verbatim report of - ConstitutionNet

verbatim report of - ConstitutionNet verbatim report of - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
09.03.2013 Views

Jambo la pili tena linahusu sheria. Pia iwe ina-defend makanisa. Serikali haichukui jukumu sana ku-defend makanisa. Watu wakiingilia makanisa, hatuoni kama serikali inachukua jukumu kama vile serikali ilisema kanisa ni kama serikali na ikifikia kwa kiwango kanisa iko na taabu, huwezi kupata serikali inasaidia kujua hii inafanyika kwa ukweli wa kusaidia kanisa. Kwa sababu kanisa ndio serikali na ingefaa sasa in the next Government, kanisa iwe inapewa kiti cha ubunge kwa Parliament. Makanisa nayo yawe na representative kwa Parliament ili wakipewa kitu kwa serikali ama ministry, makanisa nayo yawe yanapewa kitu. Isiwe makanisa ywe yanabaki hivyo tu, yanaji-defend pekee na serikali inapata, ministries zina pata pesa, zina pata magari na vitu kama hivyo. Na kanisa inachukua jukumu kubwa kusaidia serikali kuleta peace in the government. Sasa ingefaa serikali ipatie makanisa representative wao Parliament. Asante sana Com. Nunow: Thank you very much Jairus and that brings us to the end of the session. Kwa niaba ya wenzangu na Tume nzima ya Kurekebisha Katiba, ningependa kuwarudishieni shukrani nyote ambao walitoa maoni yao leo na zaidi wale walipanga sherehe hii na wakaifanya iwe imefaulu sanasana wanakamati na wale wametupa nafasi hapa yaani kanisa hii. Twashukuru nyote. Na sasa baada ya hayo, jukumu ni letu kuandika sasa haya maoni na kuwarudishieni baada ya kuandika report ili muweze kuangalia na muone kama yale mumusema yametiliwa maanani ama ilikuwa tu kusema. Tutahakikisha hiyo report imerudi kwenu na mkiona jambo lolote limekosa kwa hiyo report, mtaipeana tena mara ya pili kule Kakamega na hiyo report mtakuwa nayo kwa mda wa miezi miwili nzima ili kila mtu aweze kuiona na kuchukua copy mingi sana kama ile booklet ndogo. Kwa hiyo kwa wakati huu nitamuliza chairperson wa 3Cs atuongoze katika kufunga kikao pengine amwalike Reverend ili atufungie. Doris Orison: Asante sana, ningependa kusema we really (in Luhya) Ningependa kuwarudishia shukrani wale Commissioners tulikuwa nao na hawa secretariat tumekuwa nao mpaka saa hii. Asante sana kwa uvumilivu wenu, kuvumilia na kukaa nasi mpaka wakati huu tumemaliza shughuli zetu. Sasa nitamwalika (Interjection) Oh, asante sana tena kwa Bishop vile alituruhusu kutumia hapa mahali, tumesema asante sana, tumeshukuru kwa yote umetufanyia. Nitamwalika sasa Reverend atufungie mkutano. Rev. Patrick Maina: Tuombe; Mungu tunakushukuru kwa sababu wewe ni Mungu na unatujua kuliko mawazo yetu wenyewe, asante kwa shughuli ambayo imeendelea hapa ya kukusanya maoni ya kusaidia utawala na uongozi wa taifa letu la Kenya. Asante kwa wote ambao wamejitoa muhanga kwa kufika na yale maoni wamependekeza. Bwana tunaomba uyashirikishe kwa maoni ya watu wengine katika taifa nzima na tupate Katiba ambayo itatusaidia kwendeleza kizazi hiki na vizazi vingine vijazo chini ya muongozo wa Katiba hii ambayo tunaiandaa. Asante kwa hawa viongozi wa Tume ambao walifika hapa kwa siku ya leo, tunajua watatoka hapa wakisafiri kwa magari na kwa njia zingine kurudi mahali pao kwenda kutafuta kupumzika. Naomba usafiri mwema na sisi wengine. Bwana tunakuomba utusafirishe na kuturudisha kwetu kwa usalama wako. Naomba hayo kwa jina la Yesu Kristo aliye Bwana mwokozi wetu. Amen. 84

