verbatim report of - ConstitutionNet

verbatim report of - ConstitutionNet verbatim report of - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
09.03.2013 Views

wao wanafanya namna gani? Wanaiuza. Mwisho kabisa ni masilahi ya wafanyikazi. Katiba mpya itoe masilahi ya kimsingi kwa wafanyikazi kama vile nyongeza ya marupurupu, nyongeza ya mishahara, upandishaji wa vyeo ifanywe kivipi? Isije ikatokea ya kwamba hawa wafanyikazi wako chini ya mercy ya mtu? Yaani, they work while being frustrated by other people somewhere in higher authorities. Unapata mwingine anaambia fulani ya kwamba hatuna pesa na ilhali hao wenyewe wanajiongeza pesa kiasi kikubwa kuliko wafanyikazi wa kawaida ambao wanatoa ushuru unaotumiwa kwa ujenzi wa taifa. Makundi mengine haya tuliya… ...kupitia kuwalinda kwa kupewa misaada na mahitaji mbali mbali. Inapasa pia serikali ianzishe makao ya wazee kama yale tunasikia yako katika nchi za wilaya ambapo mzee anaweza kuwekwa na atunzwe kikamilifu mpaka atakapoaga dunia. Wagonjwa wa ukimwi wapewe dawa ya bure, na mahitaji mengineo. Wendawazimu pia wapewe dawa ya bure za kuwatibu. Kwa hivyo dawa ikiwa ghali kiasi kuwa unapata ya kwamba watu hawa hawashughulikiwi kikamilifu, ule ugonjwa ambao ungepoeshwa unazidi kupanda kwa sababu yeye hawezi kujimudu kununua dawa kama hiyo. Watoto wa akili punguani, Katiba ihakikishe kuna shule zaidi za kuwahudumia. Pia kuwepo na lift kama zile ziko kwa majumba marefu, zile ziwekwe kwa kila jumba ndefu zihudumie walemavu na wazee. Na Katiba ihakikishe ya kwamba inatoa hakikisho mzuri kwa watu wote hasa wanawake katika sector mbali mbali. Kusiwe mtu akisema ya kwamba anajua tu vizuri ya kwamba pengine hao wanaume wameshachukua kila jukumu la kufanya ya kwamba hao ni viongozi na kwa hivyo wanasema ya kwamba wanawake ni viumbe duni, wanadharau wanawake. Nafikiria Katiba mpya iweze kutoa hasa kwa wanawake pia kama ni 25% in each and every sector or 10%, waweze pia kupatiwa nafasi kama hilo ili waweze kutumikia taifa kama hili. Otherwise, thank you very much Commissioners for having come to gather our proposals. Com. Nunow: Thank you very much, let us receive your memorandum. Manase Marende? William Okwemba? Isaac Marembe? Samuel Etale? Samuel Etale: My names are Samuel Etale and I would like the 8-4-4 system of education to be scrapped and replaced by 7-4-2-3 system. Primary education should be free and compulsory. The universities should have autonomy and the President should not be the Chancellor. The public university should elect their own Chancellor. The Constitution should also define the work of KBC. You find that KBC is like propaganda used by KANU and during last election it was used to campaign for President Moi and right now it is being used to campaign for Uhuru Kenyatta. Other private broadcasting stations should be allowed to cover all parts of Kenya. They include Nation TV, KTN and other religious stations like Family TV. 56

