verbatim report of - ConstitutionNet

verbatim report of - ConstitutionNet verbatim report of - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
09.03.2013 Views

watu wenye wanaweza kusomesha watoto kwa akili ya bure, yaani masomo ya bure. Nikiendelea kuhusu elimu ya bure, Ma-headmaster wametengeneza mpango na wazazi wengine wakubwa pamoja na ma-DO na wakuu wa serikali ya kwamba watoto wafukuzwe shuleni na tumesikia ya kwamba masomo ni ya bure. Kwa hivyo ningelipenda serikali iniambie ama ituambie sisi wazazi tujue ukweli uko wapi. Mzazi anaweza kuwa hana chochote na wakati wa mitihani unapata mtoto amekuja kwa boma ati nimefukuzwa kwa sababu ya shilingi kumi za harambee, ama shilingi kumi za kulisha walimu. Kuna mitihani nyingine ambapo sisi wazazi tunanyanyaswa tunaambiwa ya kwamba tutoe pesa fulani zenye zinahitaji walimu wapewe na hiyo iko kwetu sisi wazazi. Ningelipenda serikali yetu tukufu iliopo saa hii, ikiwa itaendelea kama ni KANU, kama ni Ford Kenya, atakayechaguliwa aweze kututetea ama aweze kunitetea mimi kama mtu maskini, kwa sababu ya kunyanyaswa. Upande wa vitambulisho, wasichana wananyanyaswa pamoja na wanaume. Ukienda kuchukua kitambulisho huwezi kupewa kitambulisho sababu ya kitu kidogo. Msichana anaambiwa twende tukutanie mahali fulani ili amuelezee yale anayotaka na ndio sababu watoto wanapatikana kwa njia isio ya maana. Nikiongezea kwa yale Reuben alisema hapa, ndio mzigo wa watoto unapatikana kutoka mahala hapo. Kwa hivyo yangu yanaishia hapo, asante. Com. Nunow: Asante sana mzee, tafathali jiandikishe pale kwamba umetoa maoni. Titus Omukechi, Titus? Abert Nzore? Arthur Okwemba ni wakati wako, umesubiri sana, si ndio? Haya. Arthur Okwemba: Asante sana. Mimi nataka kutoa maoni yangu kwa nyinyi hapa. Majina yangu mimi naitwa Arthur Okwemba. Ya kwanza nitasema hivi, nitaanzia na area yetu ya hapa. Unajua kama hapa kwetu tuko na watu kama assistant Chiefs, Chiefs hata ma-DOs wako, hawa watu wote ni civil servants. Na hawa civil servants tunataka kwamba kwanza assistant Chiefs wachaguliwe na watu wa hapa, Chief wachaguliwe na wa hapa na wawe transferred kama civil servants wengine. Kwa upande wa education, nikija upande wa education, wacha niende kwa academicians. Tuko na power ya President ambayo inachagua kama Vice Chancellors kwa public universities. Na hiyo ndio kitu ambacho tunakataa kwa sababu tunataka wale ambao wanachaguliwa kama Vice Chancellors kwa public universities, tuachie watu kama council kwa universities, tuko na Higher Education hiyo ndio board inaweza kusimamia vitu kama hivyo. For example now, anaweza appoint a minister of education who doesn’t know anything about education. Na unam-appoint kuwa minister for education, what will he do in education? Hiyo kitu ndio tunataka-- please you note it down tunataka irekebishwe. Sijui ile Katiba ya kwanza kama hivyo vitu vilikuwa ndani. Ingine ni kama appointment, tuseme kama retirement ya President kama vile inasemekana, tunataka iwe na limit. Limit inatakikana iwekwe kwa sababu we don’t want the other President to come kama huyo President angali anapata hizo benefits na hizo benefits should be reduced. Hizo benefits ni nyingi sana hata nyinyi mkiangalia mtaona. Sasa wengine mnatumia powers 60

