09.03.2013 Views

verbatim report of - ConstitutionNet

verbatim report of - ConstitutionNet

verbatim report of - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Jambo lingine, ningependa kusema tusije kusema marufuku marufuku mara kwa mara na hata hawa wanaelewa hiyo marufuku

haiwezi kuisha. Iko. Tunalipa hata mara mbili, ile pesa ilikuwa inaenda kotini siku hizi haiendi. Inapotea kwa barabara kwa

maofisa wetu, wanakula mshahara. Kwa hivyo wanalipwa na wananchi n a pia wanalipwa na Serikali. Wanakula mshahara

mara mbili. Ni umaskini jinsi tunaona tunaletewa na maofisa wetu wa Serikali. Jambo ambalo linawezekana, ofisa akutumikie,

anataka pesa. Hata ma-assistant chief humo mjini, machief ni jambo ambao wanafaa watutumikie kwa bure, wanakuomba

pesa. Sasa nashindwa, kama hatuna pesa ya kwenda ku-report shida zetu kwa maofisa wetu, tutakuwa tunafanya namna gani?

Hilo jambo linapaswa lifikiriwe, kwa mfano hii pombe ambayo mnasikia busaa. Mimi naonelea kwamba iwe huru na ikiwa huru

tuwekewe saa baada ya kazi kwa vile mnavyojua brewers wamepandisha ma-beer. Iko hali ya juu na wengine hawawezi

kuenda kukunywa hiyo beer. Nafikiri hapo tutapata kukuwa rafiki na Serikali na maofisa halafu tutapata kutafuta wahalifu. Mimi

nilionelea hilo neno la kanyaga huende likawa lilikuwa nzuri ingawa lilikataliwa, hilo jambo limesaidia kupunguza uhalifu

sana. Na kwa ajili uhalifu umejaa, umejaa kulingana kwa kufunga hivi vitu vyote ati kwamba ni marufuku. Inapasa tuangalie kitu

kama bangi ifungwi, chang’aa ifungwe madawa ya kulevya ifungwe lakini pombe, hata utamaduni mwingi umeanza

kupotea mjini kwa ajili ya kufunga vitu vyote. Tunadanganywa ni marufuku huko wako waziwazi hata hiyo pesa haifiki kwa

court. Nafikiri hapo jambo lifikiriwe sana.

Kwa upande ya maofisa, sana AP, police, chiefs, wachunguzwe jinsi wanaendelea na wananchi. Uongozi wa mtu unaweza

kuwa mzuri na wenye kuharibu ni wengi. Kwa hivyo tunapaswa tuangalie hapo. Hatutaki kulaumiana na maofisa. Tunataka tuwe

marafiki wa maofisa na maofisa pia wawe marafiki zetu ili tupate kujenga nchi yetu. Nafikiri sina mengi, ni hayo tu. Asanteni.

Com. Nunow: Asante. Justus, Justus Elenye?

Justus Elenye: OK. Thank you Commissioners for coming to Emuhaya. My first suggestion is... My name is Justus Elenye.

My first suggestion to you is that in future, chiefs, assistant chiefs, should be elected by the people but not D.Cs.

The other thing is that, if any Member of Parliament or a councillor defects from one party to another, he should ceise being

Member of Parliament or a councillor from that time of defection and then he should go back to the voters for by-election.

The other point is that, any person to qualify, any person to qualify to be elected as a Member of Parliament of a constituency,

he should be somebody who should not have two homes. He should be stationed at that particular constituency.

The other thing is that, local governments have had financial problems. Therefore, in future, councillors should be paid from a

vote, from a particular vote like Members of Parliament and then they should qualify for pension if they have been there for two

terms.

70

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!