The meeting ended at 5.20 pm. &&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&& 85

Jambo la pili tena linahusu sheria. Pia iwe ina-defend makanisa. Serikali haichukui jukumu sana ku-defend makanisa. Watu

wakiingilia makanisa, hatuoni kama serikali inachukua jukumu kama vile serikali ilisema kanisa ni kama serikali na ikifikia kwa

kiwango kanisa iko na taabu, huwezi kupata serikali inasaidia kujua hii inafanyika kwa ukweli wa kusaidia kanisa. Kwa sababu

kanisa ndio serikali na ingefaa sasa in the next Government, kanisa iwe inapewa kiti cha ubunge kwa Parliament. Makanisa

nayo yawe na representative kwa Parliament ili wakipewa kitu kwa serikali ama ministry, makanisa nayo yawe yanapewa kitu.

Isiwe makanisa ywe yanabaki hivyo tu, yanaji-defend pekee na serikali inapata, ministries zina pata pesa, zina pata magari na

vitu kama hivyo. Na kanisa inachukua jukumu kubwa kusaidia serikali kuleta peace in the government. Sasa ingefaa serikali

ipatie makanisa representative wao Parliament. Asante sana

Com. Nunow: Thank you very much Jairus and that brings us to the end of the session. Kwa niaba ya wenzangu na Tume

nzima ya Kurekebisha Katiba, ningependa kuwarudishieni shukrani nyote ambao walitoa maoni yao leo na zaidi wale walipanga

sherehe hii na wakaifanya iwe imefaulu sanasana wanakamati na wale wametupa nafasi hapa yaani kanisa hii. Twashukuru

nyote. Na sasa baada ya hayo, jukumu ni letu kuandika sasa haya maoni na kuwarudishieni baada ya kuandika report ili

muweze kuangalia na muone kama yale mumusema yametiliwa maanani ama ilikuwa tu kusema. Tutahakikisha hiyo report

imerudi kwenu na mkiona jambo lolote limekosa kwa hiyo report, mtaipeana tena mara ya pili kule Kakamega na hiyo report

mtakuwa nayo kwa mda wa miezi miwili nzima ili kila mtu aweze kuiona na kuchukua copy mingi sana kama ile booklet ndogo.

Kwa hiyo kwa wakati huu nitamuliza chairperson wa 3Cs atuongoze katika kufunga kikao pengine amwalike Reverend ili

atufungie.

Doris Orison: Asante sana, ningependa kusema we really (in Luhya) Ningependa kuwarudishia shukrani wale Commissioners

tulikuwa nao na hawa secretariat tumekuwa nao mpaka saa hii. Asante sana kwa uvumilivu wenu, kuvumilia na kukaa nasi

mpaka wakati huu tumemaliza shughuli zetu. Sasa nitamwalika (Interjection) Oh, asante sana tena kwa Bishop vile alituruhusu

kutumia hapa mahali, tumesema asante sana, tumeshukuru kwa yote umetufanyia. Nitamwalika sasa Reverend atufungie

mkutano.

Rev. Patrick Maina: Tuombe; Mungu tunakushukuru kwa sababu wewe ni Mungu na unatujua kuliko mawazo yetu

wenyewe, asante kwa shughuli ambayo imeendelea hapa ya kukusanya maoni ya kusaidia utawala na uongozi wa taifa letu la

Kenya. Asante kwa wote ambao wamejitoa muhanga kwa kufika na yale maoni wamependekeza. Bwana tunaomba

uyashirikishe kwa maoni ya watu wengine katika taifa nzima na tupate Katiba ambayo itatusaidia kwendeleza kizazi hiki na

vizazi vingine vijazo chini ya muongozo wa Katiba hii ambayo tunaiandaa. Asante kwa hawa viongozi wa Tume ambao walifika

hapa kwa siku ya leo, tunajua watatoka hapa wakisafiri kwa magari na kwa njia zingine kurudi mahali pao kwenda kutafuta

kupumzika. Naomba usafiri mwema na sisi wengine. Bwana tunakuomba utusafirishe na kuturudisha kwetu kwa usalama wako.

Naomba hayo kwa jina la Yesu Kristo aliye Bwana mwokozi wetu. Amen.

84

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!