utu. Unaona watu wakishikwa na kuwekwa gereza, ni kama kumuua polepole. Kwa sababu

maisha ya kule gerezani ni poor kabisa. Yaani kuna magonjwa ile contagious kama ile Kikuyu tunaita ‘muhale’, ama mengine

na Aids ama Ukimwi. Mambo haya yote lazima yarekebishwe.

Ingine ni, prisoners should enjoy TV services and Radio services, ili wawe informed na vile kunaendelea nje. Good sleeping

facilities, noting that even an innocent man can be jailed. Na ile ingine nataka kuzungumzia ni, personal confession should be

regarded and scanned by law professionals for consideration. Hii nataka kumaanisha kwamba, mtu anaweza kufungwa jela,

halafu kufike mahali aseme sasa atafanya yaani (speaks in kikuyu), aseme atakiri. Mtu kama huyo akionekana wale

professionals wa law wamusikilize, waangalie mambo yake na wamfanyie kesi vile anaweza kuwachiliwa.

Haya, upande mwingine ni upande wa biashara. Law governing businesses should be viewed as follows: Noting Kenya is a

poor and growing country, everyone must be allowed to have easy access to businesses without much restriction, because he is

profiting the country. Thus, simple small-scale businesses must not be charged e.g. a roadside seller, hawkers, or may be a

simple charcoal dealer, who is trying to earn his daily bread, and many others of the sort.

Businesses should not be highly taxed to attract many in the field. Anyone should be allowed to use his useful knowledge to

build the nation. For example, we have traditional doctors, and if proved fit by the ministry of health, they should be given a go

ahead without much restriction. Traditional blacksmith industries should be encouraged to create job opportunities.

Ile jambo lingine ambalo ningetaka kuzungumzia ni, mambo ya kigeni ambayo tumewekelea maanani sana na tunasahau na yetu.

Na hapo nita-ellaborate nikisoma. We buy drinks such as whiskies, vodkas, from outside which have the same value with our

local brews, and we deny our local brewers rights to produce their brews while it has the same value. Yaani hii ni kumaanisha

ya kwamba, vinywaji kama whiskies, vodka, ziko class moja na chang’aa na mambo mengine ambayo yanatuharibu hapa.

Yaani na vinywaji vingine ambavyo vinatengenezewa katika Kenya. Sasa tuna-promote wale watu wa nchi zingine, badala ya

ku-promote watu wa hapa kwetu. Sasa yetu tunaiita yaani kinywaji cha kienyeji. Yaani vile ningetaka ifanywe ni hivi: wale watu

tungewafunza good hygienic methods of brewing their drinks. Yaani tuwaonyeshe vile wangefanya hiyo pombe yao iwe ni mzuri

na inatengenezwa kiafya. Kwa hivyo, hapo lazima constitution ijue mambo ya importing such brews and promote the local ones.

By out-lawing these drinks, the government kills job opportunities and even it leads to jailing of important breadwinners of the

families. And it also leads to loosing money to foreign investors. Also it is a brain washing and denying the locals their rights.

Instead these brewers should be shown high hygienic methods and the toxic state of their brews.

Interjection.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!