09.03.2013 Views

verbatim report of - ConstitutionNet

verbatim report of - ConstitutionNet

verbatim report of - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

anajua pakubwa. Lakini, wanawe si wabaya, lakini sasa, sasa niko hapa mnaniona hakuna mwenye kujua maisha yangu yako

vipi. Na huko sina uwezo wa kuenda kusema, Katiba inisaidie, maana pesa zangu zote zimeliwa na dunia. Haya kaburini niko

ndani miaka mia mbili Februari 23 kila mtu alisoma nation yenyu hiyo ati nimeaga dunia. Na mwenye kuandika uongo si anatoka

kwa Katiba. Kenya hii mbona waandishi wanaandika uongo na hawashtakiwi na mimi nikitoka huku watasema wewe mzee

kisha kwisha. Analeta fitina na kuchafua jina na mnasema tu Kariobangi ameaga dunia. Si mingali niko? Kwa hivyo…

(Inaudible Interjection)

Mbwaya Ambene Atiele: Nitawapataje nami sijui kizungu. Na mwenye kuandika ndiyo mimi nataka mnisaidie nijue hizi pesa

zangu zote zinakwenda kwa mfuko ya nani. Hata nilipokuja kwenye mwaka eti kizungu 1965 July, na mzee Kenyatta akapiga

simu kuja Maseno marehemu Yohana alipokea akafika kwa polisi nikaletea telephone, tuliwenda na (inaudible) nikufungua

nikafungua Gatundu. Kama mjumbe hawezi kuingia huko. Njonjo na Dr. Mungai wawili, vile tulikuwa kwa Katiba tunajuana

ndiyo mwenendo. Naweza kutoka huko, MP wetu alikwenda huko. Haya nyinyi Bunyore siri ya huko wakujua kwa nini kitabu

iligawiwa watu wakachanga pesa. Dara, uliona hiyo?

Basi halafu, kwa hivyo hawana heshima na mimi nikiwa Emuhaya. CDA and imeni-challenge kwa viti vingi kufuatana na Katiba

ya Kenya, vitu kama hiyo Mimi nishakuwa mzee. Hakuna heshima, hakuna heshima. Mtu akiwa mzee apewe heshima yake na

wewe kijana nikupatie heshima yake, maana ndio hiyo lakini pande moja ati huyu ni mjumbe apatiwe heshima na yeye hana

heshima kwa wadogo. Sasa Katiba tutatengeneza tukiendelea pande gani?

Haya nikienda kumaliza, ni haya pia kukua nayo. Asante Dora kutuma mtu. Naam. Nina mengi ningeliongea lakini pande ambao

nasikia wanataja, hasa Katiba mtangazaji Erude. Si mbaya lakini watoto wake sijui wanalala saa ngapi. Ukiwa mtu anasomesha

watoto wana-study mpaka saa ngapi? Lakini tabia nyingine ya kuelimisha mambo ya kizungu watoto wa nywele ngumu hii

Katiba itazame kabisa. Msingi wa Katiba ni yetu irudi tuelimishane kiukoo. Mambo ya kuonyesha watoto mambo ya kigeni ni

mbaya kabisa. Nilikuwa na mengi na siwezi kuelewa kama tutakutana siku nyingine.

(Inaudible Interjection)

Com. Nunow: Eeh mzee. Sylvester Kamakaro?

Sylvester Kamakaro: Majina yangu ni Kamakaro Sylvester Maina na maoni ni kama yafuatayo: Nation of love should not

bear the symbol of any political party. Also, national money, national money tender should not be portrayed with the pictures of

any living political leader of the sitting government.

Another point is former native courts should be re-introduced for reducing petty cases in the high court such as drunkedness

68

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!