verbatim report of - ConstitutionNet

verbatim report of - ConstitutionNet verbatim report of - ConstitutionNet

constitutionnet.org
from constitutionnet.org More from this publisher
09.03.2013 Views

in Mathare. The schools in Muthaiga, obviously their parents are wealthy because you cannot stay in Muthaiga if you are not wealthy. So when the government wants to issue out may be financial assistance to schools, let it give Mathare more money than Muthaiga. I believe by doing that, it is a fair game because even some people we know they are able to take their children to primary schools and that poor man, where will he take his child? Com. Nunow: Finally? Joshua Iugu: Finally, I've made a lot of noise, I am sorry. A retiring President's salary, it should be discussed but you know since we've got multiparty, and we know that these parties, when one commands majority, they will approve more benefits. for him. So why can,t we have a Commission being set to approve a retiring President's salary than Parliament? At the moment, I know whoever is going to retire, given that he commands majority in Parliament, he is going to go away with a lot of benefits. And bearing in mind that already, he has been earning salary and all these people who are working beneath him or wherever they are working, they are actually trying to fend for themselves, why should he now think that we should save for the MPs? Then if MPs are getting what we call pension that’s a lot of money and you see they discus it themselves. The pension, of MPs should not be for MPs themselves to discuss. For example, even if you told your wife that let us discuss what we should eat and you begin actually, you will mention a lot which will be very expensive. But since the government, wananchi are the people who pay money, they don’t think of that poor man. How many poor people are in Bunyore? We want no jokes. You talk of planting majani, hii majani, tutapanda wapi? I am happy that some of you look as if you come from North Eastern from appearance, you have seen Bunyore what it is. They have small farms and I know given fertilizers freely, they can give us something. It is just a desert like North Eastern because we need to pay fees and these people are not working. Okay, I will finish there. Thank you very much Commissioners. Otherwise, I am very proud to be in the second Lancaster house. Com. Nunow: Thank you mwalimu, please register yourself there. Daniel Koli? Are you there? Kama Daniel hayuko, nitamwita Francis Kulali, Francis alizungumza jana sio? It was another Kulali? Francis Kulali ni kutoka CBO. Okay, he did. And Richard Onyango? Okay, Karibu. Richard, you have a memorandum? Give us a few of the highlights. Richard Onyango: Kwanza hebu tuzungumzie juu ya haki ya kimsingi au basic rights. Kwanza tungepeda Katiba mpya iruhusu haki ya kusanyika kwa makundi ya watu yaani kama mikutano na kadhalika. Kusiwe na muingiliano wowote kutoka kwa Polisi au ma- officer wa kutawala, mradi tu mkutano kama huo ni wa amani. Tukija kwa upande wa elimu, tungependekeza Katiba ibuni msingi madhubuti wa elimu ambao utakuwa nje kabisa na manufaa ya muingilio wa kisiasa. Yaani kusiwe na kitu kama mtu anaamka asubuhi na kusema ya kwamba tutoe elimu ya 8-4-4 au 54

tuseme 7-6 nini, kuwe na elimu madhubuti. Kwani elimu ndio msingi na pia ndio taa ya jamii katika taifa Kwa hivyo any interfearance from any political circle utapata ya kwamba hua inadhuru maisha ya wanafunzi na maisha ya kijamii. Pia katika Katiba hiyo hiyo kwa upande wa elimu, tuweze kufafanuliwa zaidi masomo ambayo yanahitajika yafunzwe. Isije kukatokea kesho yake mtu anasema leo nataka tujifunze somo la ukimwi au wanataka walimu wafundishe somo la nini. Vitu kama vile vinadhuru maendeleo ya elimu humu nchini. Tungependekeza pia Katiba iweke elimu ya bure, hasa ile ya msingi. Kusiwe tu wanasiasa kuja na kupotosha wazazi kwamba elimu ni ya bure na ile hali hawatoi vifaa vya kutosha ambavyo vinaweza kulipitisha jambo hilo. Kwa upande wa ustaafu, Katiba pia irahisishe njia au kipindi ambacho kinahitajika mtu kuyapata marupurupu yake baada ya kustaafu. Kwani wazee wanafadhaika zaidi kwenda Nairobi na kurudi. Na huku wanahongana huko, unapata ya kwamba hata pesa za kuhonga zenyewe haziko. Ikiwa Katiba itarahisisha jambo hili ili mzee akistaafu tu anajua ya kwamba atapata marupurupu yake baada ya mwezi moja au wiki mbili, itakuwa jambo la manufaa zaidi. Pia Katiba irahisishe njia za kufuatwa na wajane hasa wale wanawake ambao wamefiwa na Bwana zao kupata urithi wa mali ya marehemu Bwana wao ambao ameshaaga dunia. Kwani njia ambazo ziko saa hizi, ni njia ngumu na ndefu hata mwanamke anaweza kaa hata karibu miaka mitano bila kupata mali ya Bwana wake. Malipo ya pension ya bibi au Bwana aliyefariki, inapaswa mrithi aendelee kuyapata hadi kifo cha mrithi kama huyu kitokee badala ya kumpa tu baada ya miaka mitano peke yake halafu unapata ya kwamba hiyo inasimamishwa na anabaki na watoto ambao bado wanasoma jambo ambalo linakupatia shida. Tuje kwa upande wa vyama vya wafanyikazi, kuongezea kwa yale mzee mmoja alivyosema hapa, yaani kusiwe na muingilio ya serikali kwa vyama vya wafanyikazi. Inapasa pia Katiba mpya iruhusu kila wafanyikazi wapewe fursa ya kubuni vyama vyao vya wafanyikazi bila kujali ni aina ipi ya kazi wanayoifanya kama vile polisi jeshi, civil servants, provincial administrators. Yapaswa kupatiwa fursa nao wajue kuna chama cha wafanyikazi kama ma-chief kama ma-chief, kama assistant chiefs na kadhalika. Wao wawe na chao ili waweze kutoa maoni yao. Nikiendelea kumalizia malizia, nije kwa upande wa provincial administration yaani uteuzi wa manaibu wa ma-chief, pamoja na machief wenyewe. Katiba mpya iwape wananchi jukumu la kuwachagua kupitia kwa njia ya kura either njia ya mlolongo au kwa njia ya siri. Hii itaepusha ufisadi uliopo kwa wakati huu wa kuteua watu wasiofaa kama hawa. Ikiwa serikali inaona ya kwamba jambo hili ni ngumu, basi inapasa hawa watu wapewe huamisho baada ya kudumu kwa muda fulani katika sehemu moja hadi nyingine kikatiba. Kwa sababu wamekuwa wafisadi kiasi kwamba hata burial permit, wengine 55

