09.03.2013 Views

verbatim report of - ConstitutionNet

verbatim report of - ConstitutionNet

verbatim report of - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

ya kusema Commission iongezwe muda, ifanywe nini, ni pesa ambazo watu wananung'unikia si ati maneno mengine.

Tukikuja upande wa security, tunataka security ianzie nyumbani kwa sababu tuna insecurity ambapo watu wengine

wananyanyasa watu sana. Hawa hawaangalie masilahi ya watu, wanataka kitu kidogo vile watu wamesema. Na hiyo sio vizuri.

Tukiingia upande wa security ya kazi, kazi zingine ziko na appointment, yaani zingine ziko zina-appoint-iwa na President. Na

hizo appointments ziko-carried along a tribal basis. Kwa sababu tukiangalia hata chairmen of parastatals, tukiangalia kama

managing directors, utakuta ni watu wa family fulani or wanatoka mahali fulani.

President's powers ziwe reduced because ukiangalia hata D.Cs, tumefanya statistics na tunaona DCs wengi wanatoka sehemu

fulani. Kwa kivyo tunataka pale parekebishwe na we distribute these positions to all tribes equally.

Tukiingia upande wa… tuseme sasa tunataka kupatia watu freedom. Watu wanyanyase watu kwa sababu (?) wanakunywa

pombe. Pombe, yes, iko lakini sasa kuna traditional beer. Tuko na pombe ambayo ni ya traditional, hiyo pombe inatakikana

iwe allowed or tuseme, tradition za watu, hata nyinyi mko na tradition zenu. Mtu akija kupinga hizo tradition zenu mnakataa.

Kwa hivyo hiyo tradition tunataka iendelee. Please you note that one, hiyo tradition iendelee.

Com. Nunow: Umemaliza?

Athur Okwemba: Sijamaliza bado. Kwa hivyo… unajua nilikuwa nataka mchukue hiyo note kwa sababu mnajua vitu vingine.

Com. Nunow: (Inaudible.)

Arthur Okwemba: Sawa. Kwa hivyo, hiyo mambo ambayo tunasema please tunataka mtengeneze hiyo mambo tena mfanye

haraka imalizike. Kwa sababu serikali yetu ambayo inakuja, tuko na multi party, na hii multi party tuna KANU, tuna Ford,

tunataka security iwe inapeanwa kwa kila party. We don’t want to cover only one party kama Kanu inaji- cover yenyewe.

Nataka tu- cover kama ni Ford Kenya Ford People, tunataka hizo zote ziwe zinapewa security kwa sababu secutity inapeanwa

kwa njia ambayo sijui ni njia gani. Kwa hivyo hayo ni machache kwa sababu tunataka tufanye kazi ingine na wengine wanataka

kusema mambo yao, please m-note hiyo na tuwe tutaona matokeo, nimeshamaliza.

Come. Nunow: Asante sana, hatuna maswali Bwana Okwemba tafadhali ujiandikishe pale. Stanley Busili.

Stanley Busili: Kwa jina ni Stanley Busili Maboya. Mimi ningependa kuguzia kidogo kuhusu local government.

Local government should have it's finance distributed to local authorities so that it can assist them in payment of their workers

and councilors. Councilors' allowances to be paid right from the treasury because the revenue the councils collect is very

minimal. Though they are also paid very little, with a lot of work.

61

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!