ya kusema Commission iongezwe muda, ifanywe nini, ni pesa ambazo watu wananung'unikia si ati maneno mengine. Tukikuja upande wa security, tunataka security ianzie nyumbani kwa sababu tuna insecurity ambapo watu wengine wananyanyasa watu sana. Hawa hawaangalie masilahi ya watu, wanataka kitu kidogo vile watu wamesema. Na hiyo sio vizuri. Tukiingia upande wa security ya kazi, kazi zingine ziko na appointment, yaani zingine ziko zina-appoint-iwa na President. Na hizo appointments ziko-carried along a tribal basis. Kwa sababu tukiangalia hata chairmen of parastatals, tukiangalia kama managing directors, utakuta ni watu wa family fulani or wanatoka mahali fulani. President's powers ziwe reduced because ukiangalia hata D.Cs, tumefanya statistics na tunaona DCs wengi wanatoka sehemu fulani. Kwa kivyo tunataka pale parekebishwe na we distribute these positions to all tribes equally. Tukiingia upande wa… tuseme sasa tunataka kupatia watu freedom. Watu wanyanyase watu kwa sababu (?) wanakunywa pombe. Pombe, yes, iko lakini sasa kuna traditional beer. Tuko na pombe ambayo ni ya traditional, hiyo pombe inatakikana iwe allowed or tuseme, tradition za watu, hata nyinyi mko na tradition zenu. Mtu akija kupinga hizo tradition zenu mnakataa. Kwa hivyo hiyo tradition tunataka iendelee. Please you note that one, hiyo tradition iendelee. Com. Nunow: Umemaliza? Athur Okwemba: Sijamaliza bado. Kwa hivyo… unajua nilikuwa nataka mchukue hiyo note kwa sababu mnajua vitu vingine. Com. Nunow: (Inaudible.) Arthur Okwemba: Sawa. Kwa hivyo, hiyo mambo ambayo tunasema please tunataka mtengeneze hiyo mambo tena mfanye haraka imalizike. Kwa sababu serikali yetu ambayo inakuja, tuko na multi party, na hii multi party tuna KANU, tuna Ford, tunataka security iwe inapeanwa kwa kila party. We don’t want to cover only one party kama Kanu inaji- cover yenyewe. Nataka tu- cover kama ni Ford Kenya Ford People, tunataka hizo zote ziwe zinapewa security kwa sababu secutity inapeanwa kwa njia ambayo sijui ni njia gani. Kwa hivyo hayo ni machache kwa sababu tunataka tufanye kazi ingine na wengine wanataka kusema mambo yao, please m-note hiyo na tuwe tutaona matokeo, nimeshamaliza. Come. Nunow: Asante sana, hatuna maswali Bwana Okwemba tafadhali ujiandikishe pale. Stanley Busili. Stanley Busili: Kwa jina ni Stanley Busili Maboya. Mimi ningependa kuguzia kidogo kuhusu local government. Local government should have it's finance distributed to local authorities so that it can assist them in payment of their workers and councilors. Councilors' allowances to be paid right from the treasury because the revenue the councils collect is very minimal. Though they are also paid very little, with a lot of work. 61

watu wenye wanaweza kusomesha watoto kwa akili ya bure, yaani masomo ya bure.

Nikiendelea kuhusu elimu ya bure, Ma-headmaster wametengeneza mpango na wazazi wengine wakubwa pamoja na ma-DO

na wakuu wa serikali ya kwamba watoto wafukuzwe shuleni na tumesikia ya kwamba masomo ni ya bure. Kwa hivyo

ningelipenda serikali iniambie ama ituambie sisi wazazi tujue ukweli uko wapi.

Mzazi anaweza kuwa hana chochote na wakati wa mitihani unapata mtoto amekuja kwa boma ati nimefukuzwa kwa sababu ya

shilingi kumi za harambee, ama shilingi kumi za kulisha walimu. Kuna mitihani nyingine ambapo sisi wazazi tunanyanyaswa

tunaambiwa ya kwamba tutoe pesa fulani zenye zinahitaji walimu wapewe na hiyo iko kwetu sisi wazazi. Ningelipenda serikali

yetu tukufu iliopo saa hii, ikiwa itaendelea kama ni KANU, kama ni Ford Kenya, atakayechaguliwa aweze kututetea ama

aweze kunitetea mimi kama mtu maskini, kwa sababu ya kunyanyaswa.

Upande wa vitambulisho, wasichana wananyanyaswa pamoja na wanaume. Ukienda kuchukua kitambulisho huwezi kupewa

kitambulisho sababu ya kitu kidogo. Msichana anaambiwa twende tukutanie mahali fulani ili amuelezee yale anayotaka na ndio

sababu watoto wanapatikana kwa njia isio ya maana. Nikiongezea kwa yale Reuben alisema hapa, ndio mzigo wa watoto

unapatikana kutoka mahala hapo. Kwa hivyo yangu yanaishia hapo, asante.

Com. Nunow: Asante sana mzee, tafathali jiandikishe pale kwamba umetoa maoni. Titus Omukechi, Titus? Abert Nzore?

Arthur Okwemba ni wakati wako, umesubiri sana, si ndio? Haya.

Arthur Okwemba: Asante sana. Mimi nataka kutoa maoni yangu kwa nyinyi hapa. Majina yangu mimi naitwa Arthur

Okwemba. Ya kwanza nitasema hivi, nitaanzia na area yetu ya hapa. Unajua kama hapa kwetu tuko na watu kama assistant

Chiefs, Chiefs hata ma-DOs wako, hawa watu wote ni civil servants. Na hawa civil servants tunataka kwamba kwanza

assistant Chiefs wachaguliwe na watu wa hapa, Chief wachaguliwe na wa hapa na wawe transferred kama civil servants

wengine.

Kwa upande wa education, nikija upande wa education, wacha niende kwa academicians. Tuko na power ya President

ambayo inachagua kama Vice Chancellors kwa public universities. Na hiyo ndio kitu ambacho tunakataa kwa sababu tunataka

wale ambao wanachaguliwa kama Vice Chancellors kwa public universities, tuachie watu kama council kwa universities, tuko

na Higher Education hiyo ndio board inaweza kusimamia vitu kama hivyo. For example now, anaweza appoint a minister of

education who doesn’t know anything about education. Na unam-appoint kuwa minister for education, what will he do in

education? Hiyo kitu ndio tunataka-- please you note it down tunataka irekebishwe. Sijui ile Katiba ya kwanza kama hivyo vitu

vilikuwa ndani.

Ingine ni kama appointment, tuseme kama retirement ya President kama vile inasemekana, tunataka iwe na limit. Limit

inatakikana iwekwe kwa sababu we don’t want the other President to come kama huyo President angali anapata hizo benefits

na hizo benefits should be reduced. Hizo benefits ni nyingi sana hata nyinyi mkiangalia mtaona. Sasa wengine mnatumia powers

60

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!