tuseme 7-6 nini, kuwe na elimu madhubuti. Kwani elimu ndio msingi na pia ndio taa ya jamii katika taifa Kwa hivyo any

interfearance from any political circle utapata ya kwamba hua inadhuru maisha ya wanafunzi na maisha ya kijamii.

Pia katika Katiba hiyo hiyo kwa upande wa elimu, tuweze kufafanuliwa zaidi masomo ambayo yanahitajika yafunzwe. Isije

kukatokea kesho yake mtu anasema leo nataka tujifunze somo la ukimwi au wanataka walimu wafundishe somo la nini. Vitu

kama vile vinadhuru maendeleo ya elimu humu nchini.

Tungependekeza pia Katiba iweke elimu ya bure, hasa ile ya msingi. Kusiwe tu wanasiasa kuja na kupotosha wazazi kwamba

elimu ni ya bure na ile hali hawatoi vifaa vya kutosha ambavyo vinaweza kulipitisha jambo hilo.

Kwa upande wa ustaafu, Katiba pia irahisishe njia au kipindi ambacho kinahitajika mtu kuyapata marupurupu yake baada ya

kustaafu. Kwani wazee wanafadhaika zaidi kwenda Nairobi na kurudi. Na huku wanahongana huko, unapata ya kwamba hata

pesa za kuhonga zenyewe haziko. Ikiwa Katiba itarahisisha jambo hili ili mzee akistaafu tu anajua ya kwamba atapata

marupurupu yake baada ya mwezi moja au wiki mbili, itakuwa jambo la manufaa zaidi. Pia Katiba irahisishe njia za kufuatwa na

wajane hasa wale wanawake ambao wamefiwa na Bwana zao kupata urithi wa mali ya marehemu Bwana wao ambao

ameshaaga dunia. Kwani njia ambazo ziko saa hizi, ni njia ngumu na ndefu hata mwanamke anaweza kaa hata karibu miaka

mitano bila kupata mali ya Bwana wake.

Malipo ya pension ya bibi au Bwana aliyefariki, inapaswa mrithi aendelee kuyapata hadi kifo cha mrithi kama huyu kitokee

badala ya kumpa tu baada ya miaka mitano peke yake halafu unapata ya kwamba hiyo inasimamishwa na anabaki na watoto

ambao bado wanasoma jambo ambalo linakupatia shida.

Tuje kwa upande wa vyama vya wafanyikazi, kuongezea kwa yale mzee mmoja alivyosema hapa, yaani kusiwe na muingilio ya

serikali kwa vyama vya wafanyikazi. Inapasa pia Katiba mpya iruhusu kila wafanyikazi wapewe fursa ya kubuni vyama vyao

vya wafanyikazi bila kujali ni aina ipi ya kazi wanayoifanya kama vile polisi jeshi, civil servants, provincial administrators.

Yapaswa kupatiwa fursa nao wajue kuna chama cha wafanyikazi kama ma-chief kama ma-chief, kama assistant chiefs na

kadhalika. Wao wawe na chao ili waweze kutoa maoni yao.

Nikiendelea kumalizia malizia, nije kwa upande wa provincial administration yaani uteuzi wa manaibu wa ma-chief, pamoja na

machief wenyewe.

Katiba mpya iwape wananchi jukumu la kuwachagua kupitia kwa njia ya kura either njia ya mlolongo au kwa njia ya siri. Hii

itaepusha ufisadi uliopo kwa wakati huu wa kuteua watu wasiofaa kama hawa.

Ikiwa serikali inaona ya kwamba jambo hili ni ngumu, basi inapasa hawa watu wapewe huamisho baada ya kudumu kwa muda

fulani katika sehemu moja hadi nyingine kikatiba. Kwa sababu wamekuwa wafisadi kiasi kwamba hata burial permit, wengine

55

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!