verbatim report of - ConstitutionNet
verbatim report of - ConstitutionNet
verbatim report of - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
anasimamia. Pombe hiyo ya zamani sio kama chang’aa na mwenye kutoka kwa shule hakutofautisha pombe gani mbaya na gani

mzuri. Wote wanachukua jina tu moja, pombe. Na pombe hiyo ya wazee haikuwa na madhara na leo inaingiliwa na mtoto

ambaye hajaowa, anaingia kwa pombe. Akishakunywa pombe na njaa, anakwenda kufanya mambo mbaya. Halafu mtu

aliyeelimika ndiye anatafuta aende kwa pombe. Lakini hayo yote anafanana na mtoto wa shule tena na ni mtu mkubwa

mlimteuwa aende kule maana hajui pombe hii iko mara ngapi; hii mbaya na hii nuzuri, ya wazee iko wapi?

Pombe ya wazee iwachiwe wazee. Maana yake hiyo ndiyo inaleta business ya corruption. Pale polisi wanakula hapo, assistant

chief anakula hapo, likuru anakula hapo. Sasa yule analaumiwa tu, na kumbe mwenye chang’aa anajuana nao huko. Kitu

ambacho kinaharibu Kenya nzima ni ufisadi. Tunaweza kufanya aje ukamalizika? mpaka Katiba ya kesho iwe nzuri maana

huwezi kuwa mnyang’anyi na ukaunda Katiba. Hapana.

Sisi, mimi namna hii nilizaliwa 1913 ikimalizika lakini kwa kitambulisho ni 1914. Na nikuambia maneno nawe unatoka kwa

masomo unasema, "ah! ya mzee ilikwisha" Kama ilikwisha, na wewe mwerevu, kwa nini unaoa unakwenda kuuishi kwa boma

ingine kando ya pale ulioa na huko ni ukoo unaogopewa. Sasa ukifariki huko, utazikwa huko ama hapana? Hilo ni neno mbaya

sana mtu kwenda kuishi kule alikooa na anasahau mamake, anasahau babake na watoto, ndugu zake hawasomi. Na ana pesa,

ana motokaa na kila kitu. Na hiyo, anajuana na watu wakubwa wakubwa. Kwanza, mimea itoke chini ikiwa na foundation

nzuri. Lakini ukiwa mjumbe halafu unadharau kwenu, sasa utakuwa mzuri huko? Katiba iangalie.

Nikiingilia pande mwingine, mimi ni mwimbaji wa Kenya. Pia ndani ya redio, ndani ya nyumba, mimi ndio niliokataza kila siku

Kariobangi. Asante. Nitaimba kidogo. Shika hii, mambo iko mbaya. Nilidanganywa, hii ni certificate, siwezi kugawia watoto

wangu certificate. Na pesa yote wanakula, wanamaliza. Mimi ndio niliwaambia nitaimba yote. Lakini, Kenya yetu, ukiimba

wimbo unatunga lakini copyright inamaliza wewe.

Song; Kila siku, kila siku Kariobangi tu. Ukikutana na mrembo, mrembo anaruka juu ukimuuliza yuaenda wapi mama?

Kariobangi. Mambo ya Kariobangi namshinda kila mtu lakini leo, lakini leo je? Wazee wa siku hizi wanageuza sura tena ati

aende Kariobangi. Haya ndiyo Kariobangi na yeye hajazeeka aende Kariobangi tu. Mambo yananishinda. Eti sikiliza kidogo

hapo na kumbe ni pombe chang’aa. Na pombe ni chang’aa tu na mwenye pombe anakupa onyo, nakupa onyo na ulinunua tu.

Nakupa onyo tu na unywe chonjo chonjo aaah! Eti nikunywe chonjo na ulinunua. Na mwenye nyumba anataka kodi,

alikudanganya unywe chonjo chonjo maana yake wanajuana na polisi kweli wanaungana. Wewe ndio utabeba debe kwenda

kotini for corruption eti unywe chonjo chonjo, na mwenye nyumba nataka kodi, anakudanganya. Ooh! Saa ingine, ni hasara

ngapi ulipata mchana moja? kumbuka na kumbe ni pombe chang’aa. Sasa mnapata busaa na chang’aa ndio chanzo cha maovu.

Tena, corruption ilitokana kwa ndani ya chang’aa. Haikutoka kwa busaa. Haya. Nisimamie hapo nimalize maneno. Iko kitu

moja sasa ni (Inaudible) nitabariki bila chochote na afadhali tulikuwa na Moi kwa siasa anajua pote, anamulika pale ndogo

67