verbatim report of - ConstitutionNet

verbatim report of - ConstitutionNet verbatim report of - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
09.03.2013 Views

anajua pakubwa. Lakini, wanawe si wabaya, lakini sasa, sasa niko hapa mnaniona hakuna mwenye kujua maisha yangu yako vipi. Na huko sina uwezo wa kuenda kusema, Katiba inisaidie, maana pesa zangu zote zimeliwa na dunia. Haya kaburini niko ndani miaka mia mbili Februari 23 kila mtu alisoma nation yenyu hiyo ati nimeaga dunia. Na mwenye kuandika uongo si anatoka kwa Katiba. Kenya hii mbona waandishi wanaandika uongo na hawashtakiwi na mimi nikitoka huku watasema wewe mzee kisha kwisha. Analeta fitina na kuchafua jina na mnasema tu Kariobangi ameaga dunia. Si mingali niko? Kwa hivyo… (Inaudible Interjection) Mbwaya Ambene Atiele: Nitawapataje nami sijui kizungu. Na mwenye kuandika ndiyo mimi nataka mnisaidie nijue hizi pesa zangu zote zinakwenda kwa mfuko ya nani. Hata nilipokuja kwenye mwaka eti kizungu 1965 July, na mzee Kenyatta akapiga simu kuja Maseno marehemu Yohana alipokea akafika kwa polisi nikaletea telephone, tuliwenda na (inaudible) nikufungua nikafungua Gatundu. Kama mjumbe hawezi kuingia huko. Njonjo na Dr. Mungai wawili, vile tulikuwa kwa Katiba tunajuana ndiyo mwenendo. Naweza kutoka huko, MP wetu alikwenda huko. Haya nyinyi Bunyore siri ya huko wakujua kwa nini kitabu iligawiwa watu wakachanga pesa. Dara, uliona hiyo? Basi halafu, kwa hivyo hawana heshima na mimi nikiwa Emuhaya. CDA and imeni-challenge kwa viti vingi kufuatana na Katiba ya Kenya, vitu kama hiyo Mimi nishakuwa mzee. Hakuna heshima, hakuna heshima. Mtu akiwa mzee apewe heshima yake na wewe kijana nikupatie heshima yake, maana ndio hiyo lakini pande moja ati huyu ni mjumbe apatiwe heshima na yeye hana heshima kwa wadogo. Sasa Katiba tutatengeneza tukiendelea pande gani? Haya nikienda kumaliza, ni haya pia kukua nayo. Asante Dora kutuma mtu. Naam. Nina mengi ningeliongea lakini pande ambao nasikia wanataja, hasa Katiba mtangazaji Erude. Si mbaya lakini watoto wake sijui wanalala saa ngapi. Ukiwa mtu anasomesha watoto wana-study mpaka saa ngapi? Lakini tabia nyingine ya kuelimisha mambo ya kizungu watoto wa nywele ngumu hii Katiba itazame kabisa. Msingi wa Katiba ni yetu irudi tuelimishane kiukoo. Mambo ya kuonyesha watoto mambo ya kigeni ni mbaya kabisa. Nilikuwa na mengi na siwezi kuelewa kama tutakutana siku nyingine. (Inaudible Interjection) Com. Nunow: Eeh mzee. Sylvester Kamakaro? Sylvester Kamakaro: Majina yangu ni Kamakaro Sylvester Maina na maoni ni kama yafuatayo: Nation of love should not bear the symbol of any political party. Also, national money, national money tender should not be portrayed with the pictures of any living political leader of the sitting government. Another point is former native courts should be re-introduced for reducing petty cases in the high court such as drunkedness 68