Computer technology should be developed in rural areas. This means that the government should struggle and ensure that rural electification is done. Coming to the Executive we should have a Prime Minister who will be able to appoint the ministers after the Parliament has vetted the appointments of the ministers. And coming to youth movements, I think that the Constitution should allow the registration of youth development unions. For example, National Youth Movement, and they should be allowed to hold meetings freely. The President should garner 51% of total votes and 25% in 5 provinces in an election. Also, local drinks like busaa and chang'aa should be legalized so as to improve living standards of people making it. It should be bottled like in Uganda where they bottle waraji and its manufacture should be approved by the government to make sure it is fit for human consumption. And the Police should not ask for hongo from the matatus. Coming to agriculture, you find that KCC has been brought down by politicians. I just appeal to the Constitution to revive KCC because if you go to Kitale and Lugari people have a lot of milk which they just pour in their shambas like water. Agricultural Finace corporation should also be revived to enable farmers to be able to plant maize and fertilizers' price should be low. Because right now the farmers production of maize is very high and yet if they sell, they sell at thorw away prices. Coming to Parliamentary candidates, they should have minimum educational qualifications of a form four certificate. And a presidential candidate should have a degree in political science or something like law. And coming to graduation, you find that many students are graduating with hope of getting jobs. But they are being told by the President that, they should have self employment. How can one start self empolyment without any capital? Lastly, I think that right now as I am presenting my views, I don’t know what was in the last Constitution. Many Kenyans don’t know the Constitution, what the Constitution is all about. So I ask the Constitution to be a compulsory subject in both primary and secondary education even at university levels. Sections of it must be taught. Thanks. Com. Nunow: Thank you very much. Reuben Okiebo? Do we have Kepha Okweba? Kepha, jitayarishe. Reuben Otiego: Yes, Commissioners wetu ambao walikuja kukusanya maoni, kwa majina naitwa Reuben Otiego, nitaongea kuhusu wahudumu wetu wa ofisi za serikali kwa sababu ofisi zetu za serikali, tunaonelea Katiba yetu itusaidie maneno ya 'kitu 57

wao wanafanya namna gani? Wanaiuza.

Mwisho kabisa ni masilahi ya wafanyikazi. Katiba mpya itoe masilahi ya kimsingi kwa wafanyikazi kama vile nyongeza ya

marupurupu, nyongeza ya mishahara, upandishaji wa vyeo ifanywe kivipi? Isije ikatokea ya kwamba hawa wafanyikazi wako

chini ya mercy ya mtu? Yaani, they work while being frustrated by other people somewhere in higher authorities. Unapata

mwingine anaambia fulani ya kwamba hatuna pesa na ilhali hao wenyewe wanajiongeza pesa kiasi kikubwa kuliko wafanyikazi

wa kawaida ambao wanatoa ushuru unaotumiwa kwa ujenzi wa taifa. Makundi mengine haya tuliya… ...kupitia

kuwalinda kwa kupewa misaada na mahitaji mbali mbali.

Inapasa pia serikali ianzishe makao ya wazee kama yale tunasikia yako katika nchi za wilaya ambapo mzee anaweza kuwekwa

na atunzwe kikamilifu mpaka atakapoaga dunia.

Wagonjwa wa ukimwi wapewe dawa ya bure, na mahitaji mengineo. Wendawazimu pia wapewe dawa ya bure za kuwatibu.

Kwa hivyo dawa ikiwa ghali kiasi kuwa unapata ya kwamba watu hawa hawashughulikiwi kikamilifu, ule ugonjwa ambao

ungepoeshwa unazidi kupanda kwa sababu yeye hawezi kujimudu kununua dawa kama hiyo.

Watoto wa akili punguani, Katiba ihakikishe kuna shule zaidi za kuwahudumia.

Pia kuwepo na lift kama zile ziko kwa majumba marefu, zile ziwekwe kwa kila jumba ndefu zihudumie walemavu na wazee. Na

Katiba ihakikishe ya kwamba inatoa hakikisho mzuri kwa watu wote hasa wanawake katika sector mbali mbali. Kusiwe mtu

akisema ya kwamba anajua tu vizuri ya kwamba pengine hao wanaume wameshachukua kila jukumu la kufanya ya kwamba

hao ni viongozi na kwa hivyo wanasema ya kwamba wanawake ni viumbe duni, wanadharau wanawake. Nafikiria Katiba mpya

iweze kutoa hasa kwa wanawake pia kama ni 25% in each and every sector or 10%, waweze pia kupatiwa nafasi kama hilo ili

waweze kutumikia taifa kama hili. Otherwise, thank you very much Commissioners for having come to gather our proposals.

Com. Nunow: Thank you very much, let us receive your memorandum. Manase Marende? William Okwemba? Isaac

Marembe? Samuel Etale?

Samuel Etale: My names are Samuel Etale and I would like the 8-4-4 system of education to be scrapped and replaced by

7-4-2-3 system. Primary education should be free and compulsory. The universities should have autonomy and the President

should not be the Chancellor. The public university should elect their own Chancellor.

The Constitution should also define the work of KBC. You find that KBC is like propaganda used by KANU and during last

election it was used to campaign for President Moi and right now it is being used to campaign for Uhuru Kenyatta. Other

private broadcasting stations should be allowed to cover all parts of Kenya. They include Nation TV, KTN and other religious

stations like Family TV.

56

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!