verbatim report of - ConstitutionNet

verbatim report of - ConstitutionNet verbatim report of - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
09.03.2013 Views

This time I'll talk about the brewing of beer. The local brewes like busaa should be allowed but time for consumption should be controlled. Infact, the local drinks are sold to earn some money. People who do brewing business earn some money for their children and buy them some food. People go in for illicit drinks like chang'aa, kumi kumi and others which kill them because the government has denied them traditional brews. And that is why people are killed in chang'aa and other pombe dens. Therefore, we should go back to the traditional drinks. On the issue of Chiefs and the assistant chiefs, I'll just speak briefly that there should be elections for the chiefs and the assistant chiefs. After the elections, they should be taken for training on how to do the work, for about six or eight months. And if they don’t carry out their duties well, then the people should have a vote of no confidence in them then they are dismised from their duties. Minimum education for the chiefs and the assistant chiefs should be form four, third division and above. There is a problem with the people who are empoloyed by the government and are in NSSF. I think that the relationship is direct between the government employees and the NSSF. Therefore, I don’t see why when a government employee or a civil servant has left duty, he goes and looks for that money for quite along period as if he works with a company. Thank you very much. Com. Nunow: Okay, thank you very much. Charles Tsuma? Charles Tsuma: Asanteni sana. Kwa majina naitwa Charles Tsuma. Kitu cha kwanza ama mambo yangu ya kwanza ni kuanzia kwa mamlaka ya Rais. Naona Rais ambaye tunaye kwa saa hii ana mamlaka mingi zaidi kupita kiasi. Ya kwanza, asiwe Vice Chancellor wa vyuo vikuu vyote nchini. Asiwe Mkuu wa Majeshi yote nchini. Asiwe mkulima namba moja kote nchini. Rais ambaye tunaye awe tu ni Rais katika ofisi na afanye kazi ya Urais. Hapa kwetu Bunyore tumesomesha vijana wetu wengi sana ambao hawana kazi. Unaweza kupata mtu amefanya kazi kwa miaka mingi halafu anarudi anapata retire. Anakuja kushikilia wadhifa fulani katika serikali pia au katika kanisa, huku anaendelea kupata mshahara na wale ambao wamesoma tungali tumeketi tu nyumbani. Hayo maneno katika Kenya yetu, naonelea yanatufinya. Vile wenzangu wamesema ni ya kwamba hapa kwetu Bunyore, sijui ni hapa Bunyore ama na kwingineko, tafadhali pombe hio ya wazee ambayo inasemekana ya busaa iwe huru, Kwa sababu vijana wengi wameingilia chang'aa na inatokana na kukosa mawaidha ya wazee. Kwa sababu mawaidha ya wazee yalikuwa yakipatikana kwa pombe ya busaa. Bei ya beer, mwananchi wa kawaida hawezi ku-afford kwa hivyo na-support wenzangu na ni asanteni sana kwa kunisikiza. Com. Nunow: Asante sana Charles kwa hayo, Joseph Otabile? 62

Joseph Otabile: Asante sana mimi ni Joseph Otabile. Yangu ni machache juu ya hasa ukurasa nane hivi za mpangilio huu wetu. Kwanza naona ajabu kwa upande wa Katiba, ningependelea watu wafahamu kwamba, Katiba ni kama driver ambaye amepewa motocar. Driver hawezi kubadilisha steering. Hiyo ni kazi ya manufactures. Kwa hivyo hatuna haja ya wabunge kubadilisha Katiba. Hii ni refurendum ambayo tunatamani Katiba irudi kwa wananchi baada ya miaka kadhaa warekebishe wenyewe. Sio kujichukulia wabunge wachache wabadilishe Katiba. Hapo huwa ni msukumano, mtu fulani ametoka na uwezo mwingi sana halafu anawa- bribe, basi mambo huwa mabaya kidogo. Na pia naona kwamba, katika mseto huu wetu, dola iwe na one man one job. Free access to mass media of the nation, free establishment of private communication media system. The President not to be above the law. Kubadilisha Katiba, kwa kweli nimesema tunahitaji refurendum. Ijapo ni jambo ghali, lazima tuhitaji watu wote wahusike vile tunafanya sasa. Wananchi watahusika Katiba makundi makundi, kama makundi ya kinamama, makundi ya vijana, makanisa, vyama vya wafanyikazi, vihusishwe. Pia, mjadala huu ufikie watu wote katika viwango vya wilaya. Tunaweza kukopa watu wengine watusaidie, kama watu wa umoja wa mataifa, umoja wa nchi za Africa, na ECOWAS na hasa wataalam fulani kama wanasheria. Basi nikifikia Uraia, sijaguzia mambo mengi juu ya uraia lakini naona mtindo uliopo ambao wenzangu wamesema ni sawa sawa. Sera za sasa zaweza kutumika na watu watapewa uwezo wa kubadili baadaye. Hasa uraia si vizuri kunyima mtu ambaye ameishi Kenya zaidi ya miaka mitano. Ukurasa… jambo juu ya ulinzi, naona ni kwamba ulinzi usibakie juu ya Central Government. Ulinzi ugawanywe katika vikundi viwili, ulinzi wa taifa uwe kwa Cenral Government, na ulinzi wa mikoa uwekwe chini ya mamlaka ya majimbo ya mikoa. Tusipate ufisadi mwingi sana juu ya polisi na watu wengine ambao walio kwa Armed Forces kunyanyasa watu walio vijijini. Basi hapo sio kwamba ulinzi ubaki kwa Rais sana, ugawanywe kwa majimbo. Bunge likubaliwe kuunda sehemu ya kama 35% kwa maswala ya usalama. Na mengine yaachiwe mikoa. Mikoa itegemee wabunge wao kufanya utaratibu wa usalama wao. Basi hapa Bunge pia, bunge liweze kubadilisha wakuu wa Tume hii kupitia kwa Waziri Mkuu. Yaani Tume ya usalama labda. Bunge lisaidiwe na maoni kutoka kikundi, vikundi kama wanasheria, na vikundi vya watu mbali mbali, chama cha wafanyikazi, chama cha wanasheria, chama cha makanisa and so on. Rais awe na kamati maalum kutokana kwa majimbo, na Bunge ambalo maoni yao yakubaliwe. Yaani Rais lazima asikize maoni ya watu kutoka kwa mabunge ndogo ndogo zile zitaundwa mikoani juu ya usalama. (Inaudible) maalum iliopewa Rais ipitishe maoni yake ambayo yatakubaliwa kwa Bunge by 99%. 63

