2 ON APRIL 17, 2002 CONSTITUENCY PUBLIC HEARINGS, KINANGOP CONSTITUENCY AT NJAMBINI CHIEF’S CAMP ON WEDNESDAY, 17 APRIL, 2002. Present: Bishop Bernard Njoroge Kariuki - Commissioner Prof. Wanjiku Kabira - “ Mr. Paul Musili Wambua - “ District Officer Secretariat staff in attendance:
3 Roselyne Nyamato - Program Officer Jacklyne Obiero - Assistant Program Officer. Regina Mwachi - Verbatim Recorder. John Njuguna Gikonyo - District Co-ordinater. Aggrey Akaranga - Sign Language Translator The meeting was called to order at 10:00 a.m. The District Coordinator welcomed the Commissioners and gave the opening remarks of the meeting for the day. Commissioner Bishop Bernard Njoroge spoke briefly, and then he handed over to Commissioner Wanjiku Kabira. She gave the formality of how the hearings will be conducted, and then handed over to Commissioner Wambua to greet the people and to run the rest of the meeting. D.O: …Mkutano wa siku ya Leo, on time tena, najua wametoka mbali, barabara zetu ni mbovu, tena nao wamekuja na, sijui ni baraka au ni namna gani? Naona tangu asubuhi mvua imekuwa ni nyingi sana, kwa hivyo tunajua ni baraka wametuletea. Ni kuwakaribisha tu katika eneo hili la South Kinangop, na kwa niaba ya watu wa Kinangop, ninawauliza mjisikie huru pamoja nasi. Pamoja na hayo tunawahakikishia kuwa wakati tunaendelea, ni mvua tu ndio inatuzuia lakini watu wa Kinangop wako na hamu sana kutoa maoni yao kuhusu Katiba na mabadiliko ya Katiba. Sasa ningependa kuwashukuru wananchi kwa kujitokeza kwa wingi ili mtoe maoni yenu. Nadhani sitasema mengi kwa sababu kuna wataalamu hapa. Lakini kile nitasema tu, mkutano wa leo madhumuni yake ni ya maana sana, kwa siku zijazo kwa nchi yetu. Kwa hivyo, kile nitaomba wakati ambapo mnapochangia, muwe mnaweka tu maanani zaidi kuwa ni Kenya ya aina gani ambayo tunataka vizazi vyetu virithi kwa siku za usoni. Kwa sababu, Katiba ni sheria kubwa katika nchi, na ndio kama mwongozo wa nchi itaenda namna gani na itatawaliwa vipi. Kwa hivyo, yale maoni yote ambayo mnatoa yatachangia katika mwelekeo ambao nchi yetu itachukua. Sitakuwa na mengi sana kwa sababu Commissioners wako na programme yao, na kuna utaratibu ambao watafuata, nikuwakaribisha tu pande zote katika kikao hiki. Kwa hayo machache nadhani nitarudishia bwana Bishop na kuwauliza muwe huru kutoa maoni yenu. Nikidhani leo Commission iko hapa, hawajapanga safari nyingi, kwa hivyo mtoe, hata ile ingine, - unajua wazee wengine wanakuwa wataalamu wakiwa kule nje, pengine wakiingia hapa, huo utaalamu, ama sijui pengine wakiona au kusikia Commissioners wako hapa wataingiwa na uoga sana, waseme yale mapendekezo yao hayatatiliwa maanani sana, - toa yote, hata kama unaona pengine hauna uhakika nao, kuna wataalamu wataenda kuchambua na pengine wataandika vizuri kidogo kushinda yale maoni ulikuwa nayo. Kwa hayo machache, karibuni Commissioners, katika South Kinangop division, na mtatuongoza katika sehemu iliyosalia, bwana Bishop karibu. (Clapping).
- Page 1: CONSTITUTION OF KENYA REVIEW COMMIS
- Page 5 and 6: 5 (Interjection) Kwa hivyo tungelip
- Page 7 and 8: 7 Yangu ya mwisho ni hii habari ya
- Page 9 and 10: 9 control the use of land. The gove
- Page 11 and 12: 11 Answer: Eee, aliniambia tu niwap
- Page 13 and 14: 13 Gachomba: Okay, haya maoni natoa
- Page 15 and 16: 15 Ni makosa makubwa sana. Kwa saba
- Page 17 and 18: 17 administration, for it has prove
- Page 19 and 20: 19 Third, it’s about the people w
- Page 21 and 22: 21 (Translation is done in Kikuyu).
- Page 23 and 24: 23 Haya, ile jambo lingine nilikuwa
- Page 25 and 26: 25 Com. Wambua: Okay, twendelee sas
- Page 27 and 28: 27 Administration: ………… (Co
- Page 29 and 30: 29 come up with conclusive ideas. F
- Page 31 and 32: 31 Com. Wanjiku: Thank you very muc
- Page 33 and 34: 33 chake. Nafikiria nitafikia hapo,
- Page 35 and 36: 35 maruna matari miga noria magerer
- Page 37 and 38: 37 Then we come to Judiciary: ♦ J
- Page 39 and 40: 39 kulingana na vile tunataka,- zet
- Page 41 and 42: 41 David Macharia: I think what the
- Page 43 and 44: 43 there-Thomano Kiaire, Martha Nya
- Page 45 and 46: 45 Interjection from Com. Wanjiku:
- Page 47 and 48: 47 naona. Lakini nyinyi wenyewe mfi
- Page 49 and 50: 49 Interjection. Com. Wanjiku: tafa
- Page 51 and 52: 51 walichaguliwa ma- D.O na ma-Chie
- Page 53 and 54:
53 But they were not, - it was not
- Page 55 and 56:
55 credible, people with good integ
- Page 57 and 58:
57 Corruption nio niyagerero kunino
- Page 59 and 60:
59 Kwa kuhesabu, (inaudible) hapa n
- Page 61 and 62:
61 Chairman to be elected by the ma
- Page 63 and 64:
63 Another speaker: (repitation. It
- Page 65 and 66:
65 Kama anasaidiwa nanjia mzuri…
- Page 67 and 68:
67 wanalingana na serikali. Sio ati
- Page 69 and 70:
69 Councilor: Karibu sana… karibu
- Page 71 and 72:
71 be disciplined because of bad be
- Page 73 and 74:
73 Ya mwisho, mimi ningeuliza barab
- Page 75:
75 Meeting ended at 5.30 p.m. &&&&&