09.03.2013 Views

verbatim report of - ConstitutionNet

verbatim report of - ConstitutionNet

verbatim report of - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Com. Mutakha Kangu: Asante Bwana Pastor Ayonga.

nikamwambia

(Kiluhya dialect) Mimi naitwa Mutakha Kangu, nimekuwa hapa siku ingine tukizungumza na nyinyi, na

(Kiluhya dialect). When I am teasing him as a grandfather from whom I get wisdom, I normally tell him that the

Kisiis’ were looking for baridi, wakatuacha hapa wakasonga huko mbele, halafu wamefika huko wameharibu kiluhya. Badala

ya kusema ‘makuru’, wanasema ‘makoro’. (?) Wanasema

(?) si ni kiluhya tu wameharibu kidogo? Sasa n dio unasikia yeye akisema yeye ni Mnyore kwa sababu nimemwambia

they are not Kisiis’, they are luhyas who have just spoilt Kiluhya. Asante sana. Sasa, siku ya leo ni siku yenu ya kutoa moni kwa

Tume ya Kurekebisha Katiba na kama hatujaanza, tuna utaratibu tunaeleza, ndio watu waweze kujua vile mkutano

unaendeshwa.

Jambo la kwanza ni kwamba huu ni mkutano wa Tume ya Kurekebisha Katiba. Kiongozi wa kanisa ametukaribisha na tuko na

yeye, na munaona yeye mbele yenu. Mkutano wa leo si wake ni wa kurekebisha Katiba na hata kama mkiangalia kati yenu,

pengine kuna viongozi wa serikali, provincial administration, pengine ma-chief, sub-chiefs, tunasema huu ni mkutano wa Tume

na kwa hivyo hata kama hao watu wa serikali wako katikati yenu, wasiwe ni watu wa kufanya wewe uwe na uoga usiseme yale

unataka kusema. Tumefanya kazi na watu wa serikali ikakubalika kwamba mradi wa kurekebisha Katiba, ni mradi wa

Wakenya wote, ni mradi wa serikali, na kwa hivyo watu wa provincial administration wamekuwa wakisaidiana na sisi,

wanasaidia committees zetu on the ground na wamekuja hapa wakijua, hata nao wamekuja kutoa maoni yao, sio kuja kutisha

wewe usitoe maoni.

Kwa hivyo ujisikie uhuru. Feel very free to state your views, kwa sababu tulisema kuna shida hapa Kenya kulingana na vile

tunaendesha maneno yetu, na tukaamua tutafute ni shida aina gani na tutafute suluhisho itakuwa nini na hatuwezi kufanya hivyo

ikiwa wewe utakuja hapa na tena uogope kusema yale uko nayo. Hata kama unataka kusema provincial adminstration hatutaki,

feel free to say that because those are your views. Hata kama unataka kusema, " ooh, makanisa yamekuwa mengi sana, don’t

fear because mtu wa kanisa ako hapa. Juzi tumekuwa huko Teso na mwingine akatuambia, we seem to be investing too much in

churches when people are going hungry. We need to kuchunguza haya maneno. So even if you wanted kusema hivyo, hapana

ogopa kwamba kiongozi wa kanisa ako hapa mbele kwa sababu tunatafuta suluhisho ya shida ile tuko nayo. We must be able

to put all our ideas together ndio tujue tutaelekea upande gani. Hata kama mwenzetu ni Pastor na unataka kumwambia," ooh,

haya maneno ya kanisa hatutaki, wewe mwambie tu. Hapa leo ni Commissioner tu, yeye hapana Pastor. Hatahubiri leo. So,

zungumza ukiwa free.

Jambo la pili, maoni tunataka kuchukua kwa kutoka kila mtu, wazee, wamama, vijana, walemavu na watu wa aina yote. All the

diversities zenye muko nazo hapa. Tunataka mchanganyiko wa watu wote na wakati mtu anazungumza tunasema tunataka tuwe

na uvumilivu. Usisikie mtu anasema mambo hukubaliani nayo, uanze kupiga kelele. Mpatie nafasi aseme yake, amalize na wakati

6

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!