Joseph Otabile: Asante sana mimi ni Joseph Otabile. Yangu ni machache juu ya hasa ukurasa nane hivi za mpangilio huu wetu.

Kwanza naona ajabu kwa upande wa Katiba, ningependelea watu wafahamu kwamba, Katiba ni kama driver ambaye

amepewa motocar. Driver hawezi kubadilisha steering. Hiyo ni kazi ya manufactures. Kwa hivyo hatuna haja ya wabunge

kubadilisha Katiba. Hii ni refurendum ambayo tunatamani Katiba irudi kwa wananchi baada ya miaka kadhaa warekebishe

wenyewe. Sio kujichukulia wabunge wachache wabadilishe Katiba. Hapo huwa ni msukumano, mtu fulani ametoka na uwezo

mwingi sana halafu anawa- bribe, basi mambo huwa mabaya kidogo.

Na pia naona kwamba, katika mseto huu wetu, dola iwe na one man one job.

Free access to mass media of the nation, free establishment of private communication media system.

The President not to be above the law.

Kubadilisha Katiba, kwa kweli nimesema tunahitaji refurendum. Ijapo ni jambo ghali, lazima tuhitaji watu wote wahusike vile

tunafanya sasa. Wananchi watahusika Katiba makundi makundi, kama makundi ya kinamama, makundi ya vijana, makanisa,

vyama vya wafanyikazi, vihusishwe. Pia, mjadala huu ufikie watu wote katika viwango vya wilaya. Tunaweza kukopa watu

wengine watusaidie, kama watu wa umoja wa mataifa, umoja wa nchi za Africa, na ECOWAS na hasa wataalam fulani kama

wanasheria.

Basi nikifikia Uraia, sijaguzia mambo mengi juu ya uraia lakini naona mtindo uliopo ambao wenzangu wamesema ni sawa sawa.

Sera za sasa zaweza kutumika na watu watapewa uwezo wa kubadili baadaye. Hasa uraia si vizuri kunyima mtu ambaye

ameishi Kenya zaidi ya miaka mitano.

Ukurasa… jambo juu ya ulinzi, naona ni kwamba ulinzi usibakie juu ya Central Government. Ulinzi ugawanywe katika vikundi

viwili, ulinzi wa taifa uwe kwa Cenral Government, na ulinzi wa mikoa uwekwe chini ya mamlaka ya majimbo ya mikoa.

Tusipate ufisadi mwingi sana juu ya polisi na watu wengine ambao walio kwa Armed Forces kunyanyasa watu walio vijijini.

Basi hapo sio kwamba ulinzi ubaki kwa Rais sana, ugawanywe kwa majimbo. Bunge likubaliwe kuunda sehemu ya kama 35%

kwa maswala ya usalama. Na mengine yaachiwe mikoa.

Mikoa itegemee wabunge wao kufanya utaratibu wa usalama wao. Basi hapa Bunge pia, bunge liweze kubadilisha wakuu wa

Tume hii kupitia kwa Waziri Mkuu. Yaani Tume ya usalama labda. Bunge lisaidiwe na maoni kutoka kikundi, vikundi kama

wanasheria, na vikundi vya watu mbali mbali, chama cha wafanyikazi, chama cha wanasheria, chama cha makanisa and so on.

Rais awe na kamati maalum kutokana kwa majimbo, na Bunge ambalo maoni yao yakubaliwe. Yaani Rais lazima asikize maoni

ya watu kutoka kwa mabunge ndogo ndogo zile zitaundwa mikoani juu ya usalama. (Inaudible) maalum iliopewa Rais ipitishe

maoni yake ambayo yatakubaliwa kwa Bunge by 99%.

63

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!