and disorder, debt cases, marital misunderstandings among other things. Elders of the area should be sworn as native court judges, headmen being the court prosecutors. Another point is, on the issue of Members of Parliament. The salary of an Member of Parliament should be divided into two sections: half of the salary should go to the economic development of his constituents while he should enjoy the other half with the rest of the family. Another point comes this way, all people who are over the age of 65 years should at least be given something to enable them sustain their lives. Another point comes this way, all orphans should be educated free and taken care of by the Government in Kenya. There should be no majimboism due to economic imbalance. Small scale businessmen should not be taxed especially those operating in villages. Now to sum up everything, I would like those who are getting married , the two spouses, instead of the girl childs, parents, getting dowry, the dowry should be given by both sides to help the couple to start their life. That is all I had. Thank you. Com. Kangu: Paul Mukoba, Paul Mukoba? Paul Mukoba: Jina langu ni Paul Mukoba kutoka Isanda sub-location. Ningependa kujulisha Serikali yetu ya Kenya ifahamu ya kwamba wakati tulinyakuwa uhuru 1963 haikuwa ya Maasai pekee yao. Ilikuwa pamoja na wananchi. Inapasa maofisa ambao tukonao kwa wakati huu wafikirie wananchi, wafikirie wananchi. Mkitembea hapa mtaona wananchi wanaumia na mambo mengi sana na hiyo yote inaletwa na maofisa wetu wa Kenya. Tungelipenda kusema ya kwamba hivi vyama ama chama hatuwezi kuvichukua kama chuki mbele ya wananchi wa Kenya. Lengo letu ni kujenga nchi yetu vile tuliipata kwa mambo ya shida. Na pia wengi ambao wako sasa wanaelewa ya kwamba nchi yetu ilipatwa kwa mambo ya taabau na wengi walikufa wakati huo. Tungelipenda kutengenezea watoto wetu msingi. Upande wangu ningependa kusema, matibabu, vile mnapoona watu wanafariki mara kwa mara, Serikali imesahau matibabu yetu tangu mwaka wa ’63 hadi ’68 vile watu walikuwa wanatibiwa. Kwa uwezo wako, tungependa kusema vitu vya clinic vinapasa vifungwe na matibabu ya zamani irudi. Ile matibabu ya zamani ilikuwa inatusaidia sisi. Na matibabu ya pesa saa hii, tunaweza kutibiwa na madawa ambayo hata tunanunua sokoni na unaenda kuambiwa pesa nyingi na unalipa. Hata ugonjwa kama malaria unatibiwa na dawa ambayo haifai huyo ugonjwa, hata kupima hakuna. Lile ni jambo moja linaumiza watoto huku mjini, unashtuka tu mtoto anaugua aina gani, ni malaria ama ni nini? Ni kumrundika maji na hiyo ugonjwa haihusiki na maji. Tayari mtoto anapotea au mzee anapotea. 69

and disorder, debt cases, marital misunderstandings among other things. Elders of the area should be sworn as native court

judges, headmen being the court prosecutors.

Another point is, on the issue of Members of Parliament. The salary of an Member of Parliament should be divided into two

sections: half of the salary should go to the economic development of his constituents while he should enjoy the other half with

the rest of the family.

Another point comes this way, all people who are over the age of 65 years should at least be given something to enable them

sustain their lives.

Another point comes this way, all orphans should be educated free and taken care of by the Government in Kenya. There

should be no majimboism due to economic imbalance. Small scale businessmen should not be taxed especially those operating

in villages.

Now to sum up everything, I would like those who are getting married , the two spouses, instead of the girl childs, parents,

getting dowry, the dowry should be given by both sides to help the couple to start their life. That is all I had. Thank you.

Com. Kangu: Paul Mukoba, Paul Mukoba?

Paul Mukoba: Jina langu ni Paul Mukoba kutoka Isanda sub-location. Ningependa kujulisha Serikali yetu ya Kenya ifahamu

ya kwamba wakati tulinyakuwa uhuru 1963 haikuwa ya Maasai pekee yao. Ilikuwa pamoja na wananchi. Inapasa maofisa

ambao tukonao kwa wakati huu wafikirie wananchi, wafikirie wananchi. Mkitembea hapa mtaona wananchi wanaumia na

mambo mengi sana na hiyo yote inaletwa na maofisa wetu wa Kenya. Tungelipenda kusema ya kwamba hivi vyama ama chama

hatuwezi kuvichukua kama chuki mbele ya wananchi wa Kenya. Lengo letu ni kujenga nchi yetu vile tuliipata kwa mambo ya

shida. Na pia wengi ambao wako sasa wanaelewa ya kwamba nchi yetu ilipatwa kwa mambo ya taabau na wengi walikufa

wakati huo. Tungelipenda kutengenezea watoto wetu msingi.

Upande wangu ningependa kusema, matibabu, vile mnapoona watu wanafariki mara kwa mara, Serikali imesahau matibabu

yetu tangu mwaka wa ’63 hadi ’68 vile watu walikuwa wanatibiwa. Kwa uwezo wako, tungependa kusema vitu vya clinic

vinapasa vifungwe na matibabu ya zamani irudi. Ile matibabu ya zamani ilikuwa inatusaidia sisi. Na matibabu ya pesa saa hii,

tunaweza kutibiwa na madawa ambayo hata tunanunua sokoni na unaenda kuambiwa pesa nyingi na unalipa. Hata ugonjwa

kama malaria unatibiwa na dawa ambayo haifai huyo ugonjwa, hata kupima hakuna. Lile ni jambo moja linaumiza watoto huku

mjini, unashtuka tu mtoto anaugua aina gani, ni malaria ama ni nini? Ni kumrundika maji na hiyo ugonjwa haihusiki na maji.

Tayari mtoto anapotea au mzee anapotea.

69

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!