09.03.2013 Views

verbatim report of - ConstitutionNet

verbatim report of - ConstitutionNet

verbatim report of - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Edward Aringo: Hiyo ya mwisho. Asante, ilikuwa iko ingine lakini saa inakimbia. Naona katika market, mtu akipeleka kitu

katika kikapu, wanamlipisha kodi, kama ya yule analeta gunia mzima. Ikichelewa kuuzwa, tena ikirudi, tena bado wanatoa

gharama kwa kile kitu kimoja. Na hiyo inaonyesha ni unyang'anyi, hapana kusaidia. Na mzee alisema siku ile Kenya ilipata

uhuru, sisi sasa tuko uhuru, tuko uhuru hakuna kunyanyaswa. Na bado wanarudia neno walikuwa wanasema wabeberu ni

wabaya, wananyanyasa watu. Ningesema mengi lakina asante sana Commissioners. Wacha nifike hapo maana watu

wanasema kila aina ya maneno.

Com. Nunow: Asante sana Mzee Ariwo. Tafadhali njoo ujiandikishe. (Interjection) Kuna nini? Sijakuita nauliza kuna

nini? Umejiandikisha? Subiri uitwe jina lako. Jacob Oliko? Unaitwa nani? Richard Nyang’awa. Wewe subiri, iko mtu

mwingine, huyu mzee, Wewe ni wa tatu kutoka huyu mzee.

Jacob Oliko: Asante. Majina ni Jacob Oliko kutoka Luanda. Nina mambo mawili tu ya kusema. Ya kwanza, the new

Constitution should criminalize calculated and deliberate wastage of time and resources. This is happening all over but I will

give two instances from the office of the president. Jogoo house has the Office of the President. When he finishes his term, he

should have been sitting in that office for 43,700 hours. This is like saying 52 weeks, an average of 5 hours per week for 24

years. That gives 43 700 hours. But from the way things have been happening, it is easy to see that hardly 17500 hours has he

sat in that office. Which means the keepers of this office have been paid for work they have not done. In other words taking

care of the President and giving him service. That is an example of wastage of resource. Another example, 3 rallies per week

attended by 30 000 people who will be waiting for the arrival and the carrying out of these meetings for 8 hours in a year. This

translates into 38 million man hours where people do nothing productive. This has really contributed over the years to the

downward movement of all production and therefore many things being affected and failing. That is number one.

The other thing, that I will say in Kiswahili because in Kiswahili it might sound better, mke kuolewa na bwana kuoa, jinsi ilivyo

sasa, mimi ningependa katika Katiba mpya, iwe pia neno kwamba mke pia anaweza kuoa bwana. Na hiyo itawapa sasa

complete equality katika mazingara yetu ya Kenya, na hiyo pia inamaanisha ikiwa mke ataoa bwana basi pia itabidi atoe mahari

amuoe huyo bwana. Na ikiwa mwanamume atamuoa mke, basi itabidi yule mwanaume atoe mahari. Kwa hivyo there will be

equality kabisa – complete equality between man and woman in this country.

Com. Nunow: Thank you very much mzee. Hiyo equality sijui kama itakuwa lakini tutaangalia, tutangoja wasichana waanze

kupeleka dowry kwa wazazi. Christopher Obunyasi? Haya, Richard kuja.

Richard Ogweli Nyang’awa: Mimi ni Richard Ogweli Nyang’awa. Mimi naonelea hii dunia ni yetu. Hatukuja hapa kufanya

siasa. Tumekuja kila mtu atoe maoni yake vile anasikia kwa roho yake. Mtu atoe maoni yake vile anasikia kwa roho yake.